Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mimi nasubiria vitendo! Maana kama ni maneno matamu tu, hata kwenye kanga yapo!

All in all, namtakia kila la heri. Muhimu asikengeuke tu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
 
Mimi nasubiria vitendo! Maana kama ni maneno matamu tu, hata kwenye kanga yapo!

All in all, namtakia kila la heri. Muhimu asikengeuke tu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
Vitendo mbona tayari ameshafanya mfano kufungulia vyombo vya habari na hata twitter juzi kati alifungua sijui nani akafunga tena
 
Nahisi munaanza kuona tunakorudi. Wanaoeleweka kwa rushwa akina Kidata wanarudi TRA
 
Leo ni siku nyingine tena Rais Samia Suluhu aka Mama amepata wasaa wa kuhutubia wateuzi na taifa kwa ujumla.

Hotuba yake imesheheni matumaini mapya, lugha laini na rahisi kueleweka na kila mtu.

Mama ameonyesha kuifahamu nchi na matatizo yake kwa ujumla.
Amegusia karibu nyanja zote za kijamii, kiuchumi nakadhalika.
Huko kote ameonyesha kuwa naye anahitaji kuona mabadiliko hasa katika huduma bora.

Jambo lingine muhimu zaidi amwonyesha kuwa pamoja na kufukua cv za wateule wake pia hufuatilia sana maoni ya wananchi kupitia mitandao ya kijamii, hii ni habari njema kabisa kuwa wengine tusiokuwa na access naye moja kwa moja tutakutana mitandaoni.

Jambo lingine muhimu ni kuqgiza vyombo vya habari vilivyofungwa vifunguliwe ili asionekane anakandamiza uhuru wa habari...hongera nyingi.

........MAMA SAMIA NI MTAMU......

Nimwtumia kauli hii nikimaanisha kuwa Mama amevuta hisia za wengi kumaikiliza, lugha yake na lugha ya mwili/body language vinafufua matumaini mapya kwa wengi wafanyabiaahara, wakulima na wafanyakazi.

Tangu aapishwe kuwa rais wa JMT anga la Tanzania limekuwa jepesi mno, kuna tumaini jipya, mwelekeo mpya na amani ya moyo.

Mambo haya machache yamwnifanya nimuone kuwa huyu mama ni Mtamu.

ANGALIZO KWA MAMA
1. Utaimbiwa kila nyimbo tamu/praise and worship na kila kada hadi nyumba za ibada

2. Utaitwa mteule wa Mungu

3. Tutajikomba sana

Nakuomba usilewe sifa zetu.
Sisi hawahawa tunaokusifu ipo siku tutakupeleka msalabani kukusulubu uchi na viboko juu.
Kukwepa hili jitahidi kuyaishi haya unayoyahubiri itakusaidia usisulubiwe sana.

Mungu akutie nguvu

Akae mbali na watu kama kina Nape , Bashite ,Said Bagaile et al.
 
1. Unataka kupanuliwa?
2. Wanawake weupe nawasikiliza haraka
3. Kabaki na mavi yako nyumbani
4. Huo mguu wako mwingine uko vizuri? (akiongea na kilema wa miguu).
5. Nitapiga mashangazi wenu
6. Mke wangu ananipatia kweli muda wa kunieleza shida zenu nyie walimu, wakati wa chakula cha usiku
7. Tetemeko serikali ndiyo iliyorireta?
8. Wewe mwanmke unalia vizuri sana

Jiwe huyo
 
1. Unataka kupanuliwa?
2. Wanawake weupe nawasikiliza haraka
3. Kabaki na mavi yako nyumbani
4. Huo mguu wako mwingine uko vizuri? (akiongea na kilema wa miguu).
5. Nitapiga mashangazi wenu
6. Mke wangu ananipatia kweli muda wa kunieleza shida zenu nyie walimu, wajati wa chakula cha usiku
7. Tetemeko serikali ndiyo iliyorireta?
8. Wewe mwanmke unalia vizuri sana

Jiwe huyo
Nawa-Zoom
jpm6
 
Back
Top Bottom