Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
MAMA SSH
Hii ni VITA YA KIUCHUMI, JPM hukumuelewa sawa sawa naona licha ya kukufundisha mengi.
Kenya ni ndugu zetu ila ni wajanja wajanja sana kwenye mambo yao kutuzidi sisi
Umepewa mwaliko na umemwagika kweli kweli na umepewa surprise ya hatari na wewe bila hiyana ukamwaga wino kwa bashasha ukidhani unatufurahisha sisi wazalendo wa taifa hili.
Ulipewa mwaliko tu sio kusaini mikataba isiyokuwa na taarifa kwa watz tena ugenini.
Mwl wako JPM angekuwepo angekuita wewe kilaza na Kenyatta Kaulamba.
Sidhani kama umepata ata wasaa wa kutosha kupitia kilichoandikwa humo, na nani atagharamia hilo bomba kama sio mchina na mashart yake ya hovyo hovyo,
Sisi ndio wamiliki wa hio gas, kitu gani kimekupagawisha mpaka ukamwaga wino tena kwa mbwembwe hivyo?
Walipaswa waje kwetu kutuomba sisi sio wewe kwenda kujipendekeza kutafta eti kurudisha mahusiano, hapo wakenya washapata uchochoro wa kuimaliza nchi yetu kiuchumi kwa janja janja zao.
Kama si hivyo, basi una ajenda yako binafsi na huu mradi, kwnn iwe haraka hivyo?
Hapana Bi mkubwa umechemka,
Ziara yako ni mwaliko na ilisomeka ni mwaliko sio mkataba, ulienda Uganda na ilijulikana unaenda kufanya nini.
MIKATABA YA UGENINI HAIJALIACHA TAIFA HILI SALAMA.