cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Na mie nashangaaa khaaahMbona chuki kwa JPM zinaruhusiwa, why iwe nongwa kwa za Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mie nashangaaa khaaahMbona chuki kwa JPM zinaruhusiwa, why iwe nongwa kwa za Samia?
Mwl meko ni fala, hatupaswi hata kumsikiliza huyo bwegeMAMA SSH
Hii ni VITA YA KIUCHUMI, JPM hukumuelewa sawa sawa naona licha ya kukufundisha mengi.
Kenya ni ndugu zetu ila ni wajanja wajanja sana kwenye mambo yao kutuzidi sisi
Umepewa mwaliko na umemwagika kweli kweli na umepewa surprise ya hatari na wewe bila hiyana ukamwaga wino kwa bashasha ukidhani unatufurahisha sisi wazalendo wa taifa hili.
Ulipewa mwaliko tu sio kusaini mikataba isiyokuwa na taarifa kwa watz tena ugenini.
Mwl wako JPM angekuwepo angekuita wewe kilaza na Kenyatta Kaulamba.
Sidhani kama umepata ata wasaa wa kutosha kupitia kilichoandikwa humo, na nani atagharamia hilo bomba kama sio mchina na mashart yake ya hovyo hovyo,
Sisi ndio wamiliki wa hio gas, kitu gani kimekupagawisha mpaka ukamwaga wino tena kwa mbwembwe hivyo?
Walipaswa waje kwetu kutuomba sisi sio wewe kwenda kujipendekeza kutafta eti kurudisha mahusiano, hapo wakenya washapata uchochoro wa kuimaliza nchi yetu kiuchumi kwa janja janja zao.
Kama si hivyo, basi una ajenda yako binafsi na huu mradi, kwnn iwe haraka hivyo?
Hapana Bi mkubwa umechemka,
Ziara yako ni mwaliko na ilisomeka ni mwaliko sio mkataba, ulienda Uganda na ilijulikana unaenda kufanya nini.
MIKATABA YA UGENINI HAIJALIACHA TAIFA HILI SALAMA.
MAMA SSH

Wishful thoughts1.Hakuelewa somo
2. Hana ule uchungu
3.,Mwenzake alikaa miaka 20 ndani ya hiyo hiyo system alijua uozo na njia zote
4.Mwenzake alikuwa mkakamavu kubana mirija
Itamchukua miaka 2 tu kuelewa somo
a. mishahara ya serikali itachelewa
b.Kodi itapungua
c.ujambazi kuongezeka
d.inflation kuwa juu
e.usd itapaa
f.atashindwa kumaliza miradi mikubwa kwa msuli ule ule wa JPM, atalazimika kukopa kuongeza deni
g. atashusha ari na pride ya taifa na proud ya mmoja mmoja
JPM was firm and tough na anatakiwa hata leo hii.....huu ni ukweli mchungu sana
Demokrasia? ndio mama atawapa ya kutosha...CCM wakiruhusu demokrasia ujue kila mmoja ana sehemu yake ya kula chakula, utamtukana kariakoo ataenda kupoza koo kwa dubai
Demokrasia CCM halisi ni 'wewe ongea' siwe twala
wapinzani hawajalilia demokrasia, bali mianya yao na source za hela ambazo zilikuwa connected na CCM zote zilikatwa!!! zilifutwa
Niambieni watanzania Tangu lini demokrasja imewasadia kwenye nini? kipindi cha JK EPA mbona ilibaki kama ilivyo na hakuna kilichofanyika
Mtanzania akisema hana demokrasia ni kuwa anasema hapati hela
watapewa mirija yao, na wale nyumb watashangilia kumbe wenzao wala!!!!!
Tusishangae ndugu yangu maana hapa JF ni unafiki na kujipendekeza kwa mwanzilishi wake. Kwa vile JPM alimshikisha adabu, hii ilipelekea asilimia 28 ya wana JF kumchukia kusipo na sababu ya msingi. Ukijumlisha na asilimia 70 ya wana JF ambao ni Chadema (hawa wanamchukia JPM kwa vile aliwafunika baada ya kuwa mzalendo na mleta maendeleo ya haraka). Hii inafanya waliomchukia na hata baada ya kufa kuendelea na chuki zao za kitoto hapa JF kuwa Jumla ya asilimia 98. Hivyo tusishangae sana. Nakutakia happy Mother’s Day maana wewe ni mama wa shokaNa mie nashangaaa khaaah
Haahaa Kama haikudondoka wakati wa mwendazake idondoke Sasa? Pole Sana mkuu.Nchi inasonga mbeleSSH is total failure, hajitambui, TISS pls do the needful, vinginevyo hii nchi inaenda kudondoka kwa ujinga wa mtu mmoja tu.

Ameeeeeen [emoji120][emoji120][emoji120]Tusishangae ndugu yangu maana hapa JF ni unafiki na kujipendekeza kwa mwanzilishi wake. Kwa vile JPM alimshikisha adabu, hii ilipelekea asilimia 28 ya wana JF kumchukia kusipo na sababu ya msingi. Ukijumlisha na asilimia 70 ya wana JF ambao ni Chadema (hawa wanamchukia JPM kwa vile aliwafunika baada ya kuwa mzalendo na mleta maendeleo ya haraka). Hii inafanya waliomchukia na hata baada ya kufa kuendelea na chuki zao za kitoto hapa JF kuwa Jumla ya asilimia 98. Hivyo tusishangae sana. Nakutakia happy Mother’s Day maana wewe ni mama wa shoka
Eti sababu ya kumpa Mwinyi gari jipya ni kwa kuwanahangaika kupanda magari mengine, je Mama Maria Nyerere yeye anapanda vipi, si na yeye ana haki ya kuhudumiwa hadi anafariki pia, tuna Rais hasara na mbaguzi, kila kitu saivi ni Zenji tu...
ameshindwa mengi na ataendelea kushindwa.Atajua mwenyewe
Tangu atoe mtazamo wake juu ya 'watoto kupisha watu wazima kwenye dadala' sikupata tabu kutambua kuwa huyu mama ni Mkoloni
Kisha zawadi kwa mzee isivyo na kichwa wala miguu na kulazimisha iwe habari ya mjini maisha yasimame waonekane wao tu wanapolipana fadhila.!
Nina hakika kaagiza yeye labda ajikoshe kwa kugeuza watu kafara
Mwache Siku akizeeka ndo atajua kuwa hajui.Ila hapo juu kusema mtu mtoto ampishe mzee mbona ni sawa hivi hilo nalo ni la kumlaumu ehh?utamaduni wetu sisi watanzania au waafrica kiujumla mbona upo hivyo,mtu mzima yaani umri wa mzazi wako huna budi kama ana mzigo kumpokea na kama ni mtaani kwako unamsaidia kumfikishia kwake ndivyo tamaduni zetu waafrica.Yaani mzee yeyote ambaye ana umri wa mzazi wako au babu yako heshima yake anatakiwa apewe kama ni mzee wako,hata nyumbani kwako tu mzee wako akaingia nyumbani unatizama TV ukampa salam huku umekaa kwenye kochi kiustaarabu kuonesha heshima ni bora usimame umpe salamu kisha unakaa.Tatizo linalotutoa kwenye tamaduni bora za kwetu na kuiga tabia za magharibi ndilo linatuponza na huko tunapoenda usishangae mtoto wako pia asikuheshimu halafu tuje kulaumu watoto wa siku hizi.Tunatakiwa tulaumu tulipojikwaa na siyo tulipoangukia.Wewe leo ni kijana hayo unayotaka uwafanyie wazee wako au wazee wa wengine kesho yakiwa mazuri na wewe pia unatarajia ufanyiwe kama hayo ila ukiwa unasema ahhh achana nao hao zama zao zishapita potelea mbali,huenda kesho kama Mungu atakupa umri kama wa hao utakuwa wa kwanza kulipwa wewe kama malipo uliyoyafanya enzi zako za ujana na huenda ukapokea mazuri zaidi ya hayo au mabaya zaidi ya hayo.Ni mtazamo tu tusijenge chuki.
SSH is total failure, hajitambui, TISS pls do the needful, vinginevyo hii nchi inaenda kudondoka kwa ujinga wa mtu mmoja t
Usisahau hii ni serikali ya watu --- kila raia mwema, mzalendo wa kweli, ana haki ya kudai mabadiliko ya haraka. Bi Mkubwa amewakosea na anaendelea kuwakosea sana Watanzania.
Sana, mkuu uwanja ulijengwa chato bila bunge kupitisha, katiba ilikuwa inachaguliwa vipengele vya kufuatwa na kuheshimiwa, muda wote Ni kuvunja sheria na katibaKumbe huwa inauma sana....mmesahau kula kitu kilivyokuwa chattle...mpaka ikulu ikawa inahamia huko mara kwa mara..
Mmesahau pia Mwendazake aliwajengea wastaafu wote majumba ya kifahari na hamkunyanyua modomo yenu kukemea...
Posho ya kusafishia mikojo KILA mwezi imekata ataacha vipi kulalamikaUnakera mzee na threads zako kuhusu Samia, kwa siku unapost hata mara 10, sometimes unarudia vitu vilevile, Unakera jombaa
Hivi inawezekana kumbe Rais akawa amefahamu hili la bomba la gesi akiwa Kenya!? Yaani unamaanisha yeye na wasaidizi wake hawakulijua kabla na kupata muda wa kulijadili kuona Kama linafaa au laa!!?MAMA SSH