Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ndugu Moderaters, hapa sijamshauri Rais bali nimewashauri watu wanaompinga. Hamkuwa na sababu ya kuulete huu uzi huku.

Ndugu Max, niwewe uliyefanya hivi au vijana wako? Sitaki kuamini kuwa ni wewe maana huwezi kuchanganya vitu vidogo kiasi hiki.

Nina mashaka na vijana wako unaoajiri. Wamenisikitisha sana.
Pamoja na kwamba nilimkubali sana JPM sasa kwa moyo mmoja naungana na Mama rasmi.

Uzalendo sio kususa, uzalendo ni kuwa mnyenyekevu na kukosoa kwa utaratibu maalum.

JPM aliweza kuvumilia tawala zilizopita kiasi kwamba akawa anakuwa waziri kila baada ya uchaguzi, Bashiru Ally pamoja na kushushwa vyeo ila yuko na mama na wala hana neno na anaendelea kutumikia nafasi yake kwa unyenyekevu, mimi ni nani hata nikapingana na mamlaka zinazoniongoza tena kwa kufuata katiba?

Kuanzia sasa niko nawe mama, kupitia forums mbalimbali nitaendelea kukupongeza, kukushauri na kukukosoa pale inapobidi.

Nawashauri team JPM na wapinzani wote kumsapoti mama maana kwa sasa ndo Rais wetu. Hatupaswi kugombania fito wakati tunajenga nyumba moja. Siku zote sikio halizidi kichwa.

Mwisho, namtakia mama kila lakheri katika utendaji wake!
 
Mama kazi kubwa ulioianza tayari imeingia mchanga,ushauri Wangu kwako,jitahidi Sana kutobana demokrasia ,usiwape watu mashtaka na kesi za kihuni.mwalimu nyerere alijaribu kubana demokrasia alipata majaribio 8 ya kupinduliwa.raisi magufuli alibana demokrasia na mwishoni alituvurugia uchaguzi kilichompata Ni kumzika.

Sisi Kama Taifa hatuna uvumilivu kwa kiongozi asiyefuata misingi ya haki Wala demokrasia hivyo mama jitahidi kujifunza kwani hata hao unaowasumbua Ni binadamu wenye roho na damu ,siku uvumilivu ukikosekana itakuwa Ni zamu yako kutafutwa usiku au mchana ,msikitini au kanisani na hakika unapatikana hata miaka 100 ijayo.
 
|[All the best her excellency Samia Suluhu Hassan]|
Kueleke hotuba ya Rais wa kwanza mwanamke toka Africa Mashariki na Rais wa Kwanzaa mwanamke toka Africa kuhutubia Mkutano wa 76 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa|UN Get Assembly ,Sisi kama Watanzania tunajambo la kujivuna na kujivunia,

Rais wetu atahutubia zaidi ya marais au wawakilishi 195 toka duniani kote kwa lugha rahisi kesho Mama anazungumza na dunia kuhusu Tanzania kupitia jukwaa hilo la UN Gen Assembly,

Rais Samia anazungumza na dunia ikiwa ni nusu mwaka tu toka awe Rais wa JMT,Mama Samia ataihutubia dunia tayari akiwa amefanya yafuatayo, Nitaje kwa uchache kabisa,

Baadhi ya aliyoyafanya Katika Demokrasia Yetu
1. Ameachilia Wale wote waliokuwa wameshikiliwa kwa sababu za kiasi,mfano tu, Viongozi wote wa Chadema waliokuwa wameshikiliwa kwenye magereza mbalimbali nchini amewafungulia wote akiwemo Mhe Mdude Nyangali Chadema,

2. Ameisimamia TCD ( Tanzania Centre for Democracy ) kupata viongozi mahiri akiwemo Mkt wake mpya Mhe Zitto Zuberi Kabwe ambae pia ni kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo japo kuna watu wanajifanya hawaoni haya,

3. Kwakumtumia Msajili ameendelea kutafuta njia bora na nzuri ya kuexercise our own democracy hapa nchini namnukuu " Demokrasio sio Coca -Cola " kwani Coca -Cola has got the same formula all over the world but democracy not so ever,

4.Ameachilia Mashekh wote wa Uamsho waliokaa zaidi ya mwongo mmoja gerezani na hii ilikuwa Ilani ya Mgombea wa Chadema Mhe Tundu Lissu 2020-2025 but Mama did it,

5. Ameachilia zaidi ya mahabusu 147 waliobambikwa kesi, ndio maana tunasema Samia ni Mchamungu na hili Mungu wa Mbinguni anajua,

Baadhi ya aliyoyafanya Katika Utawala wa Sheria ( In terms of Rule of Law)
1. Amemkamata mshukiwa wa Unyang'anyi Gen Lengai Ole Sabaya mwana-CCM mwenzake aliyewahi pia kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai bila aibu wala kigugumizi,

2. Amemkamata pia mshukiwa wa Ugaidi Freeman Mbowe Mkt wa Chadema na kiongozi wa Upinzani wa muda mrefu nchini bila aibu wala kupepesa macho na hii ndio maana ya dhana ya Utawala wa sheria, No one is above the Law,

3. Amemwagiza DPP na Jaji Mkuu Prof Ibrahim Juma kuhakikisha haki kwa Watanzani lazima itendeke na sio tu kutendeka ionekane kutendeka anataka kabla hujamkamata mtuhumiwa maliza kwanza Upelelezi, Usimkamate kama hujamaliza Upelelezi,

Baadhi ya aliyoyafanya kwenye Uchumi
1. amefuta jumla ya kodi 232 ili kuvutia uwekezaji,Hadi juzi uwekezaji uliongezeka kwa 400% sawa na $ 2.98Bl karibu Tshs 7trilioni toka $510M kwa kipindi kama hicho FY2019|2020

2. Ameongeza mishahara na madaraja wafanyakazi wote wa Serikali ametumia zaidi ya Tshs 506BL Ikiwa nipamoja na kupunguza PAYE mpaka kufikia 8% (single digits)

3.Amepunguza gharama za kumiliki ardhi toka 2.5% hadi 0.5% kwa urasimishaji ardhi,

4. Amefungua utalii nchini kwa kutumia "Royal Tour Film " kwani anatambua dunia inawatali zaidi ya 1.5bl kila mwaka lakini Tanzania wanafika chini ya 1M which means Juhudi za matangazo hazikufanyika before,

5. Anagharamia jumla ya Tshs 16.6 trilioni kwenye miradi ya SGR & SG tu lakini pia anahudumia miradi yote ya Sasa na ya zamani,ikiwa miradi mipya tu inafikia 133.

Nahuyo ndio Mwanamke wa kwanza toka Tanzania|Africa kuhutubia UN Gen assembly masaa machache yajayo,

Wewe unamtaka azungumzie jambo gani kama kipaumbele?! Toa maoni yako huenda Mama akapitia huu uzi,

We trust in God the almighty | We trust in you her excellency Samia Suluhu Hassan,

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA

IMG-20210910-WA0025.jpg
 
What can we say about Asha-Rose Migiro who was Deputy Secretary General of UN?
 
Channel gani tumuwatch kipenzi Cha Mungu na watanzania

USSR
 
USSR soma tena title ya uzi, utaelewa nilichoongea. Haijasema rais, inasema mwanamke wa kwanza kutoka Africa
 
Wa kwanza Rais mwanamke alikuwa ni ELLEN JOHNSON SIRLEAF wa Liberia hiyo ni 2006 huko
 
Kuna rais wa Liberia aliyechaguliwa moja kwa moja na wananchi kufuatia uchaguzi mkuu wa kidemokrasia nchini Liberia, nchi ya kiAfrika ya Afrika Magharibi aliweza kuwa wa kwanza kuhutubia Mkutano wa 72 la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA.

25 September 2017
New York UN HQ

President Ellen Johnson Sirleaf Addresses the 72nd UN General Assembly September 19, 2017
Source : LNTV

Ellen Johnson-Sirleaf, President of the Republic of Liberia, addresses the general debate of the 72nd Session of the General Assembly of the UN (New York, 19 - 25 September 2017).

Available Languages: Six Official

Addressing the United Nations General Assembly just 22 days ahead of historic elections in Liberia, President Ellen Johnson-Sirleaf today said the polls will signal the “irreversible course” that the country has embarked upon to consolidate its young, post-conflict democracy.

As she recalled that 11 years ago, in September of 2006, she had addressed the Assembly as the newly elected President of Liberia and the first woman to be democratically elected as head of State on the African continent, Ms. Johnson Sirleaf said the coming elections, which will mark the end of her time in office, will pave the way for the next generations of Liberians to lead the country in to the future.

“The [legislative and presidential polls] will mark the first time in 73 years that political power will be handed over peacefully, and democratically, from one elected leader to another,” she said, adding: Democracy is on the march in Liberia and, I believe, on an irreversible path forward on the African continent.”

She said she had assumed office after 25 years of development reversal which was further compounded by a 15-year civil war. “We have made great progress and laid the foundation for the next democratic government. We have reshaped the Armed Forces of Liberia and the Liberia National Police, professionalized our customs and immigration services and small Liberian Coast Guard.”

Further, previously dysfunctional public institutions now have the capacity to respond to the needs of our citizens through decentralized county service centers with ownership by strong local governments. “And from the tragedy of the health crisis, we are strengthening our healthcare systems, prioritizing prevention and delivering capacity at the community level,” said Ms. Johnson Sirleaf, underscoring that Liberia has enjoyed the benefit of multilateralism through full support provided by the UN, the African Union and the Economic Community of West African States (ECOWAS).

“Liberia's transformation was powered by a world community that made a shared commitment to deliver peace to a country, and a subregion, beset by civil conflict and cross border destabilization,” she said, noting that the UN and its partner nations were of “one mind,” and from that global unity, a new Liberian democratic state was born.

“Liberia is a post conflict success story. It is your post conflict success story,” stated Ms. Johnson Sirleaf, urging the UN and its Member States to continue to lead, to spread the values of democracy, human rights, and good governance while strengthening solidarity for economic transformation and social resilience. Such leadership should extend to full implementation of the 2030 Agenda and the Sustainable Development Goals (SDGs), as well as on UN reform, including of the Security Council.
Source : Liberia - President Addresses General Debate, 72nd Session
 
Dunia nzima inasubiri kwa hamu hotuba ya mama.
Watanzania tunajivunia mama.
 
Back
Top Bottom