Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maisha yanakwenda kasi na udongo ni wetu, ndio maana makaburi hata siku moja hayawezi kujaa ila nyumba zitajaa.

Swala ambalo la kujiita awamu ya sita ni kama kujitoa kwenye kachumbari ambayo bado upo kwenye awamu ya tano.

Tumesikia kwenye vikao vyenu CCM hapo dodoma ukionesha kuwa kama ukiwepo na yale yote yaliyokuwa awamu ya tano.

Kumbuka awamu yako ya sita ni 2025 mpaka uchaguliwe na wananchi. Kwa sasa endeleza uliyoachiwa si kuleta mengine.
Sasa hilo lina kusaidia nini lina uhusiano gani na uchumi wa taifa au utendaji wa mama, iwe awamu ya sita ya kumi au kumi na tano, name it.....sisi tunachohitaji ni unafuu wa maisha vitu vishuke bei, sio majina au number za awamu
 
Walivyokuwa na chuki na mwendazake..wakaamua kujificha kwenye kichaka cha awamu ya sita..ila waanze kupondea na kumkandia..bila kujua wote ni zao la JPM..kuanzia sa100 hadi wenyeviti wa mitaa.

Acheni hizo hii ni awamu ya 5 muhula wa pili..sa100 namalizia ungwe yako kikatiba awamu yako itaanza siku uchaguzi mkuu ukifanyika..endapo ukapata nafasi hapo ndio awamu yasita itaanza kamili.

Sisi sio wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi kipi Bora kusema awamu ya 5 au ya 6?
Ikiwa tutasema awamu hii ni ya 6 si inamaanisha raisi atatakiwa kukaa madarakani awamu moja run inayofuata kama atashiriki na kushinda uchaguzi?
Lkn tukisema ni awamu ya Tano si itakua kama anamalizia muhula wa jpm kwa hiyo 2030 aanze kipindi Cha uongozi Cha miaka 10? Cha awamu ya sita na Saba?
Sijaelewa wanaopinga wanamtaka nini!
 
Maisha yanakwenda kasi na udongo ni wetu, ndio maana makaburi hata siku moja hayawezi kujaa ila nyumba zitajaa.

Swala ambalo la kujiita awamu ya sita ni kama kujitoa kwenye kachumbari ambayo bado upo kwenye awamu ya tano.

Tumesikia kwenye vikao vyenu CCM hapo dodoma ukionesha kuwa kama ukiwepo na yale yote yaliyokuwa awamu ya tano.

Kumbuka awamu yako ya sita ni 2025 mpaka uchaguliwe na wananchi. Kwa sasa endeleza uliyoachiwa si kuleta mengine.
Ongeza sauti mkuu
Screenshot_20220403-085953-142.jpg
 
Walivyokuwa na chuki na mwendazake..wakaamua kujificha kwenye kichaka cha awamu ya sita..ila waanze kupondea na kumkandia..bila kujua wote ni zao la JPM..kuanzia sa100 hadi wenyeviti wa mitaa.

Acheni hizo hii ni awamu ya 5 muhula wa pili..sa100 namalizia ungwe yako kikatiba awamu yako itaanza siku uchaguzi mkuu ukifanyika..endapo ukapata nafasi hapo ndio awamu yasita itaanza kamili.

Sisi sio wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
Huu ni utoto tu unawasumbua na kwa hili ninyi ni wajinga. Hii ni awamu ya sita according to the president of the united republic of Tanzania, her excellency SSH. Subirini tu 2030
 
Wanataka iwe ya 5 halafu apewe tena miaka 10 ya awamu ya 6.

HII NI AWAMU YA 6, 2020-2030. AWAMU YA TANO ILIKUWA FUPI. 2015-2020. JPM ANGEPUMZIKA 2023 SAMIA INGEMPASA KUMALIZIA AWAMU YA 5 KWA NIABA ILA KAPUMZIKA AKAACHA ALMOST 5 YEARS HUWEZI SEMA MAPYA YATAKAYOFANYIKA KATIKA HICHO KIPINDI NI MATENDO YA JPM. BY THE WAY, CCM NDO IPO MADARAKANI NA KINANA KESHASEMA SERIKALI HAOTOI MAAGIZO KWA CCM, NI CCM NDO INATOA MAAGIZO KWA SERIKALI HIVYO HATA IKIWA AWAMU YA 8 NI AWAMU YA CCM TANGU MWANZO.
 
Mmeanza asee...
Au unadhani karudi kwa bahati mbaya!? Unadhani Katiba ya Chama imefanyiwa marekebisho kwa Bahati mbaya!? Unadhani mzee Philip kaondoka bahati mbaya? Unadhani Komarade kagombea kwa bahati mbaya.
 
Msianze kupiga yowe wakisema awamu yake itaisha 2035, mkubali tu ikifikia hapo.
Walivyokuwa na chuki na mwendazake..wakaamua kujificha kwenye kichaka cha awamu ya sita..ila waanze kupondea na kumkandia..bila kujua wote ni zao la JPM..kuanzia sa100 hadi wenyeviti wa mitaa.

Acheni hizo hii ni awamu ya 5 muhula wa pili..sa100 namalizia ungwe yako kikatiba awamu yako itaanza siku uchaguzi mkuu ukifanyika..endapo ukapata nafasi hapo ndio awamu yasita itaanza kamili.

Sisi sio wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
 
KWA HERUFI KUBWA NASEMA HIVI HII NI AWAMU YA 5 MUHULA WA PILI DAKIKA ZA LALA SALAMA MATOKEO YA MECHI NI HANGAYA FC 0 - 3 WAPIGA KURA
 
Hivi kipi Bora kusema awamu ya 5 au ya 6?
Ikiwa tutasema awamu hii ni ya 6 si inamaanisha raisi atatakiwa kukaa madarakani awamu moja run inayofuata kama atashiriki na kushinda uchaguzi?
Lkn tukisema ni awamu ya Tano si itakua kama anamalizia muhula wa jpm kwa hiyo 2030 aanze kipindi Cha uongozi Cha miaka 10? Cha awamu ya sita na Saba?
Sijaelewa wanaopinga wanamtaka nini!
awamu ya tano RAHIS wa 6 na ukumbuke ni muhula wa pili unaisha 2025

ndipo awamu ya 6 itakapoanza mara baada ya uchaguzi 2025 na sio 2030.

ukumbuke huyu aliyeko hahachaguliwa na wananchi yaani general election ila ni katiba elekezi kwamba anakaimu,, mpaja ifikapo general election 2025

sema tu wanahisi wananchi ni mazuzu kwakuwaambia wapo awamu ya 6 wengi wanawazoom tu.
 
Maisha yanakwenda kasi na udongo ni wetu, ndio maana makaburi hata siku moja hayawezi kujaa ila nyumba zitajaa.

Swala ambalo la kujiita awamu ya sita ni kama kujitoa kwenye kachumbari ambayo bado upo kwenye awamu ya tano.

Tumesikia kwenye vikao vyenu CCM hapo dodoma ukionesha kuwa kama ukiwepo na yale yote yaliyokuwa awamu ya tano.

Kumbuka awamu yako ya sita ni 2025 mpaka uchaguliwe na wananchi. Kwa sasa endeleza uliyoachiwa si kuleta mengine.
Asante sana endelea kuwaelimisha, binasfsi naunga mkono hoja mara elfu[emoji120][emoji120][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom