Sasa hilo lina kusaidia nini lina uhusiano gani na uchumi wa taifa au utendaji wa mama, iwe awamu ya sita ya kumi au kumi na tano, name it.....sisi tunachohitaji ni unafuu wa maisha vitu vishuke bei, sio majina au number za awamuMaisha yanakwenda kasi na udongo ni wetu, ndio maana makaburi hata siku moja hayawezi kujaa ila nyumba zitajaa.
Swala ambalo la kujiita awamu ya sita ni kama kujitoa kwenye kachumbari ambayo bado upo kwenye awamu ya tano.
Tumesikia kwenye vikao vyenu CCM hapo dodoma ukionesha kuwa kama ukiwepo na yale yote yaliyokuwa awamu ya tano.
Kumbuka awamu yako ya sita ni 2025 mpaka uchaguliwe na wananchi. Kwa sasa endeleza uliyoachiwa si kuleta mengine.