Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mama unataka tukukumbushe hili mara ngapi ili utuelewe Wanao tunaokupenda na kukutakia mema? Wengine hatujaumbwa na Unafiki wa Kukupamba ( Kukusifia ) tu hata kama kuna mahala Unaharibu ila maana yetu halisi ya Kumpenda Mtu ni Kumkosoa kwa Kumjenga pale akikosea ( akikengeuka ) mahala.

Sasa kama Wewe ( Rais ) tunayeamini kuwa una Taarifa zote na Ufahamu mwingi wa Kimaarifa iwe ni Binafsi au kupitia Wasaidizi wako kila mara ukizungumza au ukitolea Ufafanuzi Jambo muhimu ni lazima useme Neno I think ( Unadhani ) je, Sisi Watu wa kawaida mno nchini Tanzania akina MINOCYCLINE tusemeje au tutumie neno gani?

Mbele ya Watu very Serious na Werevu ndani na nje ya nchi nina uhakika ukiwa unasema ( unalitumia ) neno hili la Unadhani ( I think ) huwa Wanakudharau na hupoteza pia imani nawe na hata Credibility yako vile vile hushuka ( inashuka )

Binafsi neno Nadhani ( I think ) silipendi na hata huku Kimtaa Mtaa ( Mtaani ) nikiwa naongea na Mtu ( hasa kwa Jambo Muhimu ) halafu akiwa anasema Nadhani ( I think ) huwa namdharau na hata kutamani Nimzabe tu Kibao kwani huwa nahisi ni Mtu asiye Knowledgeable and Well Informed katika Mambo ( Masuala Mtambuka ) mengi ya Tanzania na nje ya Mipaka ya Tanzania.

Wasaidizi wa Rais msaidieni katika hili.
 
Hayuko well informed kwenye mambo azungumzayo. Mf. unakuta anatoa facts za matumizi ya fedha anasema "zimetumika milioni mia ngapi sijui" au urefu wa barabara au daraja "kilometer ngapi sijui". Hii kauli inanikera
 
Abadilike na Wasaidizi wake wansaidie.
 
Naunga mkono hoja. I think ni presumptive.
Washauri wamelala usingizi.
Naanza kuhisi huenda Wasaidizi wake wanamuacha akosee ( aharibu ) hivi ili adharaulike na imharibie kama Rais kwani kama wangekuwa Makini nae wangemrekebisha haraka katika huu unaoonekana ni Udhaifu wake wa kupenda kutumia Neno Nadhani ( I Think ) kila akiwa anazungumza au anatolea Ufafanuzi Jambo muhimu na lenye Mashiko katika Jamii.
 
Siwezi poteza mda wangu kumsikiliza
Mama unataka tukukumbushe hili mara ngapi ili utuelewe Wanao tunaokupenda na kukutakia mema? Wengine hatujaumbwa na Unafiki wa Kukupamba ( Kukusifia ) tu hata kama kuna mahala Unaharibu ila maana yetu halisi ya Kumpenda Mtu ni Kumkosoa kwa Kumjenga pale akikosea ( akikengeuka ) mahala.

Sasa kama Wewe ( Rais ) tunayeamini kuwa una Taarifa zote na Ufahamu mwingi wa Kimaarifa iwe ni Binafsi au kupitia Wasaidizi wako kila mara ukizungumza au ukitolea Ufafanuzi Jambo muhimu ni lazima useme Neno I think ( Unadhani ) je, Sisi Watu wa kawaida mno nchini Tanzania akina MINOCYCLINE tusemeje au tutumie neno gani?

Mbele ya Watu very Serious na Werevu ndani na nje ya nchi nina uhakika ukiwa unasema ( unalitumia ) neno hili la Unadhani ( I think ) huwa Wanakudharau na hupoteza pia imani nawe na hata Credibility yako vile vile hushuka ( inashuka )

Binafsi neno Nadhani ( I think ) silipendi na hata huku Kimtaa Mtaa ( Mtaani ) nikiwa naongea na Mtu ( hasa kwa Jambo Muhimu ) halafu akiwa anasema Nadhani ( I think ) huwa namdharau na hata kutamani Nimzabe tu Kibao kwani huwa nahisi ni Mtu asiye Knowledgeable and Well Informed katika Mambo ( Masuala Mtambuka ) mengi ya Tanzania na nje ya Mipaka ya Tanzania.

Wasaidizi wa Rais msaidieni katika hili.
 
I THINK maana yake sio Nadhani, pekee hiyo ni english ya darasani

Unawez kutumia neni I THINK kama heshima kumpa nafasi mwengine nae awe huru kutowa mawazo yake.

Viongozi wengi hususan Wuzungu pia ulitumia.

Tatizo unapojifunza English ya Darasani ndioutaona nikosa
 
Back
Top Bottom