Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawala Bora unaozingatia Haki, Sheria na Katiba. Mengine yoote yatajiseti humo hata Bei ya petroli itashuka fastaa. Kilimo kitapaa juuKwa mtizamo wangu Mhe. RAIS ameanza vizuri kuboresha mahusiano baiana ya watanzania lakini Tanzania na mataifa ya nje.
Amefanya vizuri katika project financing lakini amefeli kwenye project management. Anatoa Fedha kwenda kwenye miradi lakini msururu WA Watumishi wa umma wanaodeclare kwenda kukagua miradi kwa lengo la kujustfy malipo na posho ni kubwa sana, so management cost ya miradi yake inaweza kuwa 30% ya project value huku akiwa ameajiri Watumishi Kila eneo na anawalipa mishahara.
Anafanya vyema kutoa Fedha za kuendesha serikali lakini natabiri kwamba Fedha nyongi za kuendesha ofisi (OC) zitakuwa zinaliwa na top management. Hii naitabiri Kwa sababu movement ya mashangingi barabara ya Dodoma Dar, Mwanza, Arusha na Moro ni kubwa sana inayotoa tafsiri kwamba kazi zilizopaswa kufanywa ofisini zinafanyika nje ya ofisi kujustfy malipo. Madhara yake ni kwamba 80% ya OC inaweza ishia mifukoni mwa wakubwa huku watendaji wa chini wakiwa wanalia nja; in long run kukosekana Kwa wasimamizi ofisini kinadhorotesha usimamizi na hivyo kufungua milango la kudhorota Kwa huduma na Rushwa .
Amefeli kuunda timu ya vetting kwenye utumishi wa umma na hivyo viongozi wengi alionao sidhani kama Wana sifa za kiutendaji Bali Wana sifa za kielimu na may be wanaofanya vetting wanapick among senior officers bila kujali uwezo wao wakuitumikia taasisi. Kwa miradi anayopokea, anapaswa kuwa na timu ya watu ambao watapita Kila taasisi na kumtafutia majina ya vijana ambao wanawika na wanamaono makubwa then awe anawapandisha na kuwapa nafasi. Kasi ya Fedha anazopokea na Kwa deni la Taifa lilivyo sidhani kama wazee wa umri wangu waliowengi Wana mindset za kufanya reform most of them wanawaza kuzunguka wapate perdiem za kustaafia. Akiomba majina ya watoto wanaofanya kazi vizuri kwenye idara, wizara,mashirika bila kuwashirikisha makatibu wakuu au wakuu wa taasisi atapata new generation ambayo nao uwezo wa kuwapa even mkataba wa Nini angependa kifanywe na after sometimes ataona umuhimu wa vijana katika kuleta mabadiliko. Salim Ahmed Salimu alipewa madaraka akiwa mdogo na matunda yalionekana. Dukua majalada mama achana na majina unayoletewa maana anayeleta mwenyewe Hana Vision so ni vigumu kukuletea MWENYE vision.
Nampongeza Kwa kuelewa umuhimu wa kuboresha mifumo kupitia ICT lakini analo jukumu sasa la kuondoa wale wote waliopandikizwa mentality za ICT kutumika kubambikia watu kesi awamu ya Tano aje na bongo zinazoamini kwamba lengo la ICT nikurahisisha utoaji huduma.
Mama anafanya vibaya sana kwenye siasa hasa Ndani ya Chama Cha mapinduzi,hapaswi kuruhusu kusifiwa sana Kwa Sasa anapaswa kulazimisha Wana CCM waonyeshe talent zao kwenye kudeliver Ili iwe rahisi kwake kutumia talent na brain atazoibua kupanga safu ya wagombea na kampeni 2025. Wananchi wanataka watu wachapa kazi siyo wapiga tumba. Ajitahidi aanze kuzalisha viongozi Ndani ya CCM kama ambavyo Chadema imekuwa ikifanya. Chadema inazalisha watu ambao CCM inatamani wawe wao lakini kwanini upinzani uzalishe watu huku CCM ikiua vipaji Kwa kusifu na kumwabudu shetani? Tuangalie what is happening in Kenya; peaple are struggling in politics siyo kusifia ukisubiri upitishwe uwe mzigo kwa chama Hadi ulazimishe chama kiwekee polisi na dola Ndo ushinde.
Mwisho ,nimpongeze Kwa kuachana na kundi la wale walionwaga damu. Kuendelea kuwakumbatia watu wakatili nikujiwekea mazingira magumu ya kufanya siasa wewe na watu wako. Hakuna mtu katili MWENYE akili,mtu katili siku zote utumia dola kuhalalisha maovu yake na kuwanyamazisha watu. Kwanini uwekeze kunyamazisha watu?
Tatizo la mwisho, nikuendelea kusimamia mfumo wa dola unaopambana na maskini huku matajiri wakifanya uhalifu nakuendelea kusota mtaani. Nimwombe Mhe. RAIS,kaa na Jaji Mkuu mshauriane namna yakusafisha magereza pamejaa watu wengi ambao walipaswa kuwa uraiani wanazalisha. Waachieni mahabusu wote wenye kesi zisizo na ushahidi, wape Uhuru wanyonge kama ulivyofanya Kwa matajiri waliokuwa wamebambikiwa kesi kubwa kubwa; tukisimamia mfumo wa haki magereza yetu yatakuwa na watu wachache Kama ilivyo Zanzibar. Sijawahi kwenda Gerezani ila nikisikiliza masimulizi ya wapinzani wanapotoka jela naumia Sana kwamba we live once, kwanini tunalipwa fedha kuwatesa wananchi tuliopewa kuwaongoza? Mawakili wengi wa serikali wamekalia kuarisha kesi siyo kufanya kesi zisikilizwe; mama this needs no coin to impliment; it requires word of mouth and political will.
Kwa mtizamo wangu haya ni mambo ya kuboresha na yakifanyika we will see value for money lakini furaha ya wananchi itaongezeka na ikiongezeka kura zitatoka. Muda wakutumia wazee kunadi sera umepitwa na wakati; action and projects should speek for themselves.
Unfortunately hawana hata mgombea,wako broke 🤣🤣1.Kuna wajinga toka jana eanalalamika kuwa rais Samia kachagua mzee kuwa kamishina, kisa ni mwalimu wake.
-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.
-Mbona ana nakinda naye ni kamishina wa sensa, tena bibi haswa, hamjamsema, kisa uzanzibari wake yule mdada(maana kwangu namwona mwali tu).
2.Kupanda kwa gharama za bidhaa
-Ni mjinga tu anaweza lalamika hili, wakati hata kwa beginners wa kutumia mtandao akigoogle hilo ataona ni duniani kote kwa sasa hadi ulaya.
3....................
Niulizeni haraka maswali yenu niyahibu hapa, tumechoka sasa wajinga mliotumwa kumchafua kipenzi chetu.
Sitaki maswali ya sijui ufisadi, wizi, upigaji, hadi yule jamaa arudishe 1.5t yetu ndo nitajibu ujinga huo.
bado tuna hasira nae, tunamdai pesa yetu, shwaiiinnnnn!!!
Lazima amtoe nje ili akawatafute wahuni wenzake hukoKwa nini ameendelea kuwaweka mataga kwenye mfumo kama Slow slow?
Sijui amewezajeUwezo wa Samia kuwa rais upoje?
Wewe kama nani labda1.Kuna wajinga toka jana eanalalamika kuwa rais Samia kachagua mzee kuwa kamishina, kisa ni mwalimu wake.
-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.
-Mbona ana nakinda naye ni kamishina wa sensa, tena bibi haswa, hamjamsema, kisa uzanzibari wake yule mdada(maana kwangu namwona mwali tu).
2.Kupanda kwa gharama za bidhaa
-Ni mjinga tu anaweza lalamika hili, wakati hata kwa beginners wa kutumia mtandao akigoogle hilo ataona ni duniani kote kwa sasa hadi ulaya.
3....................
Niulizeni haraka maswali yenu niyahibu hapa, tumechoka sasa wajinga mliotumwa kumchafua kipenzi chetu.
Sitaki maswali ya sijui ufisadi, wizi, upigaji, hadi yule jamaa arudishe 1.5t yetu ndo nitajibu ujinga huo.
bado tuna hasira nae, tunamdai pesa yetu, shwaiiinnnnn!!!
Kwa chuo kikuu mwanafunzi anaweza kuwa na umri mkubwa kumzidi hata mzazi wa mwalimu wake. Kwahiyo haina shida.-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.
Unaanzaje kuona upumbavu kwa wenzako pasipo kuutambua kwanza upumbavu na ujinga wako?1.Kuna wajinga toka jana eanalalamika kuwa rais Samia kachagua mzee kuwa kamishina, kisa ni mwalimu wake.
-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.
-Mbona ana nakinda naye ni kamishina wa sensa, tena bibi haswa, hamjamsema, kisa uzanzibari wake yule mdada(maana kwangu namwona mwali tu).
2.Kupanda kwa gharama za bidhaa
-Ni mjinga tu anaweza lalamika hili, wakati hata kwa beginners wa kutumia mtandao akigoogle hilo ataona ni duniani kote kwa sasa hadi ulaya.
3....................
Niulizeni haraka maswali yenu niyahibu hapa, tumechoka sasa wajinga mliotumwa kumchafua kipenzi chetu.
Sitaki maswali ya sijui ufisadi, wizi, upigaji, hadi yule jamaa arudishe 1.5t yetu ndo nitajibu ujinga huo.
bado tuna hasira nae, tunamdai pesa yetu, shwaiiinnnnn!!!
Kabisamkuu lala basi
Katiba mpya muhimu na ni sasa..ukiona mtu anapinga hili ujue ndio fisadi mkuu au fisadi kidagaa.