Thomas ndunguru
Member
- Nov 17, 2016
- 24
- 4
Kiparata kitaamua,,,,Kuna tetesi kwamba mahekta ya misitu yetu wamepewa kampuni ya abu dhabi, blue carbon. Je, huyo wa 2025 anahusika? Maana bandari yetu na loliondo zilishaenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiparata kitaamua,,,,Kuna tetesi kwamba mahekta ya misitu yetu wamepewa kampuni ya abu dhabi, blue carbon. Je, huyo wa 2025 anahusika? Maana bandari yetu na loliondo zilishaenda.
Leta Ushaidi Ni Msitu Gani mkuuKuna tetesi kwamba mahekta ya misitu yetu wamepewa kampuni ya abu dhabi, blue carbon. Je, huyo wa 2025 anahusika? Maana bandari yetu na loliondo zilishaenda.
Ni Yeye Tena Mama Samia SuluhuKiparata kitaamua,,,,
Chuo X wanasomea vitu gani huko?😀😀Hii Mchana Napita zangu Mahali Nakuta Vijana Wa Chuo X wakisema Sisi Samia Tutamlipa 2025 Maana Hili Boom limekuja Kukidhi Haja zetu Kwa Kiasi Kikubwa. Kutoka 8500 Hadi 10000 kwa siku.
#Samia kawafikia Wanazuoni.
#2025 ni yeye Tena
#2025 Tutakulipa Dkt. Samia Suluhu Hassan
X nahisi itakuwa Tasuba; chuo cha kusomea kucheza mdundikoChuo X wanasomea vitu gani huko?😀😀
Leta Ushaidi Ni Msitu Gani mkuu
Leta Ushaidi Ni Msitu Gani mkuu
Kumwambia mtu umuhimu wa lishe na matokeo ya kutopata lishe bora ni kuhukumu?Mkuu unahukumu watu sana sana
Siishi kijijini halafu masuala ya kufuata lishe bora sio tatizo tena kwangu kipaumbele changu kwa sasa ni kuwaza vitu vikubwa zaidi.Aaah Uzuri ni Kwamba na Wewe Ile Fikra ya kijijini kwenu sasa Imepotea kupitia Rais Samia. Ko Tutafute hiyo Lishe kwa Pamoja Tuendelee kuchapa kazi
Mbona ni Zambian Presidential
Jambo Jema Fikiri Ukiwa Umepata na Lishe Ndio Utawaza Pakubwa [emoji23][emoji23]Siishi kijijini halafu masuala ya kufuata lishe bora sio tatizo tena kwangu kipaumbele changu kwa sasa ni kuwaza vitu vikubwa zaidi.
Hilo la kuwa Huna uchawa inaweza kuwa una ukunguni, tangu enzi ile ya awamu uchawa ulipozaliwa,ila sikatai ila inawezekana yapo mabadiliko chanya uliyoshuhudia,ila mapungufu mengi mno yanazaliwa kwa kasi kubwa mno kuliko uwezo wetu wa kuyadhibiti.Usiache kuyasema hayo kama umeamua kuacha kuwa chawa😁Sina tabia ya uchawa !
Namuona Rais Samia akifanikiwa na akifanikisha maswala mbalimbali kwa weledi mkubwa.namuona kama mwamba wa kutoa majibu (decision maker) kwa maswala magumu bila kigugumizi.
Mdogo mdogo anatatua kero za nchi kwa kutazama kiini cha kero.
Mungu ampe maisha marefu na uongozi mwema.
Anatoa suluhisho kwenye maswala magumu bila uoga wa kukosea.
Anaamua pale panapohitaji uamuzi ili tusonge mbele.
Hakika hatukukosea kumpa hatamu...
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hakuna awamu niliyowahi kuwa chawa au kunguni kama ulivyosemaHilo la kuwa Huna uchawa inaweza kuwa una ukunguni,tangu enzi ile ya awamu uchawa ulipozaliwa,ila sikatai ila inawezekana yapo mabadiliko chanya uliyoshuhudia,ila mapungufu mengi mno yanazaliwa kwa kasi kubwa mno kuliko uwezo wetu wa kuyadhibiti.Usiache kuyasema hayo kama umeamua kuacha kuwa chawa😁