Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziko wapi dolla?Hongera sana mama kizuri Huwa kinajiuza.
Tanzania sasa ni namba moja duniani kwa furaha ya watu wake
Demokrasia nchini imepanuka hata kila mtu anatukana lakini hakuna anayemkamata
Sekta Binafsi imekua na pesa mtaani zimejaa.
Ajira kila Kona zimejaa
Kwa macho gani?Hili nalo mkalitazame
Aiseeee hii kali sana 🤣Namshukuru rais kwa kuniwezesha
Kufunga ramadhani
Namshukuru rais kwa kuniwezesha
Kumuamkia babangu leo
Namshukuru rais kwa kuniwezesha kuvuka barabara ya Manzese leo
Namshukuru rais kwa kuniwezesha
Kupiga pasi nguo zangu za kuvaa leo
Namshukuru rais kwa kuniwezesha
Kuandika maneno haya
Namshukuru rais kwa kuniwezesha
Kuiona tena ramadhani na kufunga
Namshukuru rais kwa kuniwezesha kuamka kula Daku leo
Namshukuru rais kwa kuniwezesha
Kuelewana na mke wangu
Namshukuru rais kwa kuniwezesha
Kuwa hai mpaka leo
Hapo vipi niendelee kumshukuru
Au ni ishie hapo
Huyo fish ungemkula na ugali wa ulezi ungefaidi sana.Samualeko!Namshukuru Rais nimenunua samaki wa kulia daku leo usiku! lah nchi ya kijinga sana hii.