Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kuna yanayoudhi kupindukia na yamekuwa kero na pia yapo yanayopendeza wanahitaji hongera pia kuwapa moyo.

Hebu tuone kama wananchi kero tunazokutana nazo na mambo tunayopendezwa nayo kutokana na serikali yetu.
 
Kero: 3
  • CHADEMA
  • CHADEMA
  • CHADEMA
Hongera kwa CCM kwa kuiona CHADEMA na siasa zake za Ki-Uharakati, Ki-Uchochezi na za Ki-Uhasama.
 
Mkishaiba na kuwekeza nje ya Nchi jioni mnalog in Jf kuja kutupumzikia.
 
Badala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa?

Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
Viongozi wanaopata madaraka kwa chaguzi za kishenzi hata wakitukanwa ni sawa tu. Unapata madaraka kwa njia ya kutukana uchaguzi, halafu unataka upewe heshima kwa madaraka uliyoyapata bila heshima!
 
Badala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa?

Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
Hii dhana ya "laana" kuielekeza kwa watu wanaokosoa mienendo na matendo machafu ya viongozi wa serikali akiwemo Rais inatokana fikra za "wajinga" au "wasio na ufahamu" tu kama wewe..

Wewe unajidhania unajua usemalo, lakini ukweli ni kuwa hujui lolote, maana kama unafikiri hivi, basi wewe kiuhalisia ni mjinga wa mwisho ktk wajinga wote kwa kuwa hujui wajibu wako!!

Asiyekosolewa ni mmoja tu. MUNGU MUUMBA peke yake..!

Mimi nakushauri, hii dhana kaa nayo wewe nyumbani kwako na watoto wako, acha kujiropokea mbele ya watu wenye ufahamu.!

➡ Kwa sababu, kuyasema matendo machafu ya Rais na wenzake huko serikalini waziwazi ndio kumsaidia kwenyewe huko..!!

➡ Kukosoa, kukumea ikibidi kulaani mienendo ya hovyo a Rais na wenzake waziwazi huko serikalini ndio kumsaidia kwenyewe huko..!!

===Hatumsaidii mtu tunayemwona anaharibu kwa kunyamaza kimya bali kwa kumwambia kuwa ufanyacho ni kibaya, hakifai jirekebeshe.===

➡Au wewe unataka asaidiweje kwa mfano?

➡Na unazijua sheria zetu na katiba yetu inasemaje juu ya wajibu wa wananchi kwa serikali yao inayoongozwa na Rais?

Sheria na katiba yetu zinaeleza wazi kuwa kumsema Rais au kiongozi yeyote wa serikali ktk namna ya kukosoa mwenendo wake, matendo yake au kauli yake si kosa kisheria bali ni mananchi wafanyavyo hivyo kutimiza wajibu wao mtakatifu..

"....Mpingeni shetani wazwazi naye atawakimbia...", imeandikwa hivyo mahali fulani ktk Biblia - Neno la Mungu..

Shetani hapingwi kwa kukaa kimya. Shetani hupingwa kwa kumwambia ukweli dhidi ya uongo wake unaowapelekea watu akiwemo Rais na wenzake serikali kujiingiza kwenye vitendo viovu na vichafu na kuliharibu taifa letu!

Kwa hiyo narudia tena kukuambia kuwa;

Hii dhana ya "laana" kuhusu hili ni ya kichwani mwako tu, kamwe haiwezi kuwa applicable ktk situation hii...

Nakushauri, kaa nayo wewe na watoto wako nyumbani kwako..!!
 
Badala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa?

Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
Alitukanwa lini? na nani? Kutukana si ni kosa la jinai? Kuna aliyekamatwa kwa hayo matusi...?

Unaelewa matusi au unajiandikia tu.
 
Back
Top Bottom