Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mimi nilitamaani mama afanikiwe na bado natamaani!
Mimi ni wale tuliotolewa upinzani kwa 'lazma' na kuniunga CCM....
Mkuu, Huyu mama ni janga la Taifa [Alaaniwe kila aliyehusika kumweka mwanamke kwenye nafasi hiyo,hasa aliye leta ajenda ya 50/50].

Huyu mama yupo kutimiza ilani za mabepari na ajenda zao[ambazo JPM alikuwa anakinzana nazo]
1/.Kutuletea chanjo iliyopingwa vikali kabla

2/. Kufukuza wamachinga mitaani hovyo -hadi sasa hakuna jipya kwao

3/.Kuchoma na kuteketeza, baadhi ya masoko mbambali na makubwa nchini, sehemu nyingine ghala la chakula liliteketezwa.

4/.Kuliingizia Taifa deni lisilolipika kirahisi

5/. Kuruhusu wizi na kulea ufisadi.n.k

Yapo mengi,ila yote yamefunikwa ma mwamvuli mkubwa wa wimbo wa mabadiliko ya tabia nchi ambayo ndiyo ajenda kubwa ya UN[Jaribu ku Google; UN agenda 2021-2030 goals,utanielewa]Haya magumu tunayopitia ikiwa ni pamoja na mfumuko wa bei ni sehemu ya mipango.

JPM alijitahidi sana kupingana nao akipambana kuliinua Taifa lijitegemee-wakamtoa duniani.

Huyu mama bila woga mbele za MUNGU,aibu/haya,hana huruma kwa wananchi,ameamua kutekeleza yote kwa maslahi binafsi.

Hukuna tunachoweza kujivunia kwa uwepo wake madarakani,Ni bora angekufa yeye tubaki na JPM, au angemfuata JPM huko, tupate kiongozi mwingine kama Makonda,Majaliwa, Jerry Slaa.n.k. AMETUCHOSHA WENGI.
 
Mama Samia ndani ya muda mfupi amefanya mambo mengi sana. Barabara, umeme wa rufiji, treni ya umeme, mikopo isiyo na riba kwa wananchi, ameunganisha taifa na kuongeza furaha Kwa wananchi. Mengi mazuri yanakuja endapo tutampa muda zaifi. Hakika mama anastahili. Mwaka 2025 kura zote kwa Samia.
Usijitaabishe,HASTAHILI hata ujumbe wa mtaa.Yote mnayomsifia kayafanya,yalianzishwa na JMP,bila aibu/haya mengine ameshindwa kuyakamilisha mpaka sasa.SIONI MNACHOJIVUNIA KWAKE,labda wizi /ufisadi na kuombaomba mikopo isiyo na tija.
 
Kwanini huungi, wakti wote tunakubaliana haya mamiradi ndo yamefanya hera ipungue mifukoni mwetu
kimla uwepo wa miradi si ndo chanzo cha ajira au wewe hela zako huwa unapataje,waharifu mna shida sana.
 
Kila nikikaa na kuangalia miradi mbalimbali mikubwa iliyofanyika na inayoendelea kufanyika ndani ya nchi yetu inadhihirisha kabisa uwezo mkubwa na ushupavu aliyonao Mhe. Rais wetu

Samia Atosha

Kazi iendelee
 
Tuseme ndo umepata fursa ya kwenda kukutana na Raisi wa Tanzania kwa mwaliko maalumu kama mgeni rasmi, neno lipi, ujumbe upi ama ushauri upi ungependelea kumpatia
 
Tuseme ndo umepata fursa ya kwenda kukutana na Raisi wa Tanzania kwa mwaliko maalumu kama mgeni rasmi, neno lipi, ujumbe upi ama ushauri upi ungependelea kumpatia
umasikini wa watanzania unaletwa na watendaji kunatakiwa kufanyiwe reforme kubwa sana kwenye utendaji wa watendaji serikalini.

technojia inaweza kuzawazisha hili tafuteni wataalamu hata huko nje waje wasaidie hawa watendaji wetu isee wanatia huruma then ndio tunategemea walete maendeleo ngumu sana.
 
Ningemuomba sana asigombee 2025. Akapumzike, pia afanye mchakato kutenganisha Mwenyekiti ccm asiwe ndiyo mgombea wa Uraisi.
Nina mengi nitaishia kulia 😔
 
Nitamwambia anipe uteuzi na asinitengue walau kwa mwaka tu hilo linatosha.
 
Tuseme ndo umepata fursa ya kwenda kukutana na Raisi wa Tanzania kwa mwaliko maalumu kama mgeni rasmi, neno lipi, ujumbe upi ama ushauri upi ungependelea kumpatia
Ningemshauri namna bora ya kuwafanya watumishi wa serikali wawe na utaratibu mzuri wa kufanya ibada maofisi yote ya serikali kabla ya kuanza kazi na muda kuondoka kazini yaani dua ya asubuhi na jioni angalau wajue hofu ya mungu ili watende haki na kubariki vipato vyao.
 
hapo mi nitamuomba kazi ama hela tu,vyakumshauli hakuna maana mi nachojua kuhusu wanasiasa wanajua kabisa tunavyovitaka sasa kwanini nimwambie mambo anayojua! mi sijishghulishi na hilo,kila siku kuhubiri mambo yaleyale tu!
 
Cha kwanza "Hongera sana! Ama kweli Mungu humpa amtakae"

Cha pili "Upgrade mifumo ya utendaji ya uliowateua, ndio wanaokuangusha. Hali ni mbaya, watu wanazidi kuwa masikini. Uadilifu na Siasa bora pia usikivu ndio itakuwa chachu ya maendeleo ya nchi na watu wake kwa ujumla"

Cha tatu na cha mwisho "Avitumie vyema vyombo vya ulinzi na usalama, wataalam wa afya na waalimu... Awaboreshee maisha, mishahara minono, makazi, Bima na kila kitu. Binafsi ni nyenzo muhimu kwenye nchi. Bila kuwasahau wafanyabiashara na kuwawekea sera kabambe za kupanua uzalishaji, mauzo na kila kitu kuhusu biashara.
 
1. Atengeneze utaratibu wa kupokea changamoto moja kwa moja kutoka huku chini; Wengi wanaompa taarifa wamejifungia maofisini hivyo hawajui shida za wananchi. Fuatilia Waziri Silaa & mikutano ya makonda....
2. Afuatilie changamoto za wastaafu kwa kuboresha kikokotoo kiwe na formula ya kuwanufaisha kama Nchi za wenzetu. Tatizo lilipo kwa sasa ni uendeshaji mbovu kabisa wa mifuko na ndio sababu inaishiwa fedha na wala haiwahusu wastaafu; Mf: kuwa na miradi mingi ya Mabilioni isiyo na tija, madeni mengi yasiyolipwa nk nk
3. Aweke mfumo utakao lazimisha wafanyakazi wawajibike (wafanye kazi kwa wakati na matokeo).
nk nk nk
 
Back
Top Bottom