Mkuu, Huyu mama ni janga la Taifa [Alaaniwe kila aliyehusika kumweka mwanamke kwenye nafasi hiyo,hasa aliye leta ajenda ya 50/50].Mimi nilitamaani mama afanikiwe na bado natamaani!
Mimi ni wale tuliotolewa upinzani kwa 'lazma' na kuniunga CCM....
Huyu mama yupo kutimiza ilani za mabepari na ajenda zao[ambazo JPM alikuwa anakinzana nazo]
1/.Kutuletea chanjo iliyopingwa vikali kabla
2/. Kufukuza wamachinga mitaani hovyo -hadi sasa hakuna jipya kwao
3/.Kuchoma na kuteketeza, baadhi ya masoko mbambali na makubwa nchini, sehemu nyingine ghala la chakula liliteketezwa.
4/.Kuliingizia Taifa deni lisilolipika kirahisi
5/. Kuruhusu wizi na kulea ufisadi.n.k
Yapo mengi,ila yote yamefunikwa ma mwamvuli mkubwa wa wimbo wa mabadiliko ya tabia nchi ambayo ndiyo ajenda kubwa ya UN[Jaribu ku Google; UN agenda 2021-2030 goals,utanielewa]Haya magumu tunayopitia ikiwa ni pamoja na mfumuko wa bei ni sehemu ya mipango.
JPM alijitahidi sana kupingana nao akipambana kuliinua Taifa lijitegemee-wakamtoa duniani.
Huyu mama bila woga mbele za MUNGU,aibu/haya,hana huruma kwa wananchi,ameamua kutekeleza yote kwa maslahi binafsi.
Hukuna tunachoweza kujivunia kwa uwepo wake madarakani,Ni bora angekufa yeye tubaki na JPM, au angemfuata JPM huko, tupate kiongozi mwingine kama Makonda,Majaliwa, Jerry Slaa.n.k. AMETUCHOSHA WENGI.