Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
binafsi siwezi danganya wanyonge, kwanza sio ustaarabu na hakuna haja kumdanganya...Acha uongo wewe jamaa!Dunia ya leo yenye utandawazi ndiyo unaandika ujingaujinga hivyo?Unataka kumdanganya nani?
ni bahati mbaya tu wabishi kwenye hili, miongoni mwao wamegoma katukatu kurejea vijijini makwao hata baada ya kumaliza masomo, licha ya kwamba hawaajiriki tena kwasabb ya kigezo cha umri...
hata hivyo,
ukweli utabak pale pale kwamba yapo maeneo nchini hawajui kitu kingine chochote zaidi ya CCM na kiongozi wake Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒
kuthibitisha hilo,
tembelea tovuti ya tume huru ya uchaguzi utagundua maeneo ambayo nayazungumzia.
ushindi wa kishindo wa CCM hua ni wa zaidi ya asilimia 98%, huku hizo asilimia zilizobaki ni kura zilizoharibika 🐒