Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwani anayaona?Na ukifatilia speech zake hata haongelei kabsa madudu ya wasaidizi wake wala kuwakemea
Daaah🤦♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani anayaona?Na ukifatilia speech zake hata haongelei kabsa madudu ya wasaidizi wake wala kuwakemea
Daaah🤦♂️
Kodi ya umeme kwa mwezi 2,000. Kila ukinunua umeme unalipa tena kodi za VAT, EWURA na REA. Wameamua kutuangamiza.MAKATO YA UMEME KWA MWEZI SASA NI 2,000Tsh NA SIYO 1500 🤨
Daah acha tu mdauKodi ya umeme kwa mwezi 2,000. Kila ukinunua umeme unalipa tena kodi za VAT, EWURA na REA. Wameamua kutuangamiza.
😂Z anto achana na ile jini jini ananipendaa mimi
kunayo ile nyingine
EWURA&REA ni Taasisi za Serikali zilizoanzishwa kwa Sheria za Bunge,iweje zinaendeshwa kwa makato kwenye miamala ya kununua huduma za umeme?Kodi ya umeme kwa mwezi 2,000. Kila ukinunua umeme unalipa tena kodi za VAT, EWURA na REA. Wameamua kutuangamiza.
Hakuna taifa linaweza kuendelea bila kujenga nifumo imara na kuiheshimu. As long as wewe unaweka talanta zako kwa maono ya mtu mmoja lazima utakuwa dissapointed. Ndo maana aliyoyafanya Magufuli yamepotea kama barafu juani ni kwa sababu aliamini kwamba ni yeye pekee anaweza kutuvusha.Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Rais Samia shikamoo! nimekuandikia huu ujumbe kukupongeza kwa kutibu magonjwa sugu ya kuwaondoa vijana wasiokuwa na adabu ndani ya serikali yake hongera Sana mama yetu
Bado ana kosa usafi kwa kuendelea kumlinda Mwigulu.Rais Samia shikamoo! nimekuandikia huu ujumbe kukupongeza kwa kutibu magonjwa sugu ya kuwaondoa vijana wasiokuwa na adabu ndani ya serikali yake hongera Sana mama yetu