Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ushaingia Kwenye mfumo Tyr wa ccm ..nawe unawaamini hawa watu mkuu
 
Mhe. Rais , Amiri Jeshi mkuu, Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt Samia Suluhu Hassan.
Watanzania tunakupenda sana ndio maana unaona tunavyojimwaga mwaga humu Jeiefu na mpaka sasa unaendelea kutuhakikishia uhuru wetu wa kutoa maoni!
Ukipandsha mishahara watumishi watajimwaga mwaga mara mbili ya hapa sasa.
Mungu awe nawe katika kazi za mikono yako.
 
Katika nyakati nilizofanikiwa kimaisha ni miaka hii ya Rais wetu kipenzi Cha watanzania Samia Suluhu Hassani yaani kipindi hiki ukiwa mchapa kazi utafaidika sana sababu mama ametoa fursa kwetu vijana tutafute pesa na tule Kwa urefu wa kamba zetu.

Hakika mama Mungu akulinde duniani miaka yote natamani mama yetu kipenzi atuongoze miaka yote mpaka dunia inaisha hakika mama unaupiga mwingi, mwakani kura yangu umepata tuchape kazi jamani vijana wenzangu na tulipe Kodi Tanzania ya maendeleo.
 
Kama Rais Mwanamke ambaye watu walikuwa na wasiwasi mkubwa kama utaweza kweli kuendesha nchi ya Tanzania.

Lakini umeendelea kuonyesha ujasiri Mkubwa. Umekutana na Vikwazo vingi lakini havijakurudisha nyuma umeendelea kupambana. Ujasiri wako unatufunza mengi sisi wanawake.

Hongera sana Rais Samia. Mwanamke sio tu kujifungia ndani na kulia kutokana na magumu tunayopitia wakati mwingine bali ni kuamka na kuendelea na majukumu.

Hakika tunahitaji kitabu chako tujifunze Mengi kutoka kwako. Nimependa leo ulivyosafiri na wananchi wa kawaida kwenye Tren ya SGR na ulivyokuwa unajibu maswali ya waandishi wa habari.

Wewe ni kiongozi Bora.
 
Kama Rais Mwanamke ambaye watu walikuwa na wasiwasi mkubwa kama utaweza kweli kuendesha nchi ya Tanzania.

Lakini umeendelea kuonyesha ujasiri Mkubwa.
Umekutana na Vikwazo vingi lakini havijakurudisha nyuma umeendelea kupambana.

Ujasiri wako unatufunza mengi sisi wanawake.

Hongera sana Rais Samia.

Mwanamke sio tu kujifungia ndani na kulia kutokana na magumu tunayopitia wakati mwingine bali ni kuamka na kuendelea na majukumu.

Hakika tunahitaji kitabu chako tujifunze Mengi kutoka kwako.
Nimependa leo ulivyosafiri na wananchi wa kawaida kwenye Tren ya SGR na ulivyokuwa unajibu maswali ya waandishi wa habari.

Wewe ni kiongozi Bora.
Samia ni Kiongozi wa mfano Afrika yote hii
 
Miradi ya Maji kila pahala, umeme kila pahala, mashule kila pahala, mabarabara kila pahala, huyu mama hakika ni mama kiongozi ni mama wa mfano, kila senti inadumbukizwa kwenye miradi.
 

Attachments

  • F6xfq_lXcAAF1vV.jpeg
    F6xfq_lXcAAF1vV.jpeg
    219.1 KB · Views: 5
Huyu mama,yaan Rais Samia Suluhu Hassan akija kumaliza kipindi chake kiutawala...watanzania na Rais wetu tumtakae(ajae) tutalia na kusaga meno na hapatakuwepo hata muda wa kumwomba msamaha huyu mama.
Mwenyezi akatufungue akili zetu.Kila aombae kura ataka kura....amani ni kitu cha msingi Sana ndugu zangu.

Mungu ibariki Tanzania.🙏
 
Huyu mama,yaan Rais Samia Suluhu Hassan akija kumaliza kipindi chake kiutawala...watanzania na Rais wetu tumtakae(ajae) tutalia na kusaga meno na hapatakuwepo hata muda wa kumwomba msamaha huyu mama.
Mwenyezi akatufungue akili zetu.Kila aombae kura ataka kura....amani ni kitu cha msingi Sana ndugu zangu.

Mungu ibariki Tanzania.🙏
Umeanza lini uchawa?
 
Back
Top Bottom