Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili andiko mbona sijalielewaHello!
Mwakani julai watumishi mtafurahi, atawaongezea mshahara. Mtafurahi sana tarehe kama hizi Julai 2025.
Rais Samia yuko pamoja na watumishi, hatawaangusha.
Nimewaambia mwakani mtapata raha nafsini mwenye. Sio leo @🤣🤣NMB ishasoma hamna jipya sio🤣🤣
Samia ni Kiongozi wa mfano Afrika yote hiiKama Rais Mwanamke ambaye watu walikuwa na wasiwasi mkubwa kama utaweza kweli kuendesha nchi ya Tanzania.
Lakini umeendelea kuonyesha ujasiri Mkubwa.
Umekutana na Vikwazo vingi lakini havijakurudisha nyuma umeendelea kupambana.
Ujasiri wako unatufunza mengi sisi wanawake.
Hongera sana Rais Samia.
Mwanamke sio tu kujifungia ndani na kulia kutokana na magumu tunayopitia wakati mwingine bali ni kuamka na kuendelea na majukumu.
Hakika tunahitaji kitabu chako tujifunze Mengi kutoka kwako.
Nimependa leo ulivyosafiri na wananchi wa kawaida kwenye Tren ya SGR na ulivyokuwa unajibu maswali ya waandishi wa habari.
Wewe ni kiongozi Bora.
Umeanza lini uchawa?Huyu mama,yaan Rais Samia Suluhu Hassan akija kumaliza kipindi chake kiutawala...watanzania na Rais wetu tumtakae(ajae) tutalia na kusaga meno na hapatakuwepo hata muda wa kumwomba msamaha huyu mama.
Mwenyezi akatufungue akili zetu.Kila aombae kura ataka kura....amani ni kitu cha msingi Sana ndugu zangu.
Mungu ibariki Tanzania.🙏