Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huyu Lucas Mwashambwa ni mndali wa Kijiji kimoja Kiko ndaani ndani huko Songwe karibu na Itaka.
Ndiyo maana mshamba,sababu mtu aliyekulia mjini hata kama hajasoma ,huwezi kukuta anasifiasifia vitu visivyokuwa na maana, kuzaliwa mjini tu ni elimu tosha,
kwa wanaomfahamu zaidi wangetupa wasifu wake toka akiwa shule anasoma
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.

Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.

Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.

Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.

Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.

Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.

Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naona huyo Samia mmemfanya mungu wenu sasa
 
Jisemee wewe mwenyewe mkuu ila usitusemee wote, utuache na usituzoee na ukome kabisa! Wakati ukifika na yeye atapita kama upepo.
 
Mawazo haya ya kikabila ndio maana kila mtu humu jukwaani anakuona kama hamnazo.
Itisha kura kati ya mimi na wewe tuone nani ataonekana zwazwa hapa jamvini.Kwa vile huna akili ndiyo maana hujui unadharaulika kiasi gani humu, jaribu kupitia threads zako halafu angalia watu wana comment nini juu yako.
 
Kwanza kitendo tu cha kunishindanisha mimi na wewe itakuwa ni kunidhalilisha mimi .wewe tafuta wa kushindana nao kule Mirembe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.

Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.

Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.

Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.

Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.

Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.

Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Rubbish
 
Kwanza kitendo tu cha kunishindanisha mimi na wewe itakuwa ni kunidhalilisha mimi .wewe tafuta wa kushindana nao kule Mirembe
Haya basi pitia nyuzi zako uone watu wanasemaje juu yako, kama hili nalo hulielewi basi nikuache tu na utaahira wako endelea kujidhaliisha lakini hicho unachotarajia hutakipata hakuna teuzi kwa vilaza kama wewe.Utaambulia kutupiwa makombo na kina Makonda na Kafulila tu.
 
Mimi nakula kwa jasho langu kwa kufanya kazi kwa kujituma shambani.
 
Back
Top Bottom