Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nipo Tanzania na nashuhudia namna watanzania wanavyompenda na kumkubali Rais Samia kutokana na uchapakazi wake uliotukukaLuca uko nchi hii hii au upo Botswana wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Tanzania na nashuhudia namna watanzania wanavyompenda na kumkubali Rais Samia kutokana na uchapakazi wake uliotukukaLuca uko nchi hii hii au upo Botswana wewe?
Acha ujinga wako wa mawazo ya kikabila hapa.Nilitaka kujua wewe ni kabira gani na umekulia mjini au kijijini?
Huyu Lucas Mwashambwa ni mndali wa Kijiji kimoja Kiko ndaani ndani huko Songwe karibu na Itaka.Nilitaka kujua wewe ni kabira gani na umekulia mjini au kijijini?
We jamaa una tatizo la afya ya akili weweNipo Tanzania na nashuhudia namna watanzania wanavyompenda na kumkubali Rais Samia kutokana na uchapakazi wake uliotukuka
Ndiyo maana mshamba,sababu mtu aliyekulia mjini hata kama hajasoma ,huwezi kukuta anasifiasifia vitu visivyokuwa na maana, kuzaliwa mjini tu ni elimu tosha,Huyu Lucas Mwashambwa ni mndali wa Kijiji kimoja Kiko ndaani ndani huko Songwe karibu na Itaka.
Naona huyo Samia mmemfanya mungu wenu sasaNdugu zangu Watanzania,
Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.
Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.
Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.
Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.
Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.
Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.
Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha upotoshaji wako hapa weweHuyu Lucas Mwashambwa ni mndali wa Kijiji kimoja Kiko ndaani ndani huko Songwe karibu na Itaka.
Anawadhalilisha sana jamii ya WandaliHuyu Lucas Mwashambwa ni mndali wa Kijiji kimoja Kiko ndaani ndani huko Songwe karibu na Itaka.
Ukubali ama ukatae ukweli utabaki kuwa Rais Samia ndiye ameshikilia furaha ya watanzaniaJisemee wewe mwenyewe mkuu ila usitusemee wote, utuache na usituzoee na ukome kabisa! Wakati ukifika na yeye atapita kama upepo.
Mawazo haya ya kikabila ndio maana kila mtu humu jukwaani anakuona kama hamnazo.Anawadhalilisha sana jamii ya Wandali
Itisha kura kati ya mimi na wewe tuone nani ataonekana zwazwa hapa jamvini.Kwa vile huna akili ndiyo maana hujui unadharaulika kiasi gani humu, jaribu kupitia threads zako halafu angalia watu wana comment nini juu yako.Mawazo haya ya kikabila ndio maana kila mtu humu jukwaani anakuona kama hamnazo.
Kwanza kitendo tu cha kunishindanisha mimi na wewe itakuwa ni kunidhalilisha mimi .wewe tafuta wa kushindana nao kule MirembeItisha kura kati ya mimi na wewe tuone nani ataonekana zwazwa hapa jamvini.Kwa vile huna akili ndiyo maana hujui unadharaulika kiasi gani humu, jaribu kupitia threads zako halafu angalia watu wana comment nini juu yako.
RubbishNdugu zangu Watanzania,
Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.
Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.
Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.
Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.
Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.
Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.
Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Haya basi pitia nyuzi zako uone watu wanasemaje juu yako, kama hili nalo hulielewi basi nikuache tu na utaahira wako endelea kujidhaliisha lakini hicho unachotarajia hutakipata hakuna teuzi kwa vilaza kama wewe.Utaambulia kutupiwa makombo na kina Makonda na Kafulila tu.Kwanza kitendo tu cha kunishindanisha mimi na wewe itakuwa ni kunidhalilisha mimi .wewe tafuta wa kushindana nao kule Mirembe
Mimi nakula kwa jasho langu kwa kufanya kazi kwa kujituma shambani.Haya basi pitia nyuzi zako uone watu wanasemaje juu yako, kama hili nalo hulielewi basi nikuache tu na utaahira wako endelea kujidhaliisha lakini hicho unachotarajia hutakipata hakuna teuzi kwa vilaza kama wewe.Utaambulia kutupiwa makombo na kina Makonda na Kafulila tu.

Chawa mkubwa wewe unaishi kwa huruma ya wanume wenzako aibu yako hii.Mimi nakula kwa jasho langu kwa kufanya kazi kwa kujituma shambani
Naishi kwa jasho languChawa mkubwa wewe unaishi kwa huruma ya wanume wenzako aibu yako hii.