Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwahiyo ikitokea amefariki Dr Mpango hana uwezo huo?
Utakufa wewe na kutangulia .Rais wetu ni mpango wa Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.Ni Mungu mwenyewe anayeendelea kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwanza ningependa kuwakumbusheni kwa machache kati ya Mengi kuhusu mtu kuwa Rais. Ningependa kuwaambieni ya kuwa Mtu hawi Rais wala kukidhi vigezo vya Urais kwa kufanya tukio moja au kwa matukio yampito kama mvuke.

wala mtu hawi RAIS kwa kuongea sana maneno mdomoni pake bila mipaka, mpangilio,utaratibu na utulivu.

Urais unahitaji mtu mwenye utulivu wa akili,mwenye afya njema ya akili .mwenye uwezo wa kudhibiti na kutawala hisia zake, hasira zake, Mihemko yake, chuki zake, kinyongo chake na hata matamanio yake binafsi. Urais hauhitaji ujuaji.

Urais ni taasisi inayohitaji mtu mwenye historia ya kiutendaji iliyotukuka. unaweza kumbeba beba mtu kwa njia zote na kumuweka katika nafasi fulani lakini kamwe huwezi kumbeba beba na kumzoa zoa mtu kumuweka kwenye kiti cha Urais.

Kwa hakika ni lazima utalitikisa, kulitetemesha, kulipoteza, kulivuruga, kulisambaratisha, kulikwamisha na kuleta sintofahamu kwa Taifa ikiwa ni pamoja na kuhatarisha usalama na umoja wa kitaifa.unaweza kumpa mtu upendeleo wa kumpatia nafasi yoyote ile na hata akifanya makosa yasiwe na athari kwa Taifa lakini kamwe huwezi kumpa mtu Urais kwa majaribio na matamanio yako tu binafsi.

Urais siyo mahali pa kujifunzia kazi au kufanyia majaribio.Urais ni nafasi inayohitaji mtu aliyepevuka kiakili na kimwili,mtu anayejiheshimu,asiye na utoto utoto hata katika maandishi yake na maamuzi yake.Urais unahitaji mtu mwenye ngozi ngumu na mwenye uwezo wa kuogelea na kupiga mbizi katika Mawimbi ya kila aina na kulivusha Taifa.

Urais hauhitaji ushindi katika kila mjadala. Bali unahitaji maridhiano,subira, uvumilivu,usikivu kila panapotokea jambo lenye kugusa hisia za watu na mivutano.

Urais unahitaji mtu mwenye uwezo, akili ya kuongoza watu na kuwaleta pamoja licha ya tofauti zao za kisiasa, mitizamo,Imani na mengine Mengi. Urais unahitaji mtu mwenye uwezo wa kufikiri ndio kufanya maamuzi na siyo kufanya maamuzi au kutoa maneno au kauli na kisha kufikiria juu ya maamuzi au kauli au maneno yaliyokwisha kutolewa na kutoka kinywani kama Risasi.

Ukiangalia hayo machache niliyoyaeleza utakubaliana nami kuwa hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vya Rais Samia vya Uraisi. Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anayestahili kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa sababu ameonyesha uwezo, utulivu na stamina ya hali ya juu sana hata katikati ya mambo mazito yenye kila aina ya hisa kali, minyukano ya maneno, mawazo na maoni tofauti tofauti yenye kuibua hadi maneno ya ubaguzi na kibaguzi.

Rais Samia wakati wote ameonyesha umakini na utulivu wa kiwango cha juu sana.Historia yake pia ya kiutendaji imetukuka na iliyoonyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi alionao.

Amepita katika majaribu ya kila aina lakini amevuka akiwa imara na madhubuti.tofauti na wengine unakuta jambo dogo tu anajikuta akipaniki, kuhemuka, kupoteza utulivu, umakini na ustahimilivu na kujikuta akitumia na kuongozwa na jazba na hisia.

Rais Samia ameanzia na kupita maeneo mengi mpaka kufika hapo alipo kiutumishi amekaa na kufanya kazi na watu mbalimbali na wenye aina tofautitofauti za kiuongozi.ndio maana yakuona ameiva na kukomaa kisawasawa.

Anajiheshimu na ameiheshimisha taasisi ya Urais. Anajuwa nini anafanya na nini anapaswa kufanya na nini hapaswi kufanya hata kama anatamani kufanya kama binadamu wengine.

Kuna mwingine unakuta ni kiongozi mkubwa lakini anafanya vitu ambavyo vinashusha hadhi na kuchafua kiti alichokalia ni lazima ufahamu ya kuwa kuna vitu binafsi inabidi ujizuie kufanya au kutenda ni lazma ufahamu kuna uhuru binafsi fulani inabidi ukubali kupunguza unapokuwa kiongozi wa juu.
View attachment 3132946

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha uongo wako wewe! Tanzania hata Kilaza na CHAWA kama wewe, unaweza kutawala na kupata kabisa wajinga wachache wa kukupamba na kukusifia.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.

Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.

Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.

Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.

Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.

Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.

Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii sasa ni kufuru na upuuzi wa viwango vya juu mno
 
Kashikilia furaha ya ya baadhi ya wanachama machawaa na familia yake huku kimkazi ,familia ya mkwe wake ,hata wewe hajashikilia yako kujikomba tuu kama atakuonaaa.
 
Huyu mama tumpe maua yake,pamoja na kwamba anamapungufu yake hasa ya kutokudhibiti matumizi sahihi ya pesa za serikali zinawekwa kwenye miradi mbalimbali zinazoendelea hapa nchini

Nachompongeza mpaka sasa miaka aliyokaa madarakani hakuna cha raia kubeba tofari wala jiwe la msingi kujenga jengo la serikali au kituo cha afya yaan raia tumerelax serikali inafanya yote pasipo kushika bata wala mbuzi ya raia

Huyu binti tumpe tu mitano tena ila nachomuomba asicheke na kima tena

kwa uzamini wa pride of the nation konyagi
images-2.jpeg

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
 
Unaishi Tanzania? Mbona kila siku wananchi wanachanga kujenga shule
Chukua taarifa hizi chache
Screenshot_20241101-190847_1.jpg

Screenshot_20241101-190807_1.jpg
 
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan imeendelea kujenga uchumi wa kisasa, fungamanishi, jumuishi na shindani katika msingi wa viwanda, huduma za kiuchumi na miundombinu wezeshi.

Rais Samia anajua fika sekta ya viwanda ndio chimbuko la maendeleo ya haraka ya nchi mbalimbali na ni mhimili mkuu wa kutegemewa katika kuongeza thamani ya malighafi tulizonazo, kutoa ajira kwa wananchi, kuongeza mapato ya Serikali, kuingiza fedha za kigeni pamoja na kusaidia katika mapambano ya kuondoa umaskini.

Katika miaka yake takribani minne sasa Serikali anayoiongoza imefanikiwa kuvutia uwekezaji wa viwanda vikubwa vyenye kuzalisha bidhaa za teknolojia ya hali ya juu na zenye kuhitajika sana kwenye uchumi wa kisasa wa leo.

Shilingi bilioni zaidi ya 92 zimewekezwa kwenye Kiwanda cha kuzalisha nyaya za umeme na transfoma cha Elsewedy (Elsewedy Electric) kilichopo eneo la Kisarawe 11, Kigamboni Dar es Salaam. Huu ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya @ccmtanzania 2020 - 2025 kwa vitendo!

#SamiaKazini
#HakunaKilichosimama
#UchumiWaViwanda
#MaendeleoKwaVitendo
#TunaendaNaSamia2025

1731065933637.jpg
1731066002393.jpg
FB_IMG_1731065538878.jpg
dffa7cd43bc99680e351ea4548cece56.jpg
7cb21caee1afd63ed70f4646b17eed81.jpg
1c3807ca26dec68a61247e329c3babbc.jpg
4-5-1024x495.jpg
6-3-1024x592.jpg
makamba-pic-1122x631.jpg
 
Tayari Kiwanda cha kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam kimeanza uzalishaji. Huu ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya @ccmtanzania 2020 - 2025 kwa vitendo!

#SamiaKazini
#HakunaKilichosimama
#UchumiWaViwanda
#MaendeleoKwaVitendo
#TunaendaNaSamia2025
 
Attachments

  • IMG_0063TCV-1024x683.jpg
    IMG_0063TCV-1024x683.jpg
    129.2 KB · Views: 5
  • IMG_0249TCV-860x573.jpg
    IMG_0249TCV-860x573.jpg
    63 KB · Views: 6
  • IMG-20240509-WA0580-1024x789.jpg
    IMG-20240509-WA0580-1024x789.jpg
    192.3 KB · Views: 5
  • SAMIA-6.jpg
    SAMIA-6.jpg
    65.3 KB · Views: 5
  • IMG-20240509-WA0875.jpg
    IMG-20240509-WA0875.jpg
    134.9 KB · Views: 6
  • IMG-20240509-WA0876.jpg
    IMG-20240509-WA0876.jpg
    109.1 KB · Views: 5
  • IMG-20240509-WA0755-1024x797.jpg
    IMG-20240509-WA0755-1024x797.jpg
    155.6 KB · Views: 6
  • SAMIA-9.jpg
    SAMIA-9.jpg
    93.4 KB · Views: 6
  • SAMIA-5.jpg
    SAMIA-5.jpg
    85.7 KB · Views: 7
Tumejaribu kumtetea sana.

1. Ubaya wa demokrasia uko palepale watu wanapotea na wagombea wanakatwa kiholela. 4R ni maneno tu
2. Rushwa imeongezeka na uwajibikajo wa wafanyakazi umepungua

Sasa tumsifie kwa lipi? Maana mwenzake alipambana na rushwa sana. Yeye kachukuwa yote mabaya ya Magufuli na mazuri kayaacha!.

Kwa wazalendo wa kweli msemeni Mama kwa manufaa yetu sote sio kusifia kwa unafiki na kufikiri mna msaidia
 
Back
Top Bottom