ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,335
mods tuondolee huyu nyumbu amekosea pori
Hata wewe kenge umekosea njia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mods tuondolee huyu nyumbu amekosea pori
kuna halimashauri ambazo zinakera na zinatia kichefuchefu kiutendaji,maendeleo duni,wapo wapo tu wanakula bata.
~Kishapu
~Sengerema
~Meatu
~Bunda
Ongezea na wewe ili magufuli alale nao mbele
Tumekusikia tutakufikia
Japo hili la udini hapana
Kama wamekidhi vigezo na wanatekeleza majuumu yao ipasavyo hatuna shida na imani zao HAPA KAZI TU
Mheshimiwa Waziri Mkuu..
Najua wapo baadhi ya wasaidizi wako wanachungulia chungulia Humu Jamii Forum
Tafadhali nakuomba usikie kilio chetu sisi vijana mafukara tulio wanyonge huko kwenye hiyo mifuko kama jina lako halianzii na Peter au Thomas au Magdalena huwez kufikiriwa hata kuitwa kwenye usaili.
Mfano hata ukiangalia Board members ya PPF na GEPF woote Takriban ni Wakristo pamoja na Top Management Yoote ya PPF kuanzia kwa GD Urio kushuka chini...
Nchi hii ni yetu soote na soote tuna haki sawa katika ajira.
Muislam kupata kazi kwenye mifuko hiyo ni ndoto.
Zaman walikua wanasema hatuna elimu lakn sasa siyo kweli hoja hiyo.
Tunaomba uliangalie hilo.
Shukran.
Mkuu, hivi Jakaya hakuliona hilo?