Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Huku Arusha huyu Meneja wa TANESCO anatakiwa apewe kila kilicho chake aondoke anawatesa wananchi sana
 
jipu la tanesco usaha wake mwingi ukitumbua vibaya wote mnachafuka!
 
Naomba sana tena sana Mungu awaamshe salama Magufuli na Majaliwa ili wakatumbue jipu la Tanesco kabla hajatangaza baraza la mawaziri ni muhimu sana ili waziri ajaye asiwe muoga.
Mungu ivisha hili jipu mapema.
Amen

Ameen!!!!!
 
Kuna maeneo leo network hazifanyikazi mtindo huu bado inajitokeza inapokaribia mwisho wa mwezi kulikoni JPM tuokoe na hili janga kwa Tanesco
 
Ni shirika bovu kbs, linatumia vibarua kwenye matawi yake yoote aliajiri kbs sijui kwa nini?
 
Naomba sana tena sana Mungu awaamshe salama Magufuli na Majaliwa ili wakatumbue jipu la Tanesco kabla hajatangaza baraza la mawaziri ni muhimu sana ili waziri ajaye asiwe muoga.
Mungu ivisha hili jipu mapema.
Amen

Hawa si ndiyo wenye vimiradi vya m-power na ule mwingine wa solarmobile/mobilesolar!!!
 
Naomba sana tena sana Mungu awaamshe salama Magufuli na Majaliwa ili wakatumbue jipu la Tanesco kabla hajatangaza baraza la mawaziri ni muhimu sana ili waziri ajaye asiwe muoga.
Mungu ivisha hili jipu mapema.
Amen
Natamani aanze kulitumbua Tanesco Arusha wanakata umeme kama wanatuadhibu.
 
Hawa wamekuwa miungu watu.

Kikwete alipelekewa majina akayaweka kapuni.

hawa ni wa kutokomezwa kabisa kama kweli majibu yanatumbuliwa.
 
Pale pamesheheni wasomi. Kuanzia viongozi wa Chuo,wafanyakazi wa Chuo na wanafunzi. Wote ni wasomi. Kuyatumbua majipu ya UDSM kutawavua nguo wasomi wetu. Pale kuna magari mawilimawili kwa viongozi,Safari nononono na posho nenenene. Yapo magari ya viongozi wa pale yanahudumia nyumbani lakini yanahudumia na Chuo.

Wapo Watumishi wanaolipwa wakiwa hawako kazini. Na hata wale hewa wapo. Viongozi pale hulipiwa Safari na sherehe binafsi. Hata ukarabati wa makazi yao au ya watoto wao,ya pale chuoni na kwingineko,hug anyway kwa haraka na kulipiwa haraka. Jipu la UD lipo kisomi zaidi. Likitumbiliwa,litadhalilisha elimu yetu na wasomi wetu.Rais usiende UDSM. Nakuomba sana. Wahifadhi kwanza wasomi labda watajirekebisha!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Dawa ni kutumbua kila mahali ili kusizalishwe maprofesa wa kichina
 
Sawa amekusikia hataenda, atawaacha waendelee kufuja Mali ya umma mpaka utakapomruhusu aende
 
kilichobaki sasa ni kuchongeana tu kudadadeki mana hakuna namna.safi sana mzee wa Lumumba unaejielewa.
 
Inatia moyo waliokuwa wakimpinga magufuli sasa wapo mstari wambele kumkubali ....

Hapa kazi tu
 
Inatia moyo waliokuwa wakimpinga magufuli sasa wapo mstari wambele kumkubali ....

Hapa kazi tu

Kwenye hekima na busara kuhusu maswali ya kitaifa hakuna kupingana kipuuzi. Huo ndio mshikamano wa kitaifa. Bado ndiyo ameanza na ameanza vizuri tunasubiri ajitumbue jipu lake pia kwa sababu mfumo wa CCM na wanaCCM hasa watawala hakuna asiye na jipu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom