FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nasikia kuna wataalamu wa kucheza na mita za mafuta pale, kuna ukweli wowote juu ya hili?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa Waziri Mkuu..
Najua wapo baadhi ya wasaidizi wako wanachungulia chungulia Humu Jamii Forum
Tafadhali nakuomba usikie kilio chetu sisi vijana mafukara tulio wanyonge huko kwenye hiyo mifuko kama jina lako halianzii na Peter au Thomas au Magdalena huwez kufikiriwa hata kuitwa kwenye usaili.
Mfano hata ukiangalia Board members ya PPF na GEPF woote Takriban ni Wakristo pamoja na Top Management Yoote ya PPF kuanzia kwa GD Urio kushuka chini...
Nchi hii ni yetu soote na soote tuna haki sawa katika ajira.
Muislam kupata kazi kwenye mifuko hiyo ni ndoto.
Zaman walikua wanasema hatuna elimu lakn sasa siyo kweli hoja hiyo.
Tunaomba uliangalie hilo.
Shukran.
Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi. Yanayoendelea sasa nchini kwetu ni sawa na njia za mkato za kunyanyua uchumi alizokuwa anatumia Dr IDDI AMIN DADA wa Uganda
usishutuke kesho ukasikia wahindi na wapemba wanaandamwa. Kila la heri
Mirija yote ya walaji milungula ikibanwa tutakua na dola za kutosha na thamani ya shilingi itapanda.Kuna ukame ktk hazina ya dola... Serikali haina Money !! Ndo wanafanya uvamizi huu...badala ya kuomba kwa hiyari!!!!
MAHANJU huoni sherehe zimefutwa.....
Kwenye mafuta watamgusa mwana wa mfalme.
Mh Rais kwenye uingizaji wa mafuta ya vyombo vya moto pale Bandarini pia kuna uozo mkubwa uchunguzi wa kina ufanyike.
Baadaye ntatolea ufafanuzi pia jinsi wamiliki wa mashule wanavyopitisha vifaa vya ujenzi pale Bandarini bila kutozwa kodi kwa madai kwamba wanajenga shule kumbe wana ni wamiliki wa mahardware makubwa mijini kwa ajili ya biashara tu.
Mafuta ya transit yasafirishwe kwa malori yenye rangi maalum, yakikutwa vituoni tu..Kwenye mafuta ndiyo balaa kubwa zaidi.
Magufuli akiwafungia kazi huko, nina uhakika vituo vingi vya mafuta mitaani na kwenye barabara kubwa vitajifunga vyenyewe.
Kuna mchezo mchafu sana. Mafuta yanatolewa kama yapo transit lakini yanaishia kwenye vituo vyetu. Sijui hili watalifanyia akili gani. Kama kuna njia ya kutenganisha mafuta yakutumika Tanzania na yale ya nchi za jirani ingekuwa jambo muafaka kabisa.
Kituo cha mafuta ya transit kiwe peke yake na mbali ya kituo cha mafuta ya Bongo. Sina uhakika na namna ya kutekeleza hilo
Mafuta ya transit yasafirishwe kwa malori yenye rangi maalum, yakikutwa vituoni tu..