Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mzee Magufuli: Wakati wa kudai hela za escrow kutoka kwa hawa wabunge wako wawili (Chenge na Prof) ni sasa!
 
Attachments

  • chenge.jpg
    chenge.jpg
    19.1 KB · Views: 448
  • tiba.jpg
    tiba.jpg
    27 KB · Views: 430
Naungana na hoja ya mdau Fransis Da Don #12 , kuwa magari ya Transit yote yatumie rangi moja ili kudhibiti hilo, lakini namimi kwa kuongezea nadhani hata hayo ya transit nayo yalipie ushuru kama wa uingizaji wa mafuta Tanzania, kwa maana kwamba Tanzania inazisaidia nchi husika kukusanya kodi za uingizaji mafuta nchini mwao!

Kwahiyo Tanzania itazilipa hizo nchi kodi iliyowasidia kukusanya! Ikiwa Tanzania imekusanya Zaidi kuliko kiasi ambacho nchi husika inatoza, basi Mwingizaji wa hayo mafuta ataruidhiwa bal na nchi yake!

Ni kweli mbinu zozote zitafutwe. Moja ni hiyo ya rangi maalum japo inaweza kuwa ngumu kwa sababu magari hayo yanafanya kazi nchi mbalimbali. Utayakuta Mombasa wakati fulani.

Suala la kukusanya kodi inabidi nchi husika ikubali. Wajibu wao ni kulipa tozo za bandari lakini masuala ya kodi wanajua wao. Hapo kuna tatizo lingine. Je gari ikipata ajali ikiwa njiani, yaani ya Tanzania. Kuna complication kidogo na kodi hazilingani viwango.

Kuwe na gaeti au sehemu kwa ajili ya Transit tu. Meli husika zishushie huko bila kuchanganya na mafuta ya Tanganyika.
 
Sioni magari yakizungumziwa........anyway........hakuna jipya hapa........mvinyo ule ule tu........
 
na wale waliokuwa wanamkubali wanaisoma namba waliyoiandika,hapa ni kama ule wimbo wa bonge la nyau!

jpm itikadi yake ilikuwa wazi...

Hakuna aliye juu ya sheria...

Walikimbia ccm kabla hajawa rais ... Kila rostam, lowassa, fsumaye & co
 
Naungana na hoja ya mdau Fransis Da Don #12 , kuwa magari ya Transit yote yatumie rangi moja ili kudhibiti hilo, lakini namimi kwa kuongezea nadhani hata hayo ya transit nayo yalipie ushuru kama wa uingizaji wa mafuta Tanzania, kwa maana kwamba Tanzania inazisaidia nchi husika kukusanya kodi za uingizaji mafuta nchini mwao!

Kwahiyo Tanzania itazilipa hizo nchi kodi iliyowasidia kukusanya! Ikiwa Tanzania imekusanya Zaidi kuliko kiasi ambacho nchi husika inatoza, basi Mwingizaji wa hayo mafuta ataruidhiwa bal na nchi yake!
Sio kupakwa Rangi tu Bali iambatane na adhabu Kali
 
UDSM ya leo siyo ile ya jana na juzi ambayo nilizaliwa na kukulia mimi.

Sasa zile nyumba za walimu zina hali mbaya sana.

Kwa mfano zile nyumba za pale Darajani hata kule Kileleni...zinatia kinyaa.

Hakika kutakuwa na ufisadi mkubwa pale.
 
Na kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa TPDC kichunguzwe, data za TPDC, EWURA na TRA zilinganishwe ili wakwepa kodi za mafuta wapatikane.
 
UDSM ya leo siyo ile ya jana na juzi ambayo nilizaliwa na kukulia mimi.

Sasa zile nyumba za walimu zina hali mbaya sana.

Kwa mfano zile nyumba za pale Darajani hata kule Kileleni...zinatia kinyaa.

Hakika kutakuwa na ufisadi mkubwa pale.

ngabu mtoto wa chuo?? udasa enzi hizo inabamba mbaya.
 
Tunamuomba Mh saed kubenea pia atutajie wale walochota za stanic bank kama alivyo tuahidi wakati wa kampain zake ili Mr.mkamuaji awashughulikie ipasavyo wote.
 
Asiende maana wanaweza mnyima doctorate ya heshima wazee wa kujikomba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom