Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanza na wachache;
1. Shubashi Patel
2. Salum Mpuchu
3. RA
4. R1
5. Home Shopping Centre
6. GMS
Ongeza unao wajua
Mkuu HAMY-D ni kweli unachosema na hata mimi siwezi kubeza.lkn na mimi km binadamu,najaribu kuonyesha hofu yangu. Nadhani hata ww unajua km madudu haya yanayoibuliwa yapo kila wizara ikiwemo hiyo niliyoitaja..! Hapo ndo wengine tunapata maswali,kwa nini haikuwezekana kukomesha hiyo hali ktk hiyo wizara?? Km ni wakubwa zake walikuwa tatizo,ndo maana natamani aende huko..! Hii nchi ni yetu sote.Bilioni 97 zimeokolewa hadi sasa. Hii ni pesa ya mlipa kodi ambayo ingetumiwa kwa safari za nje na watumishi wa umma.
Ukiwa unaendelea kumdhihaki Dkt Magufuli hapa, yeye anaendelea kubana mianya ya upigaji hela iliyokuwa ikitumiwa na watendaji wa serikali na kuzidisha nguvu zaidi katika makusanyo ya kodi. Lengo ni kutimiza kila ahadi aliyoahidi wakati wa kampeni.
Hadi sasa navyoandika hapa, shule zote nchini kuanzia darasa la 1 hadi kidato cha nne zimepewa waraka wa kupigwa marufuku kuchangisha wanafunzi michango ya aina yoyote ile. Mwanao akikuomba hela ya mchango kuanzia sasa ujue anataka kukuingiza mjini tu.
#HapaKaziTu
Naanza na wachache;
1. Shubashi Patel
2. Salum Mpuchu
3. RA
4. R1
5. Home Shopping Centre
6. GMS
Ongeza unao wajua