mkupuo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,808
- 2,048
Serikali ikoseshwe Tsh bilioni 80 na mwizi halafu useme mhe. Presdaa aangalie dini ya huyo mwizi ndipo aamue kuchukua hatua lo! Mimi nasema watimuliwe tu hata kama ni waislamu 100 mfululizo, wakristu 1000 mfululizo au wasio na dini yoyote 10000 mfululizo. Mwizi hahukumiwi kwa dini yake bali kwa wizi wake,kwisha!