Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Unaweza kuAttach na vithibitisho au ni story za vijiweni tu.
 
Yani maswala ya dini ndo yamkwamishe Mh rais wetu asitumbue tumbue majipu sugu ??Naamin. magufuli anafanya kazi kwa weledi ingekua ushawahi kusafirisha kontena hata moja nje ya nchi ungefurahi sana kwa TRA kufumuliwa fumuliwa
 
Nimeshangaa na hii thread. Kwa kuwa mkosaji ni Muslim asiguswe?
 
Haya masuala hayaangalii dini, mawaziri wakati wakikwete waliotuhumiwa kwa ufisadi waliondolewa kwa ufisadi wao na si kwasababu walikuwa ni walristo, it is a fact kwa usimamizi upande huo huwa ni legelege
 
Mimi ni Mwana UKAWA Damudamu Tena Hakuna Wa Kunishawishi.Nimemkubali Msukuma Mwenzangu Kwa Utendaji Kazi Wake.MAGUFULI ELIMU NI FUNGUO MALAYA NAOMBA UIKUMBUKE PIA.
Nakuomba Uongeze Kasi Ya Utendaji Kazi.BABA AKIONESHA NJIA WATU WOTE WANAFUATA
 
President Magufuli kaza mwendo tutafika tuu. Tunajua kwenye mchakato wa maendeleo kama huu, makanjanja kama haya hayakosekani. Na ndio hulka ya binadamu
 
Sie Wenye Uislam wetu tunamuunga mkono, wewe Mkwepa Kodi usitumie kivuli cha dini yetu kutafutia Upenyo.

Kweli kabisa. Uislam hauidhinishi ukwepaji kodi na ufisadi tafadhali. Huyo jamaa lazima atakuwa mmoja wa wale wanaotakiwa kukamatwa na vyombi vya dola.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom