Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Maghembe ni kati ya mawaziri mzigo zaidi kuwahi kutokea. Watu wa Mwanga wamempa ubunge maana hakukua na mpinzani wa kueleweka.
 
kuna halimashauri ambazo zinakera na zinatia kichefuchefu kiutendaji,maendeleo duni,wapo wapo tu wanakula bata.

~Kishapu

~Sengerema

~Meatu

~Bunda

Ongezea na wewe ili magufuli alale nao mbele

ni kweli bunda ndio haswa pameoza kuna jamaa kahamia pale anaitwa CHALES MKOMBE , kahonga huko tamisemi akapata uDMO hana nata mwaka sasa ana NYUMBA TATU NA GARI na sasa yuko masomon HUKU BUGANDO Jiulize hiyo ni almashauri ya namna gani
 
stragetically tatizo la ajira Mwanga ni kubwa ukitoa data za Maji si sahihi ukumbuke maghembe amekaa pale akiwa wazir wa Maji .hakufanya chochote kwenye kilimo cha umwagiliaji pamoja nakuwa kuna MTO mkubwa tu Maji yanapita .Mwanga Mjini Maji ni tabu MTO kifaru upo watu wanataabika naunga mkono hoja.vision and mission Hana .ilipaswa wana Mwanga waamke .
 
Jana nilimsikia Renatus Mkinga alivyokuwa akielezea ni namna gani njaa ya waziri mmoja ilivyoharibu bandari zetu, kama kweli aliyoelezea Renatus Mkinga basi ipo haja ya kurudisha shirika letu la NASACO na shughuli zake zote zirudi chini ya hilo shirika kama ilivyokuwa zamani.
 
Inadara hii ina wafanyakazi wenye mali zisizoelezeka mfano wanamiliki naeneo kama utitiri mpka beach plot maenei mengi wamejimilikisha na kujipimia then wanayauza kama viwanja kwa matajiri.

Ni juzi tu kijana aliyefanya tathimini ya fidia ya maeneo ya bandari aliiga hela ndefu kwa kuongeza maeneo hewa kwa kushirikiana na wenyeviti wa kijiji mali na utajiri alionao haulingani na kioatacho chake ni vema serekali itupie macho ufanyike uchunguzi.

Tatizo la ardhi Bagamoyo ni bomu linalosubiri kulipuka kama serekali hataichukuwa hatua tutegemee migogoro mikubwa sana ya ardhi hapo baadaye.
 
Kete muhimu sana imebakia kwa rais dk magufuri,kete HII asipoicheza kwa umakini mkubwa inaweza kumuharibia sifa zote alizokwisha jizolea kwa sasa!
n.b/
****
Election cost a lots of money,
Aruhusu aliyeshinda atangazwe!,aapishwe!
World watch this closely,akilikosea au akafuata ushauri wa wahafidhina wachache wa ndani ya chama,ataharibu!
n.b
***
majeshi ni ya muungano intelejensia niya muungano.
tuwaache wazanzibar NA chaguo la mioyo yao!
 
Binafsi sitaki kushawishika kuamini kwamba haya anayofanya rais wetu sasa ni mbwembwe ama kwa kutafuta sifa kwa wananchi, Bali naamini kwamba rais Magufuli anayafanya haya kwa uzalendo uliotukuka alionao rais wetu.

Ni dhahiri shahiri ya kwamba Katiba Pendekezwa haikuwa ile iliyopendekezwa na wananchi, Actually ilikuwa ni katiba ya CCM kwasababu mambo mengi ya msingi yaliyopendekezwa kwenye katiba ya Warioba yaliokuwa na maslahi kwa wananchi yaliondolewa kwa maslahi ya chama chako cha CCM.

Kwenye kampeni zako ulionyesha wazi ulivyokuwa ukichukizwa na mambo yaliyofanywa na chama chako cha CCM kiasi cha kujinadi kwa kusema CHAGUA MAGUFULI na sio CHAGUA CCM kama ilivyozoeleka siku za nyuma. Na ndio mana wengi (nikiwamo na mimi) tulikupa kura ingawa mimi si mwanachama wa CCM wala chama chochote cha siasa.

Kwaheshima na taadhima nakuomba uturejeshee katiba ya wananchi TULIOKUPA KURA mana serikali ilitumia gharama kubwa ya kodi zetu wananchi kuipata hiyo katiba.


Ni mimi Mzalendo mwenzio.
 
(1)Utshughulika Na Kuondoa Kinga Ya Kikatiba Na Kisheria Kwa Marais Wastaafu Ambao Wamelifikisha Taifa Lilipofika Kwa Uzemba Na Ufisadi;
(2)Mali Zote Zilizochumwa Kiharamu Na Mafisadi Na Kuzificha Nje Na Ndani Ya Nchi Zitatataifishwa/Be Nationalized Kwa Manufaa Mapana Ya Nchi Yetu.
UKITAKA KUMMALIZA NYOKA KITWNGE KICHWA CHAKE KWANZA,KISHA MALIZIA NA MKIA.
"Hapa Kazi Tu."
Mungu Akulinde Sana Sana Usiku Na Mchana Amen.
 
Ombi langu Kwa Serikali ya Magufuli
Ninaleta Ombi langu kwako kuomba kua Siku ya Ijumaa isiwe siku ya Kazi hii kwa sababu sisi Waislam tunatakiwa kuwahi mapema Msikitini kama ilivyokua siku ya Jumapili Wakiristo hua wanaenda Kanisani basi na sisi tunaomba hivo kama itawezekana, kama haitowezekana sawa tuuuuu
 
Mheshimiwa Waziri Mkuu..

Najua wapo baadhi ya wasaidizi wako wanachungulia chungulia Humu Jamii Forum


Tafadhali nakuomba usikie kilio chetu sisi vijana mafukara tulio wanyonge huko kwenye hiyo mifuko kama jina lako halianzii na Peter au Thomas au Magdalena huwez kufikiriwa hata kuitwa kwenye usaili.

Mfano hata ukiangalia Board members ya PPF na GEPF woote Takriban ni Wakristo pamoja na Top Management Yoote ya PPF kuanzia kwa GD Urio kushuka chini...

Nchi hii ni yetu soote na soote tuna haki sawa katika ajira.

Muislam kupata kazi kwenye mifuko hiyo ni ndoto.

Zaman walikua wanasema hatuna elimu lakn sasa siyo kweli hoja hiyo.

Tunaomba uliangalie hilo.

Shukran.
 
Mods msiuhamishe wala kuundoa huu uzi.

Ni kama ulivyo huo uzi mwingine

Hatutaki double standards
 
Tumekusikia tutakufikia

Japo hili la udini hapana

Kama wamekidhi vigezo na wanatekeleza majuumu yao ipasavyo hatuna shida na imani zao HAPA KAZI TU
 
Tumekusikia tutakufikia

Japo hili la udini hapana

Kama wamekidhi vigezo na wanatekeleza majuumu yao ipasavyo hatuna shida na imani zao HAPA KAZI TU

Haiwezekani Top management yoote iwe ni christians na kusema kwamba hakuna waislam wenye qualifications?

Tunaomba Mheshimiwa Wazir Mkuu uitazame hiyo mifuko udini umejaa kama vile ilivyo kwa Tanesco vile vile.

Haki iwe sawa kwa woote.
 

Mkuu, hivi Jakaya hakuliona hilo?
 
Mkuu, hivi Jakaya hakuliona hilo?

Huyu mtu ni kichaa asijielewa.
Mpumbavu to the highest level
Hapo anataka aanzishe chokochoko tu zile za ujingaujinga wao waliopewa na mswahili mwenzao.
 
Naomba sana tena sana Mungu awaamshe salama Magufuli na Majaliwa ili wakatumbue jipu la Tanesco kabla hajatangaza baraza la mawaziri ni muhimu sana ili waziri ajaye asiwe muoga.
Mungu ivisha hili jipu mapema.
Amen
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…