Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Jipu la Stanbick Bank a.k.a jipu la viroba vya pesa hilo haliwezi kulitumbua hata kwa kuuma meno.
 
Kila jipu litatumbuliwa tu hakuna namna...........!!!!!
 
Magufuli kaanza kutumbua majipu Kwa kasi ya ajabu, ni jipu gani unaona kabisa halitumbuliki, au hatakaza mikono, na uso Wakati Wa kulitumbua?

Aisee katika majipu yoote hili la madawa ya kulevya namwonea sana huruma Rais manake lina mkono mrefu wa mimafya yaani tumuombee avuke kiunzi hiki kwa usalama .
 
Majipu ya Vasco da Gama na Lodi Lofa yatampa shida.
 
Uko sahihi Mkuu.., hvi anavyovitumbua saivi ni vipele . MAJIPU ni hayo mawili. Sema katiba inayapa kinga, hayaruhusiwi shikwa.
Majipu ya Vasco da Gama na Lodi Lofa yatampa shida.
 
Rasimu ya Warioba

Tume ya huru ya uchaguzi

Rais kushtakiwa baada ya kumaliza muda wake

Meremere, Epa, Escrow etc
 
na jipu chen.ge joka la makengeza kama nalo ni jipu!!
 
akitumbua viroba vya stanbik apo ndo ntakubali atuongoze ka mugabe mpaka kifo chake. #viva magufuli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…