Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Huu Ni ushauri wangu kwa kasi yako ya kiuongozi Dr kimei atakufaa kwani Ni msomi aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha,mbunifu na mchapakazi anaweza kupanga mikakati uchumi WA nchi ukapaa.vilevile sio mwanasiasi ni mtendaji .

Nyie si ndio mlisema Rishade Bade awe waziri wa fedha ?? Mnaangalia kwa macho yenye matongotongo!!!
 

Una uhakika na unachokiandika? Hivi kimei ni Mchagga wa wapi?
 
Huyo ni mkabila sana.angalia alivyorundika wachaga wenzio crdb.

Una evidence? Au CV yako haijitoshelezi, embu nikumbushe Kimei mchagga wa wapi? Hivi kila mzaliwa wa Dar ni mzaramo?
 


Dr. Kimei ni CEO wa a giant bank hapa nchini, anavuta super salary ya 100 milion plus!, wakati Dr. Magufuli ni mjamaa na mbana matumizi, jee ataweza kumlipa Dr. Kimei?!. Yaani umtoe mtu kwenye neema, umtupe kwenye dhiki?!.

Pasco

Du hapo CRDB kwenye neema asee atakuwa mzalendo kweli kuachia 100m + aende serikali ya bana mkanda
 

Sasa mbona unataka awe mteule wa Rais???
 
Huu Ni ushauri wangu kwa kasi yako ya kiuongozi Dr kimei atakufaa kwani Ni msomi aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha,mbunifu na mchapakazi anaweza kupanga mikakati uchumi WA nchi ukapaa.vilevile sio mwanasiasi ni mtendaji .

Nadhani humjuw kimei, ila wanao mjuwa wanataman hata kesho astaafu. Funguka ione kesho na usiuze almas kwa mlo wa siku moja.
 
Nashangaa sana Watz kwa usahaulifu. Huyu Kimei aliruhusu benki yake kupitisha miamala ya mabilioni ya pesa zilizochotwa BOT na mafisadi wa EPA. Hasa mtakumbuka zile bil 40 za Kagoda zilizolipwa cash over the counter usiku na kubebwa na maboksi.
Hadi leo hajatuambia ni nani alisaini na kutokomea na zile hela za wananchi. Hafai kabisa!
 
Hafai kwa sababu alikuwa upende wa Lowassa au kwa vile Hana sifa ambazo mleta thread kataja? kwa style hii naona tunarudi tulikotoka naona kuna kabila au Kanda fulani inapigwa vita.
 
Nadhani humjuw kimei, ila wanao mjuwa wanataman hata kesho astaafu. Funguka ione kesho na usiuze almas kwa mlo wa siku moja.
Kuna watanzania wa ajabu kweli kwao hakuna kizuri jaribu kukubaliana na ukweli hakuna MTU aliye 100% perfect lakini jamaa kufanya CRDB kuwa moja ya walipa kodi wa kubwa nchini jiulize hivyo ni bank sio kiwanda cha pombe au sigara mwenye sifa tumpe sifa zake
 
huyu jamaa katumwa kumpigia kampeni kimei humu anasahau magufuli yupo busy na safisha safisha hana muda wa kusoma jf
 

We jamaa una akili pana sana!
 
RECORD MATTERS..!!
UNAYEMCHAGUA AMEWAHI KULETA UFANISI KTK LIPI?,AMBALO NI LA PUBLIC?/ TUNAWEZA CHAGUA MTU TU,ALIYESTAWISHA FAMILIA YAKE HAKAWA HAWEZI KUSTAWISHA GENERAL PUBLIC....!!
ii
Na kwa sifa hizi za kibongo hata riz one anafaa, maana amejipatia maendeleo kwa kasi ya ajabu
 

acha unafiki poyoyo wewe unafikiri hiyo benk ni ya serikali? inaonyesha wewe ni mchawi hata kanisa likijengwa unachukia
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho akiamka atasema nini au ameambiwa na mke wake afanye nini. Kwa kuzingatia hayo niliandika humu hatuhitaji rais kiranja bali waziri mkuu wa aina ya kiranja tunaweza kumvumilia

Sasa ni tofauti, rais anaonekana kiranja na waziri mkuu anaonekana rais. Najiuliza kama rais ndiye angeenda bandarini wakati wa kumtimua mkurugenzi wa TRA nini kingetokea, nadhani hata meza zingepinduliwa pale. Pasingetosha!..

Tunahitaji kuona action plan, tunahitaji kuona mipango endelevu, tunahitaji kujua kilimo kitakuwaje miaka 20 ijayo, elimu, afya, michezo nk. Hizi zimamoto amwachie waziri mkuu.
 
Acha wivu we punguani kila jina la mchagga likitajwa tu lazima kuna assumption zinaibuka na viulizo why not other muache wivu wa kipumbavu kwa watu waliowazidi najua hata kama angependekezwa Mwingine unpopular lakini ana jina la kichagga mngepinga tu.
 
fikra za kunguni haziwezi kulingana na za mwanadamu!!!angekuwa aina ya mkwere mungetukana sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…