Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Mkuu Katiba ya nchi gani hiyo inayolinda Rais mstaafu asishtakiwe?Uko sahihi Mkuu.., hvi anavyovitumbua saivi ni vipele . MAJIPU ni hayo mawili. Sema katiba inayapa kinga, hayaruhusiwi shikwa.
Katba ya Warioba
Watu msiokuwa na shukrani, ni kubeza kila kitu, hamasikia kuwa kesi ya kobe ikomahakamani. Aidha, hao majangili mnaishi nao mtaani, hamtoi taarifa bali kukaa vijiweni na kupiga umbea !!!Hao ndo hataree kwa kwenda mbele. Pembe za ndovu,twiga,kobe....
Watu msiokuwa na shukrani, ni kubeza kila kitu, hamasikia kuwa kesi ya kobe ikomahakamani. Aidha, hao majangili mnaishi nao mtaani, hamtoi taarifa bali kukaa vijiweni na kupiga umbea !!!