Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Uko sahihi Mkuu.., hvi anavyovitumbua saivi ni vipele . MAJIPU ni hayo mawili. Sema katiba inayapa kinga, hayaruhusiwi shikwa.
Mkuu Katiba ya nchi gani hiyo inayolinda Rais mstaafu asishtakiwe?
 
Kwa hiyo zile safari za twiga kukwea pipa zitajulikana ni nani alikuwa bw.Mipango
 
Jipu la vyama vya siasa, rudhuku zikatwe, kofia na tshirt watengeze wenyewe
 
Hao ndo hataree kwa kwenda mbele. Pembe za ndovu,twiga,kobe....
Watu msiokuwa na shukrani, ni kubeza kila kitu, hamasikia kuwa kesi ya kobe ikomahakamani. Aidha, hao majangili mnaishi nao mtaani, hamtoi taarifa bali kukaa vijiweni na kupiga umbea !!!
 
Elimu ya msingi mpaka kidato cha nne ulisema ni bure, hii bure mbona haiko wazi kuhusu malipo ya mitihani ya kitaifa hasa wa kidato cha nne??

Ebu toleeni ufafanuzi ili maana january ndiyo hiyo vijana wanaenda kufanya usajili wa mtihani huo
 
Nakubaliana nawe kabisa, lakini hayo sio majipu ni vipele tu, tutajikuna vitakauka na vitaisha. Yale majipu yenye hadi viini ndani ambavyo lazima viyoke hata kama ni chungu kiasi gani ndio muhimu.
 
Subiri bado hela zinatafutwa serikalini kwa mtindo wa kupunguza matumizi na kudai kodi zilizopotea
 
Watu msiokuwa na shukrani, ni kubeza kila kitu, hamasikia kuwa kesi ya kobe ikomahakamani. Aidha, hao majangili mnaishi nao mtaani, hamtoi taarifa bali kukaa vijiweni na kupiga umbea !!!

Unaturudisha nyuma acha hizo wewe mbona unakua kama jk????????????????????????????????????
 
tusipoambiwa ni nani aliyesafirisha twiga nitaona sanaa zile zile zinaendelea!
 
kuna kajipu uchungu hapa mtera hako labda atumbue na baruti ni kwamba kuna mjapani alitoa zaidi ya shiringi milioni 120 na serikali ilitoa takribani mil50 hivi kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wanawake na nyumba ya Mwl mkuu mtera dam sekondari takribani miaka 10 sasa ziliangukia kwenye matumbo ya wajanja wilayani mpwapwa nyumba ya mwalimu mkuu iliishia kwenye hatua ya renta bweni ni makazi ya popo na wachepukaji wa wake za watu ogopa serikali ya wilaya mpwapwa nyumba silizoachwa na wachina wa kampuni ya ujenzi wa barabara wamekwisha ziuza hata mwaka haujaisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom