Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kama mfumo wa uongozi ukiwa wazi mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi kwa vile ataongoza kwa kufuata misingi ya haki katika uongozi wake.
 
Mwakyembe, hafai hata kdg ni mbinafsi sana alipopewa uwaziri wa uchukuzi alifukufukuza watu bandarini tukadhani kwamba anachapakazi kumbe alikuwa anapanga safu yake vizuri ili kuruhusu ulaji.
Akajaza maswahiba wk bandarini mbaya zaidi watu wa kabila lake!

Mwigulu Nchemba hafai kwa sababu ni mnafiki sio mkeli.
 
Kwa hiyo wewe unapendekeza nani?
 
Magufuli ana nia, ila kama utachagua kutokumuelewa, sawa! Sio lazima wote tumuelewe.
 
TENA AANZE NA LOWASSA huyu ndie jizi moja baya na kigogo wa ufisadi, mkianza kusubiri mlijue na hilo
 
Rais Magufuli tukumbuke watumishi wasio wasio walimut t.una madai sugu hakuna aliyewahi kutukumbuka.
 
Mndewa mbona umewasahau Nyarandu na naibu wake Mahmood Mgimwa walivyoiharibu wizara ya mali asili, hawa nao hawafai kabisa kurudi ktk baraza la Magufuli.huyu Mgimwa mpiga dili wa vibali vya mazao ya misitu hata wakati akipokuwa ktk kamati ya fedha ya bunge alivuta pesa nyingi sana kwa Masamaki.
 

Mbona mnamwacha mpiga pembe za ndovu wetu Kinana. Huyo ndo wa kupeleka jela kesho.
Team Mkwere wameharibu nchi.
 
Acha matusi wewe, hebu jiheshimu

Wewe unajuwa huyo anayejiita HAMID-Y kafanya nini? Alitangazia Mh Aboud Jumbe amefariki. Unajuwa usumbufu gani kasababisha kwa watu? Usiwe unatetea watu tu bila ya kujuwa chanzo chake. Hili jamaa thenge sana na kama unamtetea endelea kumtetea.
 

Bado jamaa wanaoingiza mafuta ...hawa nao ni sehemu
ya majipu yanayotakiwa kutumbuliwa muda si mrefu.
 
Nitafurahi sana wembe na sindano za kutumbulia majipu likielekezwa kwa Richmond.

Wanaopaswa kuhojiwa kutoa majibu sahihi ni;

1. Edward lowassa
2. Mgonja
3. Jakaya Kikwete
4. Karamagi
5. Msabaha
6. Kazaula wa TANESCO

Wakibanwa hao vizuri tutapata jibu sahihi la aliyegusika na kuadhibiwa.
 
Kwanza kabisa nianze Kwa kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano Kwa kutuonesha nguvu halisi ya mamlaka ya Rais. Mamlaka ya Rais sio tu ionekane kwenye kuteua viongozi wasio NA sifa NA kuwapa madaraka atakayo Rais.

Pamoja NA juhudi hizo zilizooneshwa NA serikali ya awamu ya tano hadi sasa. Naomba niainishe majipu 6 yanayohitaji upasuaji Wa haraka.

1. Vyama vya Ushirika

Vyama hivi vimeenea nchi mzima hususan maeneo ya vijijin. Vyama hivi vinahusisha asilimia 80% ya watanzania wote ambao ni wakulima. Wakulima mikoa mbali mbali wamekatishwa tamaa ya kuendelea kulima kutokana NA ufisadi unaofanywa NA viongozi Wa vyama vya msingi. Kuna utamaduni wa Viongozi Wa vvyama vyama vya msingi kukopa fedha zaidi ya mahitaji,wanagawana kisha Deni anaachiwa mkulima/mwanachama Wachama cha mmsingi alipe. Tunaomba mlitumbue jipu hili.


2. Ukwepaji Wakodi katika Migodi ya madini

Hili nalo ni jipu linalohitaji kutumbuliwa. Taarifa kadhaa zinaonyesha kuna kiasi kikubwa cha mapato kinapotea kupitia sekta ya madini kKwa kukosa umakini katika kusimakia kodi au mapato yatokanayo NAmadini yetu. Mathalan utasikia kampuni ya madini iinafanya utafiti Kwa miaka zaid ya kumi huku kukiwa na taarifa toka Kwa wafanya kazi Wakampuni mbalimbali kuwa pale mMaliinavunwa. HHivi iinaingia akilin kisema kuna utafiti Wa miaka 10m mbaya zaidi wananchi wanaochimba madini km wachimbaj wadogo wadogo ktk maeneo Jiran NA migodi hiyo wanapata madini mengi tu. Tupia macho migodi iliyopo katika pori LA akiba Kigosi NA Selous hawajamaa wanafanya utafiti Wa muda mrefu sana na Kwakufanya hivyo wanakwepa kulipa kodi zetu kwani zipo tetesi kuwa walishaanza uvunaji kitambo.

3. Bandari/TRA kitengo cha Mafuta

Sote tunafahamu kuwa zaidi ya kitengo cha macontainer, kipo pia kitengo cha kuingiza mafuta hapo bandarini. Kulingana NA nature ya wafanya biashara wanaodeal na biashara ya mafuta hatuna Shaka yoyote kuwa huko nako mtakutana na matambazi (grand jipu). Baadhi ya wanaodeal NA biashara ya mafuta tumeshawaona kwenye list ya wakwepa kodi kwenye makontainer naimani hata kwenye mafuta wanafanya michezo hiyo hiyo ya kihuni. Miaka ya nyuma tulisikia kuwa baadhi ya mafuta yaliyokuwa labeled Kama IT yalitumika hapa hapa nchini kitendo kilichoipotezea nchi yetu mapato.

4. Kitengo cha Manunuzi

Ili kuwa na fedha za kufanya maendeleo ktk nchi yetu bila utegemezi Wa wahisani, hatuna budi kuongeza wigo Wa ukusanyaji Wa mapato NA kudhibiti matumizi ya fedha tunazozikusanya. Kwa miaka mingi tumepigia kelele matumizi mabovu ya serikali yetu. Sheria ya Manunuzi ya serikalini kichocheo kikubwa cha umaskini wWa watanzania. Tunaomba jipu hili nalo lipasuliwe. Siku hizi bidhaa nyingi zinapatikana mitandaoni tena Kwa bei chee. Ila Kwasheria hii uutaona kuna urasimu msingi Wa kuruhusu kununua bidhaa bora mtandaoni. Hali hii imepelekea Gari jipya lonalouzwa $100000 mmtandaoni kununuliwa NA serikali Kwa $ 250000 Kwa dealers hapa mjini. Hivi kwanini tusitumie technologia kubana matumizi?

5. Magari ya Umma Kwa Viongozi/Watumishi Wa umma

Katika eneo ambalo nchi hii inapigwa ni kwenye matumizi ya magari ya umma kubebea watumishi wake. Binafsi sioni Kama IPO haja ya serikali kununua GarikKwa akiliya kumwendesha RAS/DAS au Afisa flani. Kwanini serikali isiweke mazingira ya kuwafanya watu hao wakopeshwe magari nNA walipie na kuyahudumia Kwa mshaharayao? Kwani watumishi wengine wanaishije bila kupewa magari ya umma? Imagine nchi tajiri Kama za schandnavia leo hii hawana utaratibu Kwa watumishi wao kuendeshwa kwenye magari ya umma Kama hapa kwetu. Si jambo LA kushangaza kukuta Chuo cha kikuu kina magari ma5 tu. Mkitaka kwenda field wana outsource afu mnaachana NA biashara za kuhudumia/regular maintainance na makandokando mengine yatokanayo NA kumiliki magari. Tukifanya hivyo tutaokoa mabilioni ya shilling Kama sio matrillion. Juzi tumeambiwa v8 moja linatafuna almost 500 milioni Kwa Mwaka. Assume Tanzania Ina v8 500 piga hesabu ni tzs ngapi tutaokoa Kwa kuachana nazo.

6. Kodi za Makampuni ya Simu

Katika maeneo ambayo Kama nchi tumeshindwa ku-tap tax ni kwenye makampuni ya Simu. Liliulizwa swali bungeni kuhusu utaratibu tunazotumia kugundua kiasi kilichoingizwa NA kampuni X kutokana NA airtime iliyouzwa au transactions zilizofanywa via tigopesa/mpesa etc ilioanekana bado tunaotumia nguvu za kiza kubaini hilo. Kimsingi yunapigwa mana hatuna proper mechanism ya kudetect airtime sold na transactions done ktk kipindi fFulani.

Kama mtanzania mzalendo. Unaombwa uainishe pia majipu yanayopaswa kutumbuliwa NA serikali ya awamu ya tano ambayo imejipambanua Kama serikali ya mtumbua jipu. All the best serikali ya awamu ya tano.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…