Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ahahahahaaa kasome na wewe uwe mhandisi.
 
Si ndio vizuri wanakujibu kitaalamu hasa unapokuja na malalamiko ya bill maana customer care ni shida kwenye maeneo ambayo teknolojia inahusika kama mitandao ya simu n.k
 
alichonivutia zaidi ni watu 7 tu nchi nzima. Kwa hiyo hao hao ndiyo wanasurvey wanaunganisha umeme wanaiba nguzo wanapoteza mafail wanakata umeme. wanafungulia Maji wanaiba mafuta. wanaficha material za miradi ili kuuza mara mbili wanachezea luku. hiyo timing yake nahisi imeruka Kwa kero za tanesco wacha mtumbuaji mwenyewe aje huyu mtamba asijekuwa amefukuza waliokuwa st vibarua alafu anatuzuga kuwa ni maafisa
 
Mkuu muleta mada. Nchi hii kuna majipu ya kumwagaaaaa ya kila aina. MAGU anaangalia Yale very serious ndo anaanza hayo. Akitumbua yale very serious, yasiyo serous yatajitumbua yenyewe automatically!

Kwa hakika na Magufuli hafanyi kazi kwa vitisha as hatishwi na mtu yoyote!!! Go Magufuli go!
 
Kama mnakumbukumbu

kuna baadhi ya mawaziri wakuu wa mikoa na wilaya inapofanyika uchaguzi ama uteuzi wa viongozi wapya..

Wale wanaobaki ama waliokosa nafasi tunekuwa na tabia ya kuwapeleka ubalozini na matokeo yake ni aibu..aijalishi alikitumikia chama mda gan kama akufaa ukuu wa mkoa ubalozi akafanye ninii..amestaafu ukuu wa mkoaa unampa ubalozi hivi akuna wapya kwenye hiko chama


n matumaini yangu mh rais utaweka damu changa nzito zenye kwenda kasi na wewee ondoa wale wazee ubalozini wanakula tu kodi zetu....kuna mtu alikosa uwaziri akapewa ukuu wa mkoaa leo n balosi wa nchikubwaa tu duniani unawaza huyu anatusaidiaje mbeleni..new blood zinatakiwa hon

kilala kheri

wasalaam

pdidy for president 2025..
 
Kaa tayari wiki ijayo nns kuanzia mda huu kupokeaa askari wa mwamvuli juu

nawatakia kila la kheri hon president

usituangushe..
 
KAMA N MWANA CCM ULIWAHI KUSIKIA HILO NENO BASI NAWAAMBIAA UITAJI KUWA NA PHD KUJUA MAGUFULI ALIJIPANGA VYEMA

UKWELI NILIKUPA KURA INGAWA WABUNGE SIKUWA nA JINSI AKAPaKUToKEA KUSEMA NICHAGUE WA SERIKALI YAKO..WENGI WALIKUWA WABINAFSI..

WISH U MR PRESIDENT KILA LA KHERI..
 
Kaa tayari wiki ijayo nns kuanzia mda huu kupokeaa askari wa mwamvuli juu

nawatakia kila la kheri hon president

usituangushe..

Mkuu mi nashukuru tu mkuu magu kakubadilisha maana tangu uchaguzi mkuu upite unaandika vizuri, yupo wapi yule ndugu yako snail?
 
Leo ndio nimeujuwa unafki wa Watanzania, mimi ccm haiwezi kupata kura over my dead body.
 
Kaa tayari wiki ijayo nns kuanzia mda huu kupokeaa askari wa mwamvuli juu

nawatakia kila la kheri hon president

usituangushe..
Watanzania mnanogewa sana na mbwembwe, ila unapokuwa mshabiki wa haya hakikisha hujihusishi na madili yoyote, maana am afraid Watanzania wengi wanaishi kwa wizi na wanaotegemea kipato halali ni wachache mno, shangilia iliyopo ni ya wale ambao network ziliwapita pembeni lakini wengi ni majizi.

Nitakuwa mshabiki wa Magufuri akirudisha zile nyumba zetu alizouza kwa bei ya chee mpaka na yeye moja akahonga mchepuko.
 
mkuu mi nashukuru tu mkuu magu kakubadilisha maana tangu uchaguzi mkuu upite unaandika vizuri, yupo wapi yule ndugu yako snail?
hahaa alikuwa tra kaka usiniulize kama bado ama maana ...
 
Mabalozi wengi wanapata hizo nafasi kwa fadhila tu sio qualifications..Nadhani Rais inabidi aliangalie hili..Balozi zetu zinatakiwa kusafishwa
 
Hata wewe ukumbuke ni mzee mtalajiwa, umsiwanyanyapae wazee, wapo vijana wengi sana nchi hii wamezeeka akili kuliko wazee na wapo wazee (siyo kama Samwel Sitta na Wasira) wapo smart sana kichwani na mchango wao bado ni muhimu na hata wao wana haki ya kupata riziki ili mradi nguvu bado wanazo na akili zipo vizuri.
 
Leo ndio nimeujuwa unafki wa Watanzania, mimi ccm haiwezi kupata kura over my dead body.

kwa hiyo ulimpa huyo mfalme wa fisadi hujawatendea haki watanzania na nakuhakikishia hutokuwa salama milele
 
kwa hiyo ulimpa huyo mfalme wa fisadi hujawatendea haki watanzania na nakuhakikishia hutokuwa salama milele
Rais wa mwisho wa ccm kuambulia kura yangu alikuwa Mkapa basi nilivoona upumbavu wake sintokaa milele kumpigia kura mtu yeyote kutoka ccm never. Magufuri arudishe nyumba zetu alizouza kwanza ndio tutaelewana, mimi si bendera fuata upepo.
 
Rais wa mwisho wa ccm kuambulia kura yangu alikuwa Mkapa basi nilivoona upumbavu wake sintokaa milele kumpigia kura mtu yeyote kutoka ccm never. Magufuri arudishe nyumba zetu alizouza kwanza ndio tutaelewana, mimi si bendera fuata upepo.

Nyumba zenu ww na nani? Mbona hufanani na kuwa na nyumba? Hapa ni kazi tuuuuuuuuuuu!
 
Nyumba zenu ww na nani? Mbona hufanani na kuwa na nyumba? Hapa ni kazi tuuuuuuuuuuu!
Akili huna ndio maana unapayuka tu hapa ni kazi tu wakati huna hata kibaruwa unaishi kwa kupiga mizinga. wewe si level yangu wala huna hadhi ya kucommet hapa JF, akili inapwaya sana kiwango chako ni cha wasapu. wakati Magufuri anauza nyumba wewe hujui kama zile ni nyumba zetu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…