Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaaa kasome na wewe uwe mhandisi.eti leo unasimama kujitapa umewafukuza kazi maofisa 7 kutokana na ubadhirifu, swali siku zote ulikua wapi hadi uone MAJIPU YANATUNGULIWA?..
Kuna unaloficha ila jipo lako linatumbuliwa tena lipo jichoni mda si mrefu bz hata wewe ni walewale, pia hakuna shirika bovu kama ahahahahaaaaa.kasome na wewe uwe use
, wewe hadi CUSTOMER CARE unajaza WAHANDISI mbinu za mabadiliko kwenye shirika hawana wapo kidilidili tu
Si ndio vizuri wanakujibu kitaalamu hasa unapokuja na malalamiko ya bill maana customer care ni shida kwenye maeneo ambayo teknolojia inahusika kama mitandao ya simu n.keti leo unasimama kujitapa umewafukuza kazi maofisa 7 kutokana na ubadhirifu, swali siku zote ulikua wapi hadi uone MAJIPU YANATUNGULIWA?..
Kuna unaloficha ila jipo lako linatumbuliwa tena lipo jichoni mda si mrefu bz hata wewe ni walewale, pia hakuna shirika bovu kama tanesco, wewe hadi CUSTOMER CARE unajaza WAHANDISI mbinu za mabadiliko kwenye shirika hawana wapo kidilidili tu
Mkuu muleta mada. Nchi hii kuna majipu ya kumwagaaaaa ya kila aina. MAGU anaangalia Yale very serious ndo anaanza hayo. Akitumbua yale very serious, yasiyo serous yatajitumbua yenyewe automatically!
Kaa tayari wiki ijayo nns kuanzia mda huu kupokeaa askari wa mwamvuli juu
nawatakia kila la kheri hon president
usituangushe..
Watanzania mnanogewa sana na mbwembwe, ila unapokuwa mshabiki wa haya hakikisha hujihusishi na madili yoyote, maana am afraid Watanzania wengi wanaishi kwa wizi na wanaotegemea kipato halali ni wachache mno, shangilia iliyopo ni ya wale ambao network ziliwapita pembeni lakini wengi ni majizi.Kaa tayari wiki ijayo nns kuanzia mda huu kupokeaa askari wa mwamvuli juu
nawatakia kila la kheri hon president
usituangushe..
hahaa alikuwa tra kaka usiniulize kama bado ama maana ...mkuu mi nashukuru tu mkuu magu kakubadilisha maana tangu uchaguzi mkuu upite unaandika vizuri, yupo wapi yule ndugu yako snail?
Hata wewe ukumbuke ni mzee mtalajiwa, umsiwanyanyapae wazee, wapo vijana wengi sana nchi hii wamezeeka akili kuliko wazee na wapo wazee (siyo kama Samwel Sitta na Wasira) wapo smart sana kichwani na mchango wao bado ni muhimu na hata wao wana haki ya kupata riziki ili mradi nguvu bado wanazo na akili zipo vizuri.Kama mnakumbukumbu
kuna baadhi ya mawaziri wakuu wa mikoa na wilaya inapofanyika uchaguzi ama uteuzi wa viongozi wapya..
Wale wanaobaki ama waliokosa nafasi tunekuwa na tabia ya kuwapeleka ubalozini na matokeo yake ni aibu..aijalishi alikitumikia chama mda gan kama akufaa ukuu wa mkoa ubalozi akafanye ninii..amestaafu ukuu wa mkoaa unampa ubalozi hivi akuna wapya kwenye hiko chama
n matumaini yangu mh rais utaweka damu changa nzito zenye kwenda kasi na wewee ondoa wale wazee ubalozini wanakula tu kodi zetu....kuna mtu alikosa uwaziri akapewa ukuu wa mkoaa leo n balosi wa nchikubwaa tu duniani unawaza huyu anatusaidiaje mbeleni..new blood zinatakiwa hon
kilala kheri
wasalaam
pdidy for president 2025..
Leo ndio nimeujuwa unafki wa Watanzania, mimi ccm haiwezi kupata kura over my dead body.
Rais wa mwisho wa ccm kuambulia kura yangu alikuwa Mkapa basi nilivoona upumbavu wake sintokaa milele kumpigia kura mtu yeyote kutoka ccm never. Magufuri arudishe nyumba zetu alizouza kwanza ndio tutaelewana, mimi si bendera fuata upepo.kwa hiyo ulimpa huyo mfalme wa fisadi hujawatendea haki watanzania na nakuhakikishia hutokuwa salama milele
Rais wa mwisho wa ccm kuambulia kura yangu alikuwa Mkapa basi nilivoona upumbavu wake sintokaa milele kumpigia kura mtu yeyote kutoka ccm never. Magufuri arudishe nyumba zetu alizouza kwanza ndio tutaelewana, mimi si bendera fuata upepo.
Akili huna ndio maana unapayuka tu hapa ni kazi tu wakati huna hata kibaruwa unaishi kwa kupiga mizinga. wewe si level yangu wala huna hadhi ya kucommet hapa JF, akili inapwaya sana kiwango chako ni cha wasapu. wakati Magufuri anauza nyumba wewe hujui kama zile ni nyumba zetu?Nyumba zenu ww na nani? Mbona hufanani na kuwa na nyumba? Hapa ni kazi tuuuuuuuuuuu!