commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Niliweka uzi hapa nikasema sasa wataanza kujipanga ili wasiumbuke mbele ya kamera.
Tusubiri.
IRINGA biashara ya NOTI BANDIA imeshamiri kila kona...Na inafanyika kwa uwazi mno na inalipa kweli kweli..
Watu wanajenga majengo makubwa ya hatari, wanasomesha watoto shule za maana na wanamiliki magari ya kifahari balaa
Cha ajabu askari wa jeshi la POLISI wanahusika moja kwa moja na hii kitu na wanaifanya kama "part-time bussiness"...
Kuna viwanda vya kutengeneza hizi noti feki kila kona kuanzia KIHESA, MSHINDO, IPOGOLO,ILALA, MTWIVILA, maeneo ya nyuma kabisa ya Ikulu ya mkoa ya Gangilonga na kila kona ya mji na na vingine viko nyuma tu ya vituo vya polisi na vinajulikana kwa kila mtu hata kwa polisi wakuu...
Noti moja FEKI moja huuzwa kati ya shilingi elfu sita(6,000) mpaka elfu nane(8,000) na ni biashara inalipa kwa watoto wa mjini kwa kushirikiana na baadhi ya askari polisi...
Juzi kati kuna dogo hapa kitaa alikamatwa na "MZIGO" wa kutosha na askari polisi...cha ajabu akanyang'anywa mzigo na wakamkamua kama ELFU 80 hivi ya kutuliza soo mambo yakaisha "KI-UTU UZIMA"...Jioni karudi nyumbani mdingi wake kam-maindi ni kwa nini amekwapua mzigo wake na anamuharibia kazi inayomuweka mjini tangu miaka ya 90, akamuonya sana na akampa namba za simu za baadhi ya "WAKUBWA WAPOLISI" ili siku akiwa na mzigo na mambo yakaharibika awatafute wata solve issue...
Baada ya muda jamaa akawasiliana na "WAKUU" jamaa akarudishiwa mzigo wake kwa "FAINI" waliyoelewana
TISS MKO WAPI??
TISS MNAFANYA NINI??
Minadani ndiko wanakoziingizia kwenye mzunguko hizi noti feki...wakulima kwa sababu ya njaa zao na ujinga wao hawajui kutofautisha FEKI na ORIGINAL...wakija kustuka washaliwa.
Fedha hizi kuna tetesi kuwa pia zinaingizwa kwenye mzunguko kupitia benki yetu pendwa "ya sirikali"
Haiitaji intelijensia kama ya KOVA au kuundwa TUME MALUMU kutafuta HIVI VIWANDA au HAWA WAPIGA DELS..we njoo tu stendi ya mabasi pale MIYOMBONI ulizia kijana yeyote wa mjini "WAPI NAPATA FEKI"...utapelekwa moja kwa moja mpaka jikoni....
Magufuli okoa hii nchi...Au kama umehalalisha hii biashara tuambie na sisi tufanye maana maisha mitaaani magumu mnoo kwa kuwa inalipa...TENA INALIPA SANA TU.....
Hata sie tunapenda kujenga majengo mazuri ya kifahari na kuendesha magari mazuri
Mkuu hii hali ni mbaya sana, kwa hali niliyoiona Iringa na haya unayoyasema hapa, ni kama vile hii nchi haina serikali.Mkuu ulichosema yawezekana kwa 100% kikawa na ukweli ndani yake.
Kwa sababu huu mchezo mimi mwenyewe niliushuhudia miaka ya 2000. Polisi na viongozi wakubwa serikalini wasio waaminifu ndo wahusika wakubwa wa mchezo huu. Nianze kueleza kwa uwazi tu miaka 2000 wimbi la pesa bandia lilikithiri sana wote mtakumbuka. Mpaka mkuu wa Kaya wa wakati huo (Mr. Clean ) kaingilia kati na kusema ni pesa bandia pesa hizo zikaingizwa kihalali kwenye mzunguko. Watengenezaji wa hizo pesa walikuwa wakishirikiana na Ma-RPCs, Ma-meneja wa benki kuu pamoja na baadhi ya vigogo wengine serikalini. Kuna issue kama hiyo iltokea pale BOT Mwanza, ilikuwa tarehe 28/10/2000 Meneja mmoja wa BOT (akiitwa Kalokora) ndo alikuwa kinara wa kuingiza pesa bandia BOT kwa malipo makubwa. Taarifa hizi taasisi zote za usalama zinajua, lakini Kalokora hakufanywa chochote.
Kwa Dar Mitambo ya kutengeneza pesa bandia iko huko Bunju (vyombo vya ulinzi na Usalama wanajua), lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kudhibiti uharamia huu.
Tukale wapi mkuu? polisi au?
je yapi yatafuatia asanteni na karibuni
IRINGA biashara ya NOTI BANDIA imeshamiri kila kona...Na inafanyika kwa uwazi mno na inalipa kweli kweli..
Watu wanajenga majengo makubwa ya hatari, wanasomesha watoto shule za maana na wanamiliki magari ya kifahari balaa
Cha ajabu askari wa jeshi la POLISI wanahusika moja kwa moja na hii kitu na wanaifanya kama "part-time bussiness"...
Kuna viwanda vya kutengeneza hizi noti feki kila kona kuanzia KIHESA, MSHINDO, IPOGOLO,ILALA, MTWIVILA, maeneo ya nyuma kabisa ya Ikulu ya mkoa ya Gangilonga na kila kona ya mji na na vingine viko nyuma tu ya vituo vya polisi na vinajulikana kwa kila mtu hata kwa polisi wakuu...
Noti moja FEKI moja huuzwa kati ya shilingi elfu sita(6,000) mpaka elfu nane(8,000) na ni biashara inalipa kwa watoto wa mjini kwa kushirikiana na baadhi ya askari polisi...
Juzi kati kuna dogo hapa kitaa alikamatwa na "MZIGO" wa kutosha na askari polisi...cha ajabu akanyang'anywa mzigo na wakamkamua kama ELFU 80 hivi ya kutuliza soo mambo yakaisha "KI-UTU UZIMA"...Jioni karudi nyumbani mdingi wake kam-maindi ni kwa nini amekwapua mzigo wake na anamuharibia kazi inayomuweka mjini tangu miaka ya 90, akamuonya sana na akampa namba za simu za baadhi ya "WAKUBWA WAPOLISI" ili siku akiwa na mzigo na mambo yakaharibika awatafute wata solve issue...
Baada ya muda jamaa akawasiliana na "WAKUU" jamaa akarudishiwa mzigo wake kwa "FAINI" waliyoelewana
TISS MKO WAPI??
TISS MNAFANYA NINI??
Minadani ndiko wanakoziingizia kwenye mzunguko hizi noti feki...wakulima kwa sababu ya njaa zao na ujinga wao hawajui kutofautisha FEKI na ORIGINAL...wakija kustuka washaliwa.
Fedha hizi kuna tetesi kuwa pia zinaingizwa kwenye mzunguko kupitia benki yetu pendwa "ya sirikali"
Haiitaji intelijensia kama ya KOVA au kuundwa TUME MALUMU kutafuta HIVI VIWANDA au HAWA WAPIGA DELS..we njoo tu stendi ya mabasi pale MIYOMBONI ulizia kijana yeyote wa mjini "WAPI NAPATA FEKI"...utapelekwa moja kwa moja mpaka jikoni....
Magufuli okoa hii nchi...Au kama umehalalisha hii biashara tuambie na sisi tufanye maana maisha mitaaani magumu mnoo kwa kuwa inalipa...TENA INALIPA SANA TU.....
Hata sie tunapenda kujenga majengo mazuri ya kifahari na kuendesha magari mazuri
mjini shule