Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
mleta uzi ni vema ungeweka hata ka ushahidi kadooooogo,ili tupate hata clue ya unachojaribu kuueleza umma pls.......:flock::flock::flock::flock::lock1::lock1:
 
Mtoa mada ni mpuuzi tu, hivi Tanapa wana ufisadi gani/upi? Toa hata mfano wa ufisadi mmoja basi tujue, sio kuunga unga story
 
Niliweka uzi hapa nikasema sasa wataanza kujipanga ili wasiumbuke mbele ya kamera.

Tusubiri.

Hakuna ufisadi wala nini, hizo ni hearsay tupu. Kuweka rekodi ebu toa aina moja tu ya ufisadi.

Kukusaidia tu Tanapa, Ncaa, game department na halmashauri za wilaya vina jurisdiction tofauti tofauti ktk uhifadhi wa w/pori Tz.

Like wale twiga wanaoaminika waliosafirishwa tanapa hawakuhusika 100%. Ishu ya Tembo ni cross sectoral thing, sio ishu ya tanapa tu
 
IRINGA biashara ya NOTI BANDIA imeshamiri kila kona...Na inafanyika kwa uwazi mno na inalipa kweli kweli..
Watu wanajenga majengo makubwa ya hatari, wanasomesha watoto shule za maana na wanamiliki magari ya kifahari balaa
Cha ajabu askari wa jeshi la POLISI wanahusika moja kwa moja na hii kitu na wanaifanya kama "part-time bussiness"...

Kuna viwanda vya kutengeneza hizi noti feki kila kona kuanzia KIHESA, MSHINDO, IPOGOLO,ILALA, MTWIVILA, maeneo ya nyuma kabisa ya Ikulu ya mkoa ya Gangilonga na kila kona ya mji na na vingine viko nyuma tu ya vituo vya polisi na vinajulikana kwa kila mtu hata kwa polisi wakuu...
Noti moja FEKI moja huuzwa kati ya shilingi elfu sita(6,000) mpaka elfu nane(8,000) na ni biashara inalipa kwa watoto wa mjini kwa kushirikiana na baadhi ya askari polisi...

Juzi kati kuna dogo hapa kitaa alikamatwa na "MZIGO" wa kutosha na askari polisi...cha ajabu akanyang'anywa mzigo na wakamkamua kama ELFU 80 hivi ya kutuliza soo mambo yakaisha "KI-UTU UZIMA"...Jioni karudi nyumbani mdingi wake kam-maindi ni kwa nini amekwapua mzigo wake na anamuharibia kazi inayomuweka mjini tangu miaka ya 90, akamuonya sana na akampa namba za simu za baadhi ya "WAKUBWA WAPOLISI" ili siku akiwa na mzigo na mambo yakaharibika awatafute wata solve issue...
Baada ya muda jamaa akawasiliana na "WAKUU" jamaa akarudishiwa mzigo wake kwa "FAINI" waliyoelewana

TISS MKO WAPI??
TISS MNAFANYA NINI??

Minadani ndiko wanakoziingizia kwenye mzunguko hizi noti feki...wakulima kwa sababu ya njaa zao na ujinga wao hawajui kutofautisha FEKI na ORIGINAL...wakija kustuka washaliwa.

Fedha hizi kuna tetesi kuwa pia zinaingizwa kwenye mzunguko kupitia benki yetu pendwa "ya sirikali"

Haiitaji intelijensia kama ya KOVA au kuundwa TUME MALUMU kutafuta HIVI VIWANDA au HAWA WAPIGA DELS..we njoo tu stendi ya mabasi pale MIYOMBONI ulizia kijana yeyote wa mjini "WAPI NAPATA FEKI"...utapelekwa moja kwa moja mpaka jikoni....

Magufuli okoa hii nchi...Au kama umehalalisha hii biashara tuambie na sisi tufanye maana maisha mitaaani magumu mnoo kwa kuwa inalipa...TENA INALIPA SANA TU.....

Hata sie tunapenda kujenga majengo mazuri ya kifahari na kuendesha magari mazuri

Mkuu ulichosema yawezekana kwa 100% kikawa na ukweli ndani yake.
Kwa sababu huu mchezo mimi mwenyewe niliushuhudia miaka ya 2000. Polisi na viongozi wakubwa serikalini wasio waaminifu ndo wahusika wakubwa wa mchezo huu. Nianze kueleza kwa uwazi tu miaka 2000 wimbi la pesa bandia lilikithiri sana wote mtakumbuka. Mpaka mkuu wa Kaya wa wakati huo (Mr. Clean ) kaingilia kati na kusema ni pesa bandia pesa hizo zikaingizwa kihalali kwenye mzunguko. Watengenezaji wa hizo pesa walikuwa wakishirikiana na Ma-RPCs, Ma-meneja wa benki kuu pamoja na baadhi ya vigogo wengine serikalini. Kuna issue kama hiyo iltokea pale BOT Mwanza, ilikuwa tarehe 28/10/2000 Meneja mmoja wa BOT (akiitwa Kalokora) ndo alikuwa kinara wa kuingiza pesa bandia BOT kwa malipo makubwa. Taarifa hizi taasisi zote za usalama zinajua, lakini Kalokora hakufanywa chochote.
Kwa Dar Mitambo ya kutengeneza pesa bandia iko huko Bunju (vyombo vya ulinzi na Usalama wanajua), lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kudhibiti uharamia huu.
 
Mkuu hii hali ni mbaya sana, kwa hali niliyoiona Iringa na haya unayoyasema hapa, ni kama vile hii nchi haina serikali.

Siku moja nilishuhudia kesi moja pale UDSM jamaa alikua anahamisha pesa kutoka account yake ya NMB kupeleka account yake nyingine ya CRDB, Akachukua kama 200,000 hivi kwenye ATM ya NMB.
Ila kumkabidhi tu teller wa CRDB alipoziingiza kwenye mashine ya kuhesabia pesa akanasa noti FEKI TATU za shillingi elfu kumi kumi, jamaa ikabidi awekwe chini ya ulinzi.
Katika mahojiano yake akaeleza jinsi alivyozitoa hizo pesa ATM ya NMB na bahati nzuri na risiti za transaction alikua nazo
cha ajabu walejamaa wa CRDB wakamwachia kwa kuwa zilikua zimetoka NMB huku wakilalamikia NMB kuwa kichaka cha noti FEKI kuingizwa kwenye mifumo ya kibenki.

Wafanyakazi hawa waliendelea sana kulalamika kuwa sasa imekua ni "common case" kwa noti feki kuingia na kutoka NMB na karibu kila siku wao wanazidaka ila wakitoa taarifa "wakubwa" wanapiga kimya

Hilo unalolisema ni kweli na hii nchi kama hatua za haraka hazitachukuliwa itaelekea pabaya sana
 
Wadau naomba uzi huu uwe spesho kwaajili ya majipu yanayotumbuliwa na tuwe tunajuzana pindi jipu linapotumbuliwa na waheshimiwa wetu viongozi naomba kuwasilisha baadhi ya majipu hayo TRA.TRL na BANDAR je yapi yatafuatia asanteni na karibuni
 
Hivi hii huduma ya FAST TRACK katika hospital za serikali awamu hii ya 5 ,binafsi sizipende maana naona kama ni ubaguzi wa wenye nacho nawasionacho.

Ningetamani raisi JPM azipigechini wote ni sawa, wadau mnasemaje?
 
Naunga mkono hoja. Kila anayekwenda hospitali anahitaji matibabu haraka iwezekanavyo.
 
Saita umenena kweli, akina makamba walikuwa watonyaji hodari, kwa sasa hazivuji tena
 
IRINGA biashara ya NOTI BANDIA imeshamiri kila kona...Na inafanyika kwa uwazi mno na inalipa kweli kweli..
Watu wanajenga majengo makubwa ya hatari, wanasomesha watoto shule za maana na wanamiliki magari ya kifahari balaa
Cha ajabu askari wa jeshi la POLISI wanahusika moja kwa moja na hii kitu na wanaifanya kama "part-time bussiness"...

Kuna viwanda vya kutengeneza hizi noti feki kila kona kuanzia KIHESA, MSHINDO, IPOGOLO,ILALA, MTWIVILA, maeneo ya nyuma kabisa ya Ikulu ya mkoa ya Gangilonga na kila kona ya mji na na vingine viko nyuma tu ya vituo vya polisi na vinajulikana kwa kila mtu hata kwa polisi wakuu...
Noti moja FEKI moja huuzwa kati ya shilingi elfu sita(6,000) mpaka elfu nane(8,000) na ni biashara inalipa kwa watoto wa mjini kwa kushirikiana na baadhi ya askari polisi...

Juzi kati kuna dogo hapa kitaa alikamatwa na "MZIGO" wa kutosha na askari polisi...cha ajabu akanyang'anywa mzigo na wakamkamua kama ELFU 80 hivi ya kutuliza soo mambo yakaisha "KI-UTU UZIMA"...Jioni karudi nyumbani mdingi wake kam-maindi ni kwa nini amekwapua mzigo wake na anamuharibia kazi inayomuweka mjini tangu miaka ya 90, akamuonya sana na akampa namba za simu za baadhi ya "WAKUBWA WAPOLISI" ili siku akiwa na mzigo na mambo yakaharibika awatafute wata solve issue...
Baada ya muda jamaa akawasiliana na "WAKUU" jamaa akarudishiwa mzigo wake kwa "FAINI" waliyoelewana

TISS MKO WAPI??
TISS MNAFANYA NINI??

Minadani ndiko wanakoziingizia kwenye mzunguko hizi noti feki...wakulima kwa sababu ya njaa zao na ujinga wao hawajui kutofautisha FEKI na ORIGINAL...wakija kustuka washaliwa.

Fedha hizi kuna tetesi kuwa pia zinaingizwa kwenye mzunguko kupitia benki yetu pendwa "ya sirikali"

Haiitaji intelijensia kama ya KOVA au kuundwa TUME MALUMU kutafuta HIVI VIWANDA au HAWA WAPIGA DELS..we njoo tu stendi ya mabasi pale MIYOMBONI ulizia kijana yeyote wa mjini "WAPI NAPATA FEKI"...utapelekwa moja kwa moja mpaka jikoni....

Magufuli okoa hii nchi...Au kama umehalalisha hii biashara tuambie na sisi tufanye maana maisha mitaaani magumu mnoo kwa kuwa inalipa...TENA INALIPA SANA TU.....

Hata sie tunapenda kujenga majengo mazuri ya kifahari na kuendesha magari mazuri

Hicho nilichokisema nimekifanyia kazi mimi mwenyewe. Kuna jamaa alikuwa yuko Musoma na kundi lake wao walikuwa wanaenda kuzitengenezea Kisumu (Kenya) wanazileta BOT Mwanza, wanabeba chao tayari pesa zinaingia kwenye mzunguko. Ila wakubwa wanalijua hili wakati mwingine wao ni wamiliki wa hii mitambo ya kutengeneza noti bandia
 
mjini shule

pumbavu kabisa!!!! Kumbe watu wengine wanahangaika kutafuta kipato kihalali kumbe wengine wanajibonyezea tu maisha kwa kidole kiulaini!!!!!

Ndiyo maana hata mi'siku hizi nashangaa watu wakawaida sana wapiga diri wanakuwa matajiri ghaflaghafla hadi najiuliza au maisha magumu yako kwangu tu!!!!!!!!????????????

Ndo'maana bila huu mfumo ccm kufa nchi hii itaendelea kuwa ya wajanjawajanja na wapiga diri na si'wafanyao kazi halali!!!!

Inauma saaaana!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umeandika vizuri ukaeleweka.wewe kusema kama Raisi sijui nini hapo umechemsha na uwe unafikiria na kutotaka kusingizia maovu kwa mkuu wa nchi.

Weka majina yao kurahishisha ombi lako.
 
IRINGA biashara ya NOTI BANDIA imeshamiri kila kona...Na inafanyika kwa uwazi mno na inalipa kweli kweli..
Watu wanajenga majengo makubwa ya hatari, wanasomesha watoto shule za maana na wanamiliki magari ya kifahari balaa
Cha ajabu askari wa jeshi la POLISI wanahusika moja kwa moja na hii kitu na wanaifanya kama "part-time bussiness"...

Kuna viwanda vya kutengeneza hizi noti feki kila kona kuanzia KIHESA, MSHINDO, IPOGOLO,ILALA, MTWIVILA, maeneo ya nyuma kabisa ya Ikulu ya mkoa ya Gangilonga na kila kona ya mji na na vingine viko nyuma tu ya vituo vya polisi na vinajulikana kwa kila mtu hata kwa polisi wakuu...
Noti moja FEKI moja huuzwa kati ya shilingi elfu sita(6,000) mpaka elfu nane(8,000) na ni biashara inalipa kwa watoto wa mjini kwa kushirikiana na baadhi ya askari polisi...

Juzi kati kuna dogo hapa kitaa alikamatwa na "MZIGO" wa kutosha na askari polisi...cha ajabu akanyang'anywa mzigo na wakamkamua kama ELFU 80 hivi ya kutuliza soo mambo yakaisha "KI-UTU UZIMA"...Jioni karudi nyumbani mdingi wake kam-maindi ni kwa nini amekwapua mzigo wake na anamuharibia kazi inayomuweka mjini tangu miaka ya 90, akamuonya sana na akampa namba za simu za baadhi ya "WAKUBWA WAPOLISI" ili siku akiwa na mzigo na mambo yakaharibika awatafute wata solve issue...
Baada ya muda jamaa akawasiliana na "WAKUU" jamaa akarudishiwa mzigo wake kwa "FAINI" waliyoelewana

TISS MKO WAPI??
TISS MNAFANYA NINI??

Minadani ndiko wanakoziingizia kwenye mzunguko hizi noti feki...wakulima kwa sababu ya njaa zao na ujinga wao hawajui kutofautisha FEKI na ORIGINAL...wakija kustuka washaliwa.

Fedha hizi kuna tetesi kuwa pia zinaingizwa kwenye mzunguko kupitia benki yetu pendwa "ya sirikali"

Haiitaji intelijensia kama ya KOVA au kuundwa TUME MALUMU kutafuta HIVI VIWANDA au HAWA WAPIGA DELS..we njoo tu stendi ya mabasi pale MIYOMBONI ulizia kijana yeyote wa mjini "WAPI NAPATA FEKI"...utapelekwa moja kwa moja mpaka jikoni....

Magufuli okoa hii nchi...Au kama umehalalisha hii biashara tuambie na sisi tufanye maana maisha mitaaani magumu mnoo kwa kuwa inalipa...TENA INALIPA SANA TU.....

Hata sie tunapenda kujenga majengo mazuri ya kifahari na kuendesha magari mazuri

Mtoa mada umetuangusha kweli kweli, miaka yote hii tunaishi na uchafu huu umekaa nao kimya umesubiri mpaka Magufuli ameingia madarakani? Inaonyesha polisi huwaamini lakini hata wawakilishi wako pia? Iringa mnamuwakilishi mbunge makini umeshindwa kumtonya hali kuwa na viwanda hivyo unajua vilipo? Wewe inaelekea unaowaamini ni TISS tu, wanaofisi yao hapo mjini wapelekee vielelezo hawafanyi kazi kwa lamri wanategemea ushirikiano toka kwa watu kama wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom