Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Usiseme 'madrasul' bali sema 'chuo'! Wana-graduate chuo before primary & secondary education. Wanafaulu chuo but wanafeli sekondari then wana-transfer lawama kwa mama Ndalichako. Horrendous!

watu waliolawitiwa utawajua tu,nafsi yako inajua ndalichako ni mdini na mmependelewa vya kutosha now mambo yako vizuri
 
Jibiidishe kusoma siyo kutafuta huruma. Don't waste your time ni Madrasul

Madrasa ni elimu ya muhimu kuliko unavofikilia wewe, hiyo inampa mtu utu,huruma, kutambua utu wa mwenzio na uwepo wako katika dunia na lengo lake, vitu ambavyo huwezi kuvipata kwingineko na ukivikosa hivi lzm utaishi maisha yasiyo ya mwanadamu na hali ww ni binadamu uliyepewa kipawa kikubwa. Ndo hayo yakikosekana unasikia mtu mmoja kaiba vifaa vya hospital na kuacha watu wanakufa, kaiba rasilimali na kuacha wananchi wengine masikini wa kutupwa nk. Hivyo unaeibeza elimu yeyote inayompa ustarabu mwanadamu lzm uiweke akili yako katika mizani au uivishe miwani ya sawasawa ili kubaini mambo.
 

hujui unachoandika
 
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.

Toka zako acha kupotosha, Ndalichako alijiuzuru mwenyewe baada ya kutoafikiana na zoezi la kurudia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012.
Tutokee na udini wako, nyinyi mna matatizo na ndiyo mnao tuharibia nchi.
 

Hivi unapofanya mtihani wa taifa huwa unaandika jina lako au namba ili kujua huyu mkristo au muislam? Unafikiri mtihani wa dini unakusaidia kuchaguliwa kwenda high level au inahusishwa kwa cut point ya kwenda Chuo kwa mfumo wa elimu ya Tanzania. Chukia mtu kwa hoja ya msingi sio udini.
 
akipewa hiyo wizara, waislamu tunaandamana nchi nzima. mdini hatumtakih...
 

Hawa "IS" na Boko Haram wana hiyo Elimu au? Na kama wanayo na mafundisho?
 

kumbe kuna vitoto humu?huna unachojua ukijaaliwa kukua uje tena nikuelekeze mambo yalivyokua necta
 
akipewa hiyo wizara, waislamu tunaandamana nchi nzima. mdini hatumtakih...

mkuu usiwe na wasiwasi haya ni mawazo ya kichaa mmoja kakaa bar kashiba nguruwe akaanza kutapikia jf?ndalichako anafaa kua mzee wa kanisa
 

wanajisifu kwa kua na elimu na wakati huohuo elimu yao inawatuma kuvuana suruali hovyo sana hawa watu.
 
Aliyekuwa anasahihisha mtihani ni mama joyce. Alikuwa anawabagua kwa namna gani. Matusi hayasaidii kwa muelewa toa hoja za msingi ili ueleweshwe kama hauelewi utaratibu wa necta.
 
watu waliolawitiwa utawajua tu,nafsi yako inajua ndalichako ni mdini na mmependelewa vya kutosha now mambo yako vizuri

Kuna KY hapa kuna mtu anahitaji hio kitu yako aipake asee sijui unasemaje?
 
Aliyekuwa anasahihisha mtihani ni mama joyce. Alikuwa anawabagua kwa namna gani. Matusi hayasaidii kwa muelewa toa hoja za msingi ili ueleweshwe kama hauelewi utaratibu wa necta.

wewe umueleweshe nani kwa mfano?huna unalojua nakuambia hivi kama unampenda sana yule bibi oa
 
Huyo NECTA ilimshinda...ataiweza wizara? Tutolee utani hapa.

wapuuz wanaofikiri kwa korodani...huyu Mama hafai, '-hii nchi imejaa wasomi '-hii ukileta ubaguz wako watajua na utaaibika tu...huyu Mama aliletwa udini
 
kaa kimya kafili now waislam wanapumua matokeo yanaonekana mmeanza kuumia mashetan utawajua tu,huyo mama kama mnampenda mpeni uaskofu

OK basi tueleze aliwafanyia nini waislamu??
hivi upuuzi huu wa elimu unajitamba kuwa ni mafanikio!
Unafiki unahitaji kujitoa ufahamu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…