Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.






una mawazo kama yangh yaani kuna watu wananiudhi, wanajidai wnaijua ccm kuliko ccm inavojijua,yaani mtu hana mbele wala nyuma anashabikia ccm,,yaani basi tu naomba tunyooke kwanza akili zao zikae sawa sawa,,,,ile ile
 
Apeleke ushauri wake Ufipa, waliposhindwa.

Lowassa aanauhitaji zaidi ushauri wakati huu.

Huu ushauri ni muhimu zaidi kwa yule kichwa maji wa Msoga na wavaa njiwa wote.

Alafu unaumia nini, ilihali ushauri unatolewa kwa raisi Mgalatia?
 
[/COLOR]]MAGUFURI kaapishwa kuwa raisi wa Tanzania .sio raisi wa ccm.he belongs to all.nukta.

= MAGUFULI

Lowassa anauhitaji zaidi ushauri, yeye si ndiyo raisi kivuli?
 
Raisi ndo huyo tena ameshaapishwa, waliomtaka na wasiomtaka ila wote hawa ndio raisi wao wa awamu ya tano.

Je wewe raia ungependa raisi aanze na jambo lipi kulitendea kazi au kulisimamia ambalo unaona ni la muhimu na kwa sababu zipi?

Kama kuanza tayari kaanza lakini mie naomba afanye hili na Kama akiweza hili hata Ukawa watamtambua Leo leo, Rais tunaomba uhamie Dodoma umuenzi Baba wa Taifa Nyerere aliyetaka Serikali ihamie Dodoma na kuliacha jiji la Dsm libakie jiji la biashara kama Johannesburg kule South Africa. Magufuli akihamia Dodoma ataliokoa jiji la Dar na foleni kubwa pia itakuwa ni njia nyingine ya kuliendeleza jiji la Dodoma, kumbuka Malawi na Nigeria walikuja kujifunza Tanzania jinsi ya kuhamia miji mipya wao wamehamia miji mipya lakini CDA imebakia kuwa chombo cha kutafuna pesa tu huku hakuna dalili za kuhamia huko na kupunguza foleni jijini Dar.
 
Umechelewa jamvini, karamu imeshaliwa.

Magufuli ameshaanza kazi na kishaanza na mengi sana kuliko unavyotarajia.
 
Amalize swala la Zanzibar mana bado ajawa rais kamili bila Zanzibar
 
Naomba ni changie Mada hii
Magufuli hata faulu kutoa elimu bure, dawa bure, laptop bure, million 50 kila kijiji bure,
ikiwa hata dhibiti kodi kwa matajiri wana ccm, ikiwa hatovunja mikataba fake yenye misamaha ya kodi kubwa ambayo ndo ingegharamia huduma hizo za bure
vingine vyote ameanguka ! je ? ataweza kugusa visima vya ma Boss walopewa Ikulu
 
Amalize swala la Zanzibar mana bado ajawa rais kamili bila Zanzibar

Zanzibar ni serikali ya Ukawa akubali ili Tanganyika watawale ccm na Zanzibar watawale ukawa. Lakini yeye ahamie Dodoma ili kupunguza foleni jijini Dsm.
 
Aanze na kuamrisha mabasi mwendo kasi yaanze mara moja kivuko cha mv dar kiyeyushe tuuze kama chuma chakavu
 
= MAGUFULI

Lowassa anauhitaji zaidi ushauri, yeye si ndiyo raisi kivuli?

Furaha yangu sio ushindi wa CCM ... Ni ushindi wa Mgalatia .... Katika vipindi vinne ya taasisi ya uraisi watz tumeshuhudia Wavaa njiwa na wapiga soga mkiharibu nchi yetu, safari hii kaingia tena mwenye UCHUNGU na Tanganyika...... Mtaisoma namba.
 
Serikali ikihamia Dodoma na magari yake yote kisha viongozi wakahamia na magari Yao binafsi nina hakika foleni itapungua sana jijini Dsm na pesa ambazo zingetumika kupanua barabara zitatumika kujenga Hospital kubwa kila mkoa wilaya pia kuwalipa walimu na mikono kwa wanafunzi na kuzitatua Kero nyingi.
 
Afumue mkataba wa ges na aondoshe foleni dar

Dawa ya foleni Dsm ni Serikali kuhamia Dodoma wakihamia Dodoma na magari yao yote yakiwemo ya binafsi foleni itakwisha kabsa.
 

Kweli kaka maana kwa kipindi kirefu tumekua na uchumi tegemezi ni muda sasa tujitegemee wenyewe tuanze kufanya uzalishaji hii itatusaidia kupata umeme wa uhakika hivyo kuchangamsha shughuli za kiuchumi ikiwezekana tuuze na umeme wetu nje tuirudishie shilingi yetu thamani

Maana kwa kweli hii wizara ya nishati na madini imekua mtaji kwa wanasiasa iangaliwe kwa jicho la tatu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…