Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mh Dr.John Pombe Magufuri President of United Repuplic of Tanzania unakazi ya kuwaonganisha watanzania walio gawanyikia ccm na chadema soma hizo comment hapo juu utajionea mwenyewe. Tunaomba utusaidie kwakweli
 
Mtoa maada Bennie 369 fafanua kwanza swali lako;Je yaliyoko kwenye ilani ya CCM au ninayotaka mimi?
 
Apitie mikataba ya gesi na madini

Umeongea point kwa sabbu gesi ingekuwa moka ya bidhaaa ya kuuzwa nje ili isimamishe shilingi ya tz dhidi ya dola

Ila kwa mikataba ilivyo kimbizwa na kusainiwa haraka haraka sidhank hata kama upo mwanya wa kuivunja au kufanya mabadiliko kwa chochote

Tofauti na hapo taifa linaweza kuingia hasara marabili ikiwa watapitia na kuvunja kabisa.
Ila wakati mwingine aheri LAWAMA KULIKO FEDHEHA.
 
aimarishe uchumi wa nchi kwa kusimamia uzalishaji na kukusanya mapato ya serikali kikamilifu, aboreshe afya , elimu, elimu bure mpaka kidato cha nne, atatue tatizo la mikopo kwa wanachuo, bandari na shirika la reli na air tanzania vifanye kazi kwa ufanisi na kwa faida, atengeneze reli zetu ziwe na gauge ya kisasa na usafiri wa treni uwe wa uhakika na sio kubahatisha kwa ajili ya kusafirisha mizigo kwenda nchi jirani. ABORESHE KILIMO NA KUFUFUA VIWANDA
 
Mkuu akisanye Pia Kodi sana sana tuu haswa kwa wafanyabiashara wakubwa na wale waliokuwa wanakwepa Kodi hili ndo Liwe La Kwanza Kabisa
 
  • Thanks
Reactions: OR7
Kazi yake ya kwanza iwe kuvunja urafiki na watu wote bila kujali kama walimsaidia kwenye kampeni.
 
Natoa ushauri kwake kama mwananchi wa kawaida, je kuna ubaya?

Niende wapi? Kumbuka sina Uraia wa nchi nyingine, hivyo tutabanana hapa hapa Vongo.
FaizaFoxy, hivi Magufuli anatakiwa apewe ushauri na nani? Nisaidie hapo.

Si hamumkubali kuwa ni Rais wa halali? Kulikoni, umeshawageuka wenzio?

Ushauri wako mpelekee Lowassa.
 
Raisi ndo huyo tena ameshaapishwa, waliomtaka na wasiomtaka ila wote hawa ndio raisi wao wa awamu ya tano.

Je wewe raia ungependa raisi aanze na jambo lipi kulitendea kazi au kulisimamia ambalo unaona ni la muhimu na kwa sababu zipi?

Mkuu mi nashauri aanze na Kukusanya Kodi kwa Nguvu zooote Aanze na wafanyabiashara wakubwa na wale wanaokwepa Kodi,kwasababu akifanya hivyo ataweza kupata hela ya kuboresha huduma za Jamii......
Pia aangalie ajira za wageni,hizi zimesababisha sana sana kwa wazawa walio na Sifa kukosa ajira,hivyo kupunguza multiplier effects ya ajira kwa wengine Pia....
 
Wewe kama nani hata utoe ushauri kwa Magufuli?

Tuondokee hapa.

Pamoja na kuichukia CCM, nashukuru tumepata raisi kutoka upande sahihi wa kiimani ☺☺☺ Wagalatia daima ni wapiga KAZI .... Sio hawa vibaka kwa Mchiriku na Soga.
 
Si hamumkubali kuwa ni Rais wa halali? Kulikoni, umeshawageuka wenzio?

Ushauri wako mpelekee Lowassa.

Haaaa umeanza lini kuwakubali wagalatia?

Safari hii lazima mnyooke wavaaa kininja 💩👅👅👅👅👅 Mlizoe vibaya sana na Kichwa Maji wa Msoga
 
Mtoa uzi katoa ushauri wake kama raia wa jamhuri ya muungano wa Tz, basi atakuwa rais fazafoxy umshauri wewe,

Apeleke ushauri wake Ufipa, waliposhindwa.

Lowassa aanauhitaji zaidi ushauri wakati huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom