Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Katiba ya wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
awapeleke mafisadi waote mahakamani
Apitie mikataba ya gesi na madini
aimarishe uchumi wa nchi kwa kusimamia uzalishaji na kukusanya mapato ya serikali kikamilifu, aboreshe afya , elimu, elimu bure mpaka kidato cha nne, atatue tatizo la mikopo kwa wanachuo, bandari na shirika la reli na air tanzania vifanye kazi kwa ufanisi na kwa faida, atengeneze reli zetu ziwe na gauge ya kisasa na usafiri wa treni uwe wa uhakika na sio kubahatisha kwa ajili ya kusafirisha mizigo kwenda nchi jirani. ABORESHE KILIMO NA KUFUFUA VIWANDA
Natoa ushauri kwake kama mwananchi wa kawaida, je kuna ubaya?
Niende wapi? Kumbuka sina Uraia wa nchi nyingine, hivyo tutabanana hapa hapa Vongo.
FaizaFoxy, hivi Magufuli anatakiwa apewe ushauri na nani? Nisaidie hapo.
Raisi ndo huyo tena ameshaapishwa, waliomtaka na wasiomtaka ila wote hawa ndio raisi wao wa awamu ya tano.
Je wewe raia ungependa raisi aanze na jambo lipi kulitendea kazi au kulisimamia ambalo unaona ni la muhimu na kwa sababu zipi?
Wewe kama nani hata utoe ushauri kwa Magufuli?
Tuondokee hapa.
Si hamumkubali kuwa ni Rais wa halali? Kulikoni, umeshawageuka wenzio?
Ushauri wako mpelekee Lowassa.