Umaarufu wa Magufuli ulikuwa juu kipindi walipokuwa mapacha watatu, JohnMagufuli,Kasim Majaliwa ,Ombeni Sefue,
Mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na mawaziri
alipoanza teuzi tu watu wakaanza kuguna ,
kila anapoteua watu wanaguna mmmmmm
sasa chunusi zinatumbuliwa majipu yanaachwa
Wazee wa kuzungurusha mikono wanaungaunga hoja kweli ...kazi yao ni kuhamisha magoli ....unahitaji kuwa kichaa kuwaamini leo ....JPM anapiga kazi tumpe muda ...Kwani Magufuli yupo kulinda umaarufu?
Magufuli haitaji umaarufu, ila yeye mwenyewe tayari ni maarifa .
Pole mfuasi wa Kuzungusha mikono
huo ndio ukweli miezi ya mwanzoni nilikuwa nina imani nae na mpaka sasa nina imani naye yeye kama yeye ila kuna mijitu inapenda madaraka na sifa imemzunguka inampotezea umaarufuWazee wa kuzungurusha mikono wanaungaunga hoja kweli ...kazi yao ni kuhamisha magoli ....unahitaji kuwa kichaa kuwaamini leo ....JPM anapiga kazi tumpe muda ...
Hutu mbunge wa kilwa(JINA) anachemke sana na teuzi zake zisizo na kichwa wala miguu.