Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Umaarufu wa Magufuli ulikuwa juu kipindi walipokuwa mapacha watatu, JohnMagufuli,Kasim Majaliwa ,Ombeni Sefue,
Mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na mawaziri
alipoanza teuzi tu watu wakaanza kuguna ,
kila anapoteua watu wanaguna mmmmmm
sasa chunusi zinatumbuliwa majipu yanaachwa

Ulisubiri umaarufu wake ushuke ndio ukiri kuwa umaarufu wake ulikuwa juu?
 
Hutu mbunge wa kilwa(JINA) anachemke sana na teuzi zake zisizo na kichwa wala miguu.
 
Kama hizi kashfa kubwa ambazo zinaibuliwa halafu akakaa kimya bila kuzifanyia kazi zitakuja kumgharimu, hakuna kitu kibaya kama muda, utadanganya lakini itafika kipindi wananchi bila kuambiwa na mtu watajua kuwa tumeisha ibiwa
 
Kwani Magufuli yupo kulinda umaarufu?

Magufuli haitaji umaarufu, ila yeye mwenyewe tayari ni maarifa .

Pole mfuasi wa Kuzungusha mikono
Wazee wa kuzungurusha mikono wanaungaunga hoja kweli ...kazi yao ni kuhamisha magoli ....unahitaji kuwa kichaa kuwaamini leo ....JPM anapiga kazi tumpe muda ...
 
Umeshuka baada ya majipu na style za kushtukiza kuzoeleka, lets wait umaarufu utapanda tu...
 
Wazee wa kuzungurusha mikono wanaungaunga hoja kweli ...kazi yao ni kuhamisha magoli ....unahitaji kuwa kichaa kuwaamini leo ....JPM anapiga kazi tumpe muda ...
huo ndio ukweli miezi ya mwanzoni nilikuwa nina imani nae na mpaka sasa nina imani naye yeye kama yeye ila kuna mijitu inapenda madaraka na sifa imemzunguka inampotezea umaarufu
 
Magu hajajiweka hapo ikulu. Kawekwa na chama chake. Atabana lkn mwishowe lazima ataachia kwa maslahi ya chama chake.
 
Watu watasubiri sana, umaarufu wa JPM unaongezeka kila uchao, lakini kamwe hawezi kuridhisha kila Mtu. Kama GHADAFI tu alitibu watu bure,elimu, meme, maji bure. Aliwaozesha vijana akawajengea nyumba bure na bado walimpinga, sembuse JPM....!??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom