HATERS AKA WAGONJWA WAMEANZA TENA! UKIWA HAMUISHIWI VITUKO!Umaarufu wa Magufuli ulikuwa juu kipindi walipokuwa mapacha watatu, JohnMagufuli,Kasim Majaliwa ,Ombeni Sefue,ilikuwa kama neyma,suarez na messi
Mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na mawaziri
alipoanza teuzi tu watu wakaanza kuguna ,
kila anapoteua watu wanaguna mmmmmm
sasa chunusi zinatumbuliwa majipu yanaachwa
amebaki messi peke yake,majaliwa hajulikani aliko
mama samia nae kaibukia mwenge wakati tulitarajia mwenge huoungewekwa makumbusho
katibu mkuu kiongozi mpya hata sura yake watu hawamjui
Hakuna ubishi kwamba umaarufu wake ulikuwa juu na alianza kuonekana ni kimbilio la wanyonge.Ulisubiri umaarufu wake ushuke ndio ukiri kuwa umaarufu wake ulikuwa juu?
Matatizo ya nchi yapo MatatuHakuna ubishi kwamba umaarufu wake ulikuwa juu na alianza kuonekana ni kimbilio la wanyonge.
Katika shughuli zangu za kutafuta maisha, napita sana mikoa mbalimbali. Tofauti na ilivyo kuwa Mwezi January kwa mfano ambapo Magufuli alikuwa na approval ratings kubwa sana, kila muda unavyozidi kwenda, anaporomoka. Sidhani kama mna muda wa kujiuliza Kwanini. To put it in a nutshell, ukistaajabu ya awamu ya nne, utayaona ya awamu ya tano.
Matatizo yapo matatu:
Mfumo
Mfumo
Mfumo.
badala ulete mada za maana we unakaa kujadili umaarufu wa magufuli....wanaume wa dar bhanaa!!Umaarufu wa Magufuli ulikuwa juu kipindi walipokuwa mapacha watatu, JohnMagufuli,Kasim Majaliwa ,Ombeni Sefue,ilikuwa kama neyma,suarez na messi
Mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na mawaziri
alipoanza teuzi tu watu wakaanza kuguna ,
kila anapoteua watu wanaguna mmmmmm
sasa chunusi zinatumbuliwa majipu yanaachwa
amebaki messi peke yake,majaliwa hajulikani aliko
mama samia nae kaibukia mwenge wakati tulitarajia mwenge huoungewekwa makumbusho
katibu mkuu kiongozi mpya hata sura yake watu hawamjui
Matatizo ya nchi yapo Matatu
LUWASSA
LUWASSA
LUWASSA
Wazee wa kugawa muda... Mlimpa Nyerere.... Mkampa mwinyi..... Mkampa tena Mkapa.... JK na sasa mnampa Magufuli!!!Wazee wa kuzungurusha mikono wanaungaunga hoja kweli ...kazi yao ni kuhamisha magoli ....unahitaji kuwa kichaa kuwaamini leo ....JPM anapiga kazi tumpe muda ...
-Escrow ya IPTL?
-Mmesikia escrow mpya ya songas gas, zaidi ya escrow ya IPTL?
-Serikali kuchukua mkopo wa zaidi ya Trilioni 21 kwa miaka mitano tu (2009-2013), zaidi ya jumla ya deni la taifa kuanzia 1961 hadi 2008, TZS Trilioni 15 tu kwa miaka 47 ya uhuru, mnafumua zaidi ya hizo miaka mitano tu?
-Lugumi?
-Kodi za home HSC hasara zaidi ya TZS Trilioni nane? Na kawajengea ukumbi wenu mpya wa dodoma? Anakarabati Lumumba, anamjengea kigogo hekalu Masaki? Yumo Kinyerezi 2?
Richmond kawaambia ni ya nani, na mnashindwa kumpeleka mahakamani kama alivyoomba ambapo Mngepata credit kwa kudhihirishia umma kweli mmedhamiria majipu?
Hadi Leo bado tatizo la taifa mnaaminishwa ni Lowassa?
Ama kweli awamu ya nne ilikuwa ni ya nguvu za giza.
Kwa maneno yenu kuntu hamteuliwi tena hata ka ukuu wa kijiji. Achilia mbali udisiiumaarufu wowote wa ghafla huwa sio mzuri kwa kuwa hukosa misingi ...ni vigumu kujenga umaarufu kwenye level ya urais kwa kutegemea juhudi binafsi badala ya mfumo...kwahiyo mleta mada kaleta maono ambayo ni obvious
Well said mkuu[emoji122] [emoji122] . Dah ubarikiwe sana..-Escrow ya IPTL?
-Mmesikia escrow mpya ya songas gas, zaidi ya escrow ya IPTL?
-Serikali kuchukua mkopo wa zaidi ya Trilioni 21 kwa miaka mitano tu (2009-2013), zaidi ya jumla ya deni la taifa kuanzia 1961 hadi 2008, TZS Trilioni 15 tu kwa miaka 47 ya uhuru, mnafumua zaidi ya hizo miaka mitano tu?
-Lugumi?
-Kodi za home HSC hasara zaidi ya TZS Trilioni nane? Na kawajengea ukumbi wenu mpya wa dodoma? Anakarabati Lumumba, anamjengea kigogo hekalu Masaki? Yumo Kinyerezi 2?
Richmond kawaambia ni ya nani, na mnashindwa kumpeleka mahakamani kama alivyoomba ambapo Mngepata credit kwa kudhihirishia umma kweli mmedhamiria majipu?
Hadi Leo bado tatizo la taifa mnaaminishwa ni Lowassa?
Ama kweli awamu ya nne ilikuwa ni ya nguvu za giza.
jamaa kaongea kweli yaani mbio za sakafuni ....malizia mwenyewe.Mpinga kristu lazima awepo duniani ili neno litimie
Kwa kipindi chake chote, Magufuli atatumia kodi za wananchi kulipa madeni yanayoiva kuliko kutumikia walipa kodi kwa njia ya huduma za kijamii nk. Mwaka huu peke yake, trillion sio chini ya nne zinatakiwa kulipwa ndio maana ukiangalia mapato ya kodi ya Mwezi, so far zaidi ya nusu yanaenda kulipa madeni pekee yake. Swali la msingi ni je TZS Trilioni zaidi ya 21 zilizokipwa kwa miaka mitano tu (2008-2013) zimefanya nini? Nyingi Zimeenda mfukoni kwani tumeshaona Magufuli akitenga fedha kwa ajili ya miradi ambayo ilishatengewa fedha bajeti iliyopita. Wanasema wao walikusanya TZS billioni 900 kwa Mwezi. Je zilifanya nini? Wanahamisha goli.Mwaka huu peke yake serikali itakopa 7 trillions ktk benki za biashara kwaajili ya budget ya 2016/17 nawaza trend hii ikienda mfululizo kwa 3 years itakuwaje kwenye deni la taifa?
Umaarufu wa Magufuli ulikuwa juu kipindi walipokuwa mapacha watatu, JohnMagufuli,Kasim Majaliwa ,Ombeni Sefue,ilikuwa kama neyma,suarez na messi
Mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na mawaziri
alipoanza teuzi tu watu wakaanza kuguna ,
kila anapoteua watu wanaguna mmmmmm
sasa chunusi zinatumbuliwa majipu yanaachwa
amebaki messi peke yake,majaliwa hajulikani aliko
mama samia nae kaibukia mwenge wakati tulitarajia mwenge huoungewekwa makumbusho
katibu mkuu kiongozi mpya hata sura yake watu hawamjui
NATIONAL CONCLUSSION; RICHMOND ni ya RICHARD WA MONDULI......aka LUWASSA....LUWASSA...LUWASSA...-Escrow ya IPTL?
-Mmesikia escrow mpya ya songas gas, zaidi ya escrow ya IPTL?
-Serikali kuchukua mkopo wa zaidi ya Trilioni 21 kwa miaka mitano tu (2009-2013), zaidi ya jumla ya deni la taifa kuanzia 1961 hadi 2008, TZS Trilioni 15 tu kwa miaka 47 ya uhuru, mnafumua zaidi ya hizo miaka mitano tu?
-Lugumi?
-Kodi za home HSC hasara zaidi ya TZS Trilioni nane? Na kawajengea ukumbi wenu mpya wa dodoma? Anakarabati Lumumba, anamjengea kigogo hekalu Masaki? Yumo Kinyerezi 2?
Richmond kawaambia ni ya nani, na mnashindwa kumpeleka mahakamani kama alivyoomba ambapo Mngepata credit kwa kudhihirishia umma kweli mmedhamiria majipu?
Hadi Leo bado tatizo la taifa mnaaminishwa ni Lowassa?
Ama kweli awamu ya nne ilikuwa ni ya nguvu za giza.
Kwani Magufuli yupo kulinda umaarufu?
Magufuli haitaji umaarufu, ila yeye mwenyewe tayari ni maarufu .
Pole mfuasi wa Kuzungusha mikono
Nani alikuambia aligombea nafasi ya Rais wa Tanzania ili awe maarufu?
Siku hizi ujinga unageuzwa na kuwa hekima na busara!
Hata shetani ni maarufu sana hapa duniani na mbinguni.
Hata walimu tu wana kitu kinaitwa lesson plan.Sasa wewe hauna hata dira wa plan yoyote,unaamka asubuhi hujui unaenda wapi wala hujui hiyo siku utafanya nini,unaanza kuingia kila eneo unalokutana nalo mbele yako,mara hotelini,mara sokoni,mara CRDB,mara kuangalia mechi kwenye banda na huko kote hata hujui unaenda kufuata nini ili mradi tu kwamba huna plan,unategemea huo umaarufu utadumu kwa muda gani?