Hivi wewe hadi leo hii bado kiswahili kinakuburuza tu?...UPINZANI ULIMYUMBISHA ndio lugha ya wapi au una maanisha nini?Rais magufuli
Waenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua,"
Jk alicheka na nyani akavuna mabua" sasa ni zamu yako ukicheza na upinzani huu inaongozwa na MZEE wa mbinu chafu inakura kwako,
Ushauri wangu
Achana nao tumikia wananchi michezo yao ya kugoma ni kukupotezea muda maana ndo MBINU yao waliyobaki nayo baada ya kupoteza falsafa ya ufisadi,
Kuwa makini usijaribu kulegeza hata kidogo hata ,kama iweje kama hawataki waache,
Maana
Jua mtaji wao ni umasikini wa watanzania kwahiyo jitiada zako kwao sio nzuri,
Hadi AKASINDWA? Unatutia aibu hapa jamviniRais magufuli
Waenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua,"
Jk alicheka na nyani akavuna mabua" sasa ni zamu yako ukicheza na upinzani huu inaongozwa na MZEE wa mbinu chafu inakura kwako,
Ushauri wangu
Achana nao tumikia wananchi michezo yao ya kugoma ni kukupotezea muda maana ndo MBINU yao waliyobaki nayo baada ya kupoteza falsafa ya ufisadi,
Kuwa makini usijaribu kulegeza hata kidogo hata ,kama iweje kama hawataki waache,
Maana
Jua mtaji wao ni umasikini wa watanzania kwahiyo jitiada zako kwao sio nzuri,
Okay ...
ID yako imenikumbusha WORLD CUPS ZA 1994 & 1998.
AFAYE NINI? Nina wasiwasi mkubwa na elimu yako ya MEMKWARais magufuli
Waenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua,"
Jk alicheka na nyani akavuna mabua" sasa ni zamu yako ukicheza na upinzani huu inaongozwa na MZEE wa mbinu chafu inakura kwako,
Ushauri wangu
Achana nao tumikia wananchi michezo yao ya kugoma ni kukupotezea muda maana ndo MBINU yao waliyobaki nayo baada ya kupoteza falsafa ya ufisadi,
Kuwa makini usijaribu kulegeza hata kidogo hata ,kama iweje kama hawataki waache,
Maana
Jua mtaji wao ni umasikini wa watanzania kwahiyo jitiada zako kwao sio nzuri,
Hiyo ID ya mleta mada ndo jina la huyo jamaa ... Ni Mcolombia & alikuwa ana manywele mengi zaidi ya Fellaini wa Man U.Mkuu hiv huyo mchezaji alikuwa anaitwa nan..
Hiyo ID ya mleta mada ndo jina la huyo jamaa ... Ni Mcolombia & alikuwa ana manywele mengi zaidi ya Fellaini wa Man U.
Aliyumbishwa kivipi wakati muda wote alikuwa hewani kwenye airbusRais magufuli
Waenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua,"
Jk alicheka na nyani akavuna mabua" sasa ni zamu yako ukicheza na upinzani huu inaongozwa na MZEE wa mbinu chafu inakura kwako,
Ushauri wangu
Achana nao tumikia wananchi michezo yao ya kugoma ni kukupotezea muda maana ndo MBINU yao waliyobaki nayo baada ya kupoteza falsafa ya ufisadi,
Kuwa makini usijaribu kulegeza hata kidogo hata ,kama iweje kama hawataki waache,
Maana
Jua mtaji wao ni umasikini wa watanzania kwahiyo jitiada zako kwao sio nzuri,
Ni kweli maana ndio walioba Escrow,EPA,na sasa Lugumi.Shame on you.Rais magufuli
Waenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua,"
Jk alicheka na nyani akavuna mabua" sasa ni zamu yako ukicheza na upinzani huu inaongozwa na MZEE wa mbinu chafu inakura kwako,
Ushauri wangu
Achana nao tumikia wananchi michezo yao ya kugoma ni kukupotezea muda maana ndo MBINU yao waliyobaki nayo baada ya kupoteza falsafa ya ufisadi,
Kuwa makini usijaribu kulegeza hata kidogo hata ,kama iweje kama hawataki waache,
Maana
Jua mtaji wao ni umasikini wa watanzania kwahiyo jitiada zako kwao sio nzuri,
Mkuu hiv huyo mchezaji alikuwa anaitwa nan..