Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Nashauli tusiangalie sana nyuma, ila tubobee kwenye kuangalie mbele zaidi, hasa kwenye kipengere cha ujenzi wa Taifa na kwa maslah ya taifa kama Watanzania.
unaishi katika ndoto za kuifikia nchi ya ahadi? can never happen
 
Ningelikuwa Bwana Magufuli ningeliwaachia wapinzani wakafanya siasa zao MRADI HAWAVUNJI SHERIA, na kuwaacha wanachi wakaamua siku ya kura.
 
Hata USA yenye vyama vingi kwa zaidi ya miaka 100.
Uchaguzi ukipita kinachofuata ni kuwapa nafasi walioshinda kutimiza ahadi zao kwa wananchi.

Kama una kitu unataka kusema utatumia vyombo Vya habari na siyo kuandamanisha watu na kuwashindisha juani
 
Nadhani hatutaelewna, kwaheri!
 
Hata USA yenye vyama vingi kwa zaidi ya miaka 100.
Uchaguzi ukipita kinachofuata ni kuwapa nafasi walioshinda kutimiza ahadi zao kwa wananchi.

Kama una kitu unataka kusema utatumia vyombo Vya habari na siyo kuandamanisha watu na kuwashindisha juani
Mbona kwenye mambo mazuri huwa hatujilinganishi na USA ikifika zamu ya kukandamiza watu inakuwa ya mfano.
 
Mimi sijui Magufuli ana shida gani frankly!
Kama ingekuwa mbwai, palepale walipokuwa wanatangaza yale matokeo ya uongo zege lingechanganywa.
Anatafuta heshima ambayo hawezi kupata na in the process ana create resistance ambayo haina lazima.
Anachokimplement sio strategy wala it doesnt make any political sense, thanks for his inexperience in broader politics.
Anaongoza nchi kizamani mpaka inakera.
 
Hata USA yenye vyama vingi kwa zaidi ya miaka 100.
Uchaguzi ukipita kinachofuata ni kuwapa nafasi walioshinda kutimiza ahadi zao kwa wananchi.

Kama una kitu unataka kusema utatumia vyombo Vya habari na siyo kuandamanisha watu na kuwashindisha juani
Baati mbaya hapa si USA
 
Ningelikuwa Bwana Magufuli ningeliwaachia wapinzani wakafanya siasa zao MRADI HAWAVUNJI SHERIA, na kuwaacha wanachi wakaamua siku ya kura.
Ndio maana sio Magufuli. Maana hujui sheria zingine kama CAP 322 ibara 43 mpaka 45
 
Ukiwaacha wapinzani wafanye wanavyotaka kutakokea machafuko kwani Wanasiasa wetu hawana uzalendo. Wameweka maslahi yao binafsi kwanza kwa kujaribu kujitengenezea majina, kama Zitto and Lissu.
 
Hata USA yenye vyama vingi kwa zaidi ya miaka 100.
Uchaguzi ukipita kinachofuata ni kuwapa nafasi walioshinda kutimiza ahadi zao kwa wananchi.

Kama una kitu unataka kusema utatumia vyombo Vya habari na siyo kuandamanisha watu na kuwashindisha juani
Kwahiyo kila kitu lazima tuige USA. Naona unataka tuige na mfano wao wa kuruhusu ushoga.
 
APA maana yake nini?
 
Hapo zamani nilikuwa simpendi kabisa baba mkwe wangu kwani Yeye alikuwa akishallikoroga huyo pipa mpaka kwa jaduong. Akiwa kaharibu sana ataugua huko huko mpaka apone; lakini leo namuona yeye ni bora kuliko huyo bwana mdogo: Ana jeuri na darasani hatakoli kuingia sijui tumfanyeje
 
WanaJf; salaam!
Jamani kila anayeingia katika kipande hiki cha kupashana habari ajitahidi kwa kumwombea Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ili kazi aliyoianza aikamilishe kwa kishindo kikubwa.
Tunapenda kuona akitekeleza ahadi zake zote zikiwemo MELI 3, Barabara za lami, fedha kwa kila kijiji/mtaa ya Tanzania, viwanda n.k

Kiukweli ni kiongozi anayetarajiwa kutwaa tuzo ya mshindi wa Nebel na tuzo zingine muhimu duniani.
MUNGU IBARIKI TANZANIA - MUNGU MBARIKI MAGUFULI - AMANI VITAWALE
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…