Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Kama wameanza kuandamana na Moshi safi sana.Kama watanzania tusingekuwa na ubinafsi kusingekuwa na haja ya " ukuta" wala sakafu, tatizo la ubinafasi kila kigogo anatunisha misuli dhidi ya wenzake na haangalii maslahi ya watanzania!
Una mawazo mfu sana wee gamboshi...Kama wameanza kuandamana na Moshi safi sana.
Tunawaomba waandamane kabisa usiku na mchana ,tuwe tunaandamana kutoka moshi mjini hadi Hai kila siku , kwa sababu ndio tulichoahidi wakati wa uchaguzi
Kwa kuwa sasa ni mwenyekiti wa chama, kwa nini asikae na wenyeviti/ makatibu wa vyama vingine awasikilize nini wanachotaka? Kusema usijaribiwe, wewe ni tofauti, myi gani katika hii dunia asiye na majaribu au changamoto za maisha. Nchi kwenda mbele ni wajibu wa kila mTz kuipeleka mbele wakiwamo wapinzani, kaa nao ujue mikakati yao kuliko kutishana.
Muongo na mnafikiMkuu humu JF kuna watu walikuwa wanamsifia kwa kila kitu anachofanya sasa hivi wanaanzisha uzi au wanaposti maoni ya kumpinga au kumkebehi
Ungeuliza kistaarabu ningekujibu naona leo umeamka vibaya acha kunukuu posti zangu maana tutagombanaMuongo na mnafiki
Wataje kama sio Kufuata mkumbo.
Hawakujua waliyendalo.Mkuu humu JF kuna watu walikuwa wanamsifia kwa kila kitu anachofanya sasa hivi wanaanzisha uzi au wanaposti maoni ya kumpinga au kumkebehi
Hahaha utapiga ngumi UKUTA!!!?Ungeuliza kistaarabu ningekujibu naona leo umeamka vibaya acha kunukuu posti zangu maana tutagombana