Ninawaza tu.
1. Aseme maji ya chumvi mwisho na sasa hivi maji yatatoka mabomba yote Dar es Salaam na mikoa yenye shida ya maji.
2. Afanye waendesha mipikipiki wawe na mfumo wa kueleweka maana barabarani hawataondoka. Arasimishe sekta ya bodaboda.
3. Awaambie wasaidizi wake wafanye maamuzi na kusimamia na si matamko.
Watanzania mniombee, msema kweli mpenzi wa Mungu.