Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Watumishi lazima wawe waoga, mwenzao wanamwona kabisa anatumbuliwa pembeni yao bila hata kujitetea wao wajifanye creative bila maelekezo! Ili wastaafu vzr na kapensheni angalau wakaonje ubunifu inabidi wawaachie akina Bill Gates
 
Mkulu 'anajua' kila kitu hahitaji ushauri wala mshauri
A jack of all trades and master of none
 
Ninamshauri JPM atengeneze elite wake katika nyanja zote za jamii. Kwa namna sera zake zilivyo asitarajie kurithi elite waliotengenezwa na tawala za CCM zilizotangulia.

JPM amekuja na fresh ideas ambazo kwa namna zinavyosomeka na kueleweka haziwezi kuungwa mkono na elite wa tawala za awali.

Intelligence wamsaidie kuhakikisha kunajitokeza makundi ya elite wanaofungamana na sera za JPM miongoni mwa wasomi, wafanyabiashara, wawekezaji, NGOs, wanasheria, wanafunzi na waandishi wa habari.

Ni hayo tu.
 
Chadema ni chama, Umaskini ni jadi lakini uchwara huu ndio ukatili.
TENA MUULIZE IDADI YA KESI ZA KI FISADI ZILIZOPO KWENYE VYOMBO VYA SHERIA TULINGANISHE NA KESI ZA FYOKOFYOKO ZILIZOFUNGULIWA NA SERIKALI MAHAKAMANI NA KWENYE MUHIMILI WA BUNGE HAPO ZA FYOKOFYOKO HESABIA NA MAGAZETI RADIO NA TV ZILIZOPO MAHABUSU FYOKOFYOKO TUNAONEWA SANA HATUA WANAZOTUCHUKULIA ZIMEKUWA KALI KULI ZA KINA MAPUNDA WALIOUZA SHAMBA LA UVFISIEM IGUMBILO NA HATA WALIOGAWANA APARTMENT PALE UVFISIEM HQ
 
Mkuu usinichekesha bwana mafisadi hawafungwi nchi hii hata siku moja kila kiongozi fisadi. tokea lini panya akamfunge panya na wote wadokozi?
 
Mkuu usinichekesha bwana mafisadi hawafungwi nchi hii hata siku moja kila kiongozi fisadi. tokea lini panya akamfunge panya na wote wadokozi?
NDI HAPO SASA MWAMBIE SIE KINA FYOKOFYOKO TUNANENEPA KWA KWA KULETA FYOKOFYOKO HAO MAFISADI UPANDE WAKE WAMENENEPA KWA KULA MIKONO YA KINA SUGU MBOWE TUNDU LEMA NA SARA MAALIMU SEIF WAMEMPANDIA PANTOON KUTOKA PALE MAGOGONI SAA HIZI MIE FYOKOFYOKO NAHESABIA BORITI KWA NJAA YA KUFUNGWA MDOMO NISISEME FYOKO
 
MH Rais. Nimeamka na neno moja tu lakukuambia nalo ni Usiogope.
Usiogope kusimamia yale una amini kwa ustawi wa taifa hili.
Usiogope vitisho vya watu wachache wenye nia mbaya na taifa hili.
Usiogope wanao tishia kujiuzulu kama wapo maana taifa hililitasimama hata kama wao hawatokuwepo. Umoja wetu nguvu zetu watanzania bara na visiwani tuna imani juu ya utendaji wa serikali yako.
Usiogope matajiri wachache ndani ya taifa hili ambao utajiri wao unaukakasi mzito wa dhuluma kwa watanzania.
Usiogope pesakukauka mtaani maana mtu asie fanya kazi na asile. Simamia nyia sahihi pesa irudi mtaani.
Usiogope wakurugenzi wachache wamabank wenye kutumika na mafisadi siku zao zinaesabika wala usihangaike nao.... Utawatambua kwa matendo yao
Usimuogope kiongozi fulani anaye endesha uwasi mzito bara na visiwani kwa kutamani angekuwa yeye Rais. Huyu ni chakula cha alie mleta duniani usipoteze nguvu kushindana nae maana ataadhibiwa ukimuona nawewe utakiri Mungu yupo.
Usiogope juu ya ulinzi wako maana unalindwa angani na ardhini na hakuna atakaye izima nyota yako ila Yeye alie kutuma.
Usiogope nasema usiogope maana hawa unawaona sasa hutowaona tena ktk miaka tisa na miezi ilio baki. Taifa hili limekusubira sana nasasa limepata baba mpaka misitu itabarikiwa. Usiogope!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom