Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Tupo katika pilika pilika za usafiri wa kwenda ofsn

Ngoja tukikaa vzr tutakuja na Mashambukiz yenye Hoja nzito
 
TENA MUULIZE IDADI YA KESI ZA KI FISADI ZILIZOPO KWENYE VYOMBO VYA SHERIA TULINGANISHE NA KESI ZA FYOKOFYOKO ZILIZOFUNGULIWA NA SERIKALI MAHAKAMANI NA KWENYE MUHIMILI WA BUNGE HAPO ZA FYOKOFYOKO HESABIA NA MAGAZETI RADIO NA TV ZILIZOPO MAHABUSU FYOKOFYOKO TUNAONEWA SANA HATUA WANAZOTUCHUKULIA ZIMEKUWA KALI KULI ZA KINA MAPUNDA WALIOUZA SHAMBA LA UVFISIEM IGUMBILO NA HATA WALIOGAWANA APARTMENT PALE UVFISIEM HQ

Hivi zile kesi za kina Masamaki na wenzake zimeishia wapi?
 
Hilo swali mkaulizane ufipa. HAPA KAZI TU.
Mwenyekiti CCM JF
kweli ccm mmechoka, maskini ambao ndio mtaji wenu Leo hii mnawasaliti, laiti nguvu inayotumika kidhibiti chadema ingetumika kupambana na umaskini hakiyanani umaskini ungepotea kabisa.
 
Anaogopa zaidi ukawa na hasa chadema kuliko, kitu kingine chochote kile
 
Kwa tabia tulizonazo waafrika sijui kama tuta pata rais mwenye kukidhi matakwa ya wengi kama huyu!

Viva Magufuli!
 
MH Rais. Nimeamka na neno moja tu lakukuambia nalo ni Usiogope.
Usiogope kusimamia yale una amini kwa ustawi wa taifa hili.
Usiogope vitisho vya watu wachache wenye nia mbaya na taifa hili.
Usiogope wanao tishia kujiuzulu kama wapo maana taifa hililitasimama hata kama wao hawatokuwepo. Umoja wetu nguvu zetu watanzania bara na visiwani tuna imani juu ya utendaji wa serikali yako.
Usiogope matajiri wachache ndani ya taifa hili ambao utajiri wao unaukakasi mzito wa dhuluma kwa watanzania.
Usiogope pesakukauka mtaani maana mtu asie fanya kazi na asile. Simamia nyia sahihi pesa irudi mtaani.
Usiogope wakurugenzi wachache wamabank wenye kutumika na mafisadi siku zao zinaesabika wala usihangaike nao.... Utawatambua kwa matendo yao
Usimuogope kiongozi fulani anaye endesha uwasi mzito bara na visiwani kwa kutamani angekuwa yeye Rais. Huyu ni chakula cha alie mleta duniani usipoteze nguvu kushindana nae maana ataadhibiwa ukimuona nawewe utakiri Mungu yupo.
Usiogope juu ya ulinzi wako maana unalindwa angani na ardhini na hakuna atakaye izima nyota yako ila Yeye alie kutuma.
Usiogope nasema usiogope maana hawa unawaona sasa hutowaona tena ktk miaka tisa na miezi ilio baki. Taifa hili limekusubira sana nasasa limepata baba mpaka misitu itabarikiwa. Usiogope!!!!!
Wewe ndio unaogopa, Rais hana sababu na wala hawezi kuogopa chochote jiangalie sana kijana.
 
Na bado....yaani hawa wanajiita wafanyabiashara wakubwa....hii nchi sio yenu ni ya watanzania wote!
 
Awaogope mafisadi asiwape nafasi hata chembe ingekuwa korea ungeamuru wapigwe bomu
 
Ss hivi ni mwendo wa kujikosha tu kama ulivofanya wewe.
 
MH Rais. Nimeamka na neno moja tu lakukuambia nalo ni Usiogope.
Usiogope kusimamia yale una amini kwa ustawi wa taifa hili.
Usiogope vitisho vya watu wachache wenye nia mbaya na taifa hili.
Usiogope wanao tishia kujiuzulu kama wapo maana taifa hililitasimama hata kama wao hawatokuwepo. Umoja wetu nguvu zetu watanzania bara na visiwani tuna imani juu ya utendaji wa serikali yako.
Usiogope matajiri wachache ndani ya taifa hili ambao utajiri wao unaukakasi mzito wa dhuluma kwa watanzania.
Usiogope pesakukauka mtaani maana mtu asie fanya kazi na asile. Simamia nyia sahihi pesa irudi mtaani.
Usiogope wakurugenzi wachache wamabank wenye kutumika na mafisadi siku zao zinaesabika wala usihangaike nao.... Utawatambua kwa matendo yao
Usimuogope kiongozi fulani anaye endesha uwasi mzito bara na visiwani kwa kutamani angekuwa yeye Rais. Huyu ni chakula cha alie mleta duniani usipoteze nguvu kushindana nae maana ataadhibiwa ukimuona nawewe utakiri Mungu yupo.
Usiogope juu ya ulinzi wako maana unalindwa angani na ardhini na hakuna atakaye izima nyota yako ila Yeye alie kutuma.
Usiogope nasema usiogope maana hawa unawaona sasa hutowaona tena ktk miaka tisa na miezi ilio baki. Taifa hili limekusubira sana nasasa limepata baba mpaka misitu itabarikiwa. Usiogope!!!!!
Another super thread
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom